COINCIDENCE: Moja ya ushahidi wa uwepo wa Mungu

COINCIDENCE: Moja ya ushahidi wa uwepo wa Mungu

Hujajibu maswali.

Kwa nini mungu anayejua yote, kuweza yote na mwenye upendo wote ahitaji kutupa mitihani ya maovu ya dunua?

Kwa nini mungu huyu hakuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani licha ya kuwa na uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote wa kufanya hivyo?

Utakuwa unauliza swali moja mara mbili,we nijibu kwanza kwanini wote mmetokea kwenye dini ya ukristo na kuingia huko? Hoja yenu inayotumika hapa ni hoja ya kupinga tu uwepo wa Mungu inajulikana. Lakini si sababu ya kumfanya mkristo kuacha kuamini Mungu. Hebu niambie mkuu kwanini uliingia huko?
 
Wote kina nani?

Atheists wote wa dunia hii wametoka kwenye ukristo?
 
one thing that is clear ni kwamba ingawa unajifanya kujitoa ufaham dozi zinakuingia!!!

Mtu anakariri misahafu halafu anatuhumu freethinkers kwamba wanakariri?

Katika psychology kuna kitu kinaitwa projection, mtu anatuhumu wengine kwa ku project tabia zake kwao.

Ndicho kinachotokea hapa.
 
Unasema ana mielekeo ya msingi miwili inayopingana hivyo unasema hawezi kuumba ulimwengu unaowezekana mabaya. Mara tena unauliza kwanini mungu(mwenye mielekeo ya msingi miwili tofauti) kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana?

Mkuu bado tafsiri yako ya mielekeo ya msingi miwili tofauti haijaeleweka. Bado hadi sasa sijaelewa kujipinga hasa ni nini?

Na kumbuka hapa tunajadili sifa za Mungu kwahiyo bado nasubiri ushahidi wa kutokuwepo huyo Mungu mwenyewe.

Unafahamu contradiction ni kitu gani?
 
one thing that is clear ni kwamba ingawa unajifanya kujitoa ufaham dozi zinakuingia!!!

Ningekuwa najitoa fahamu nisingekuwa huru ktk haya majadiliano. Huwezi kujadiliana na huku unajua kuwa unajitoa fahamu halafu ukawa huru ktk huo mjadala,vinginevyo huyo unayejadiliana awe ana upeo kama wako.

Sijui kama umenielewa.
 
Define kuwa huru.

Unawezaje kusema uko huru kwenye majadiliano wakati umewekewa mipaka ya kufikiri ndani ya misahafu fulani tu?
 
Kiranga hujui kama unakufuru Ila Mungu Mwenyez Muumba wa vitu vyote amekuona na amekusikia utajibu on the judgement day!
 
Mtu anakariri misahafu halafu anatuhumu freethinkers kwamba wanakariri?

Katika psychology kuna kitu kinaitwa projection, mtu anatuhumu wengine kwa ku project tabia zake kwao.

Ndicho kinachotokea hapa.

Mi nikipingana na unayoyaeleza wewe basi naonekana sina elimu ila wewe ukipingana na nayoeleza mie basi unajiona mwenye uhuru wa mawazo.

Tatizo hata huko kujiita freethinkers nako ni kwa kukariri,yani mmekariri tu kujiita hivyo.
 
Define kuwa huru.

Unawezaje kusema uko huru kwenye majadiliano wakati umewekewa mipaka ya kufikiri ndani ya misahafu fulani tu?

Mbona sijawahi kukwambia kuwa hauna elimu ya ktk hiyo misahafu ndiyo maana haunielewi kama ambavyo wewe unafanya kwa yale uliyoyakariri na kuweka mipaka?
 
Kwani wewe umejuaje kama mie naamini Mungu? Au tunaishi wote?

Naona umeshindwa kueleza kilichokupeleka huko.

Mungubwenu anajipinga.

Huku tunaambiwa ana uwezo wote, ana upendo wote, ana uwezo wa kufanya chochote anachotaka.

Huku kwingune tunaambiwa kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana.

Kwa nini hakuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?
 
Back
Top Bottom