Hujajibu maswali.
Kwa nini mungu anayejua yote, kuweza yote na mwenye upendo wote ahitaji kutupa mitihani ya maovu ya dunua?
Kwa nini mungu huyu hakuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani licha ya kuwa na uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote wa kufanya hivyo?
Hatari sana kutosheka kukariri mambo kama haya.
Utakuwa unauliza swali moja mara mbili,we nijibu kwanza kwanini wote mmetokea kwenye dini ya ukristo na kuingia huko? Hoja yenu inayotumika hapa ni hoja ya kupinga tu uwepo wa Mungu inajulikana. Lakini si sababu ya kumfanya mkristo kuacha kuamini Mungu. Hebu niambie mkuu kwanini uliingia huko?
one thing that is clear ni kwamba ingawa unajifanya kujitoa ufaham dozi zinakuingia!!!
Unasema ana mielekeo ya msingi miwili inayopingana hivyo unasema hawezi kuumba ulimwengu unaowezekana mabaya. Mara tena unauliza kwanini mungu(mwenye mielekeo ya msingi miwili tofauti) kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana?
Mkuu bado tafsiri yako ya mielekeo ya msingi miwili tofauti haijaeleweka. Bado hadi sasa sijaelewa kujipinga hasa ni nini?
Na kumbuka hapa tunajadili sifa za Mungu kwahiyo bado nasubiri ushahidi wa kutokuwepo huyo Mungu mwenyewe.
one thing that is clear ni kwamba ingawa unajifanya kujitoa ufaham dozi zinakuingia!!!
Wrote kina nani?
Atheists wote wa dunia hii wametoka kwenye ukristo?
Humu Jf.
Ningekuwa najitoa fahamu nisingekuwa huru ktk haya majadiliano. Huwezi kujadiliana na huku unajua kuwa unajitoa fahamu halafu ukawa huru ktk huo mjadala,vinginevyo huyo unayejadiliana awe ana upeo kama wako.
Sijui kama umenielewa.
Mtu anakariri misahafu halafu anatuhumu freethinkers kwamba wanakariri?
Katika psychology kuna kitu kinaitwa projection, mtu anatuhumu wengine kwa ku project tabia zake kwao.
Ndicho kinachotokea hapa.
Define kuwa huru.
Unawezaje kusema uko huru kwenye majadiliano wakati umewekewa mipaka ya kufikiri ndani ya misahafu fulani tu?
Unajuaje nani dini gani na alikuwa dini gani humu JF?
Mi najua hadi kiwango cha upeo wako wa kufikiri.
Nimekuuliza swali kuhusu wewe naona ushaanza kupiga chenga.
Unafahamu contradiction ni kitu gani?
Hujajibu uliloulizwa, ulilojibu hujaulizwa.
Kwani wewe umejuaje kama mie naamini Mungu? Au tunaishi wote?
Naona umeshindwa kueleza kilichokupeleka huko.
Ni sisi wenyewe na ulimwengu