Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 13,332
- 7,351
Hujajibu maswali.
Kwa nini mungu anayejua yote, kuweza yote na mwenye upendo wote ahitaji kutupa mitihani ya maovu ya dunua?
Kwa nini mungu huyu hakuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani licha ya kuwa na uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote wa kufanya hivyo?
Utakuwa unauliza swali moja mara mbili,we nijibu kwanza kwanini wote mmetokea kwenye dini ya ukristo na kuingia huko? Hoja yenu inayotumika hapa ni hoja ya kupinga tu uwepo wa Mungu inajulikana. Lakini si sababu ya kumfanya mkristo kuacha kuamini Mungu. Hebu niambie mkuu kwanini uliingia huko?