COINCIDENCE: Moja ya ushahidi wa uwepo wa Mungu

Sasa unaonaje unipe historia yako ni vp umekuwa mpingaji mungu ili nijifunze zaidi?

kila ukiangalia ni dalilia za kutokua na kiumbe chenye uwezo wote, upendo wote na ujuzi wote, watoto kufa wachanga, mama kufa wakat wanajifungua, vilema, balaa za njaa, matetemeko ya ardhi, vimbunga, crony capitalism, greedy people, summary killings, injustice, brutal wars, magonjwa yasiyo na dawa etc if this is the best your God can create i am not impressed.

alafu, mfano mwingine anapingana na dhamira yake kuu yy mwenyewe amesema omben kwangu nanyi mtapewa, take 20 people i will bet my house tuwape karatasi kila mtu aandike anachotaka alafu tuchukue zile karatasi waingize kwenye chumba hata wiki nzima wasali wakitoka hakuna hata mmoja atakuja na alichoomba sasa kwa nn mungu wako does not answer player????

haya ni kwa kifup ila kuna mifano endless......

haya na ww ulianzaje kuamin kua kuna mungu???? zaid ya kufatisha tu dini ya wazazi wako??
 
Inaweza ikawa namsaidia ili aondokane na hayo matatizo ila yeye hataki.

Itakuwaje anayeweza yote ashindwe kujenga ushawishi ea kumfanya aondokane na hayo matatizo?

Na kama akishindwa hivyo, kweli anaweza yote?
 
Kiranga

MUHAYMINU
(Mwenye kuyaendesha
Mwenyewe mambo Yake), AL-
`AZIYZU (Mshindi
katika mambo Yake), AL-
JABBAARU (Anayefanya analolitaka), ALMUTAKABBIRU
(Mkubwa), AL-KHAALIQU
(Muumbaji), AL-BAARIU
(Mtengenezaji), AL-
MUSAWWIRU (Mtia sura), AL-
GHAFFAARU (Mwenye kusamehe), AL-
QAHHAARU (Mwenye nguvu juu
ya kila kitu),
AL-WAHHAABU (Mpaji mkuu),
ARRAZZAAQU (Mwenye
kuruzuku), AL-FATTAAHU (Mfunguzi), AL-
`ALIYMU (Mjuzi wa kila kitu),
ALQAABIDHU
(Mwenye kunyima au kuzuia),
AL-BAASITU (Mwenye
kutoa), AL-KHAAFIDHU (Mfedheheshaji waovu),
ARRAAFI`U
(Mpandisha daraja), AL-MU`IZZU(mtoa heshima kwa amtakae).
 
Last edited by a moderator:

Nililouliza halikwepeki kwa kutaja sifa nyingine.

Ukishakuwa na contradiction katika logic ya kuwepo kwa mungu kaika point moja, contradiction hiyo inamfanya idea nzima ya mungu kuwa na contradiction regardless kwamba huko kwingine ana sifa unazotaja.

Kinachotakiwa ni ku address contradiction nikiyoitaja. Kwa nini mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana?

Hujajibu swali hili.

Mtu akikuonesha kwamba number theory ina contradiction kwa sababu ameweza ku prove 2 + 2 =5 na pia 2 + 2 = 4 (one contradiction in number theory) huwezi kusema kwamba number theory bado ni sound kwa sababu 5 + 1 = 6 na 6 + 2 = 8.

Kwa sababu mtu akishaonesha 2 + 2 = 5 na2 + 2 = 4, meonesha 4 = 5, 5 = 6, 1 =7 and really, every umber is equal to any and all numbers.

To deal with this predicament, you address the original contradiction, not skirt around it like you did.
 
Last edited by a moderator:
kila ukiangalia ni dalilia za kutokua na kiumbe chenye uwezo wote, upendo wote na ujuzi wote, watoto kufa wachanga, mama kufa wakat wanajifungua, vilema, balaa za njaa, matetemeko ya ardhi, vimbunga, crony capitalism, greedy people, summary killings, injustice, brutal wars, magonjwa yasiyo na dawa etc if this is the best your God can create i am not impressed.

alafu, mfano mwingine anapingana na dhamira yake kuu yy mwenyewe amesema omben kwangu nanyi mtapewa, take 20 people i will bet my house tuwape karatasi kila mtu aandike anachotaka alafu tuchukue zile karatasi waingize kwenye chumba hata wiki nzima wasali wakitoka hakuna hata mmoja atakuja na alichoomba sasa kwa nn mungu wako does not answer player????

haya ni kwa kifup ila kuna mifano endless......

haya na ww ulianzaje kuamin kua kuna mungu???? zaid ya kufatisha tu dini ya wazazi wako??

Nimekuomba historia.
 
Itakuwaje anayeweza yote ashindwe kujenga ushawishi ea kumfanya aondokane na hayo matatizo?

Na kama akishindwa hivyo, kweli anaweza yote?

Mkuu kuweza yote kwa binadamu ni kupi huko? Au unazungumzia mungu?
 
1.Je,Unayazungumziaje yaliyomo kwenye vitabu vya dini ambavyo ndiyo vilivyokuja kueleza masuala ya kuwepo kwa Mungu?

2.Je,una majibu gani ya msingi katika maswali yaliyokosa majibu yenye kutumika kama dalili za uwepo wa Mungu?
 
Nimeulizia a general question. Suppose we are talking about huyo mungu wako. How do you resolve that?

Tatizo lako you get everything backasswards. Unapotakiwa utumie instance ya mungu unatumia instance ya mtu na unapotakiwa utumie instance ya mtu unatumia instance ya mungu.

How do you resolve the same question for the instance where your godhead is to be considered?
 
Kabla ya yote thibitisha mungu yupo.

Halafu tueleze imekuwaje mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?

Kama hujaweza haya, hizo habari za kwenye vitabu vya dini might as well be fables.

Kukosa majibu ya maswali ya msingi so uthibitisho kwamba mungu yupo, ni uthibitisho kwamba hatuna majibu ya maswali yote. Viwili hivi ni vitu tofauti kabisa.
 
Umeniuliza swali mie kama binadamu halafu majibu yangu niliyokupa unaenda kujengea hoja kwa mungu! Ni utoto ambao nilishaujua toka mwanzo.

Mkuu ndiyo maana nilikwambia swali lako ni kana kwamba mungu hausiku na lolote kuhusu huu ulimwengu kama ameukuta tu. Unatakiwa ujue sababu yeye kuumba binadamu ndiyo utaelewa.
 
Hebu soma swali vizuri,swali linauliza mambo yaliyomo kwenye vitabu ambavyo ndivyo vilivyokuja kueleza kuwepo kwa mungu na ndiyo yanaitwa maneno ya mungu.

Sasa ikiwa wewe una hakika na imani yako kwamba hakuna mungu(japo hadi sasa mmeshindwa kuthibitisha hilo zaidi ya kuja na hoja za kupinga tu) basi yaliyomo kwenye hivyo vitabu yatakuwa maneno ya uongo ya watu si ya mungu kama inavyosemwa,hivyo sioni haja ya wewe kupiga chenga ikiwa unajiamini na imani yako.

Halafu hivi hii dunia ingekuwa kama ilivyo na mungu angekuwa hajasema kuwa yeye anaupendo je,ndiyo ungekubali kuwa mungu yupo? Ikiwa usingekubali na kusema hakuna ushahidi wa kuwepo kwake ,sasa kwanini ukatae tuanze kuutafuta ukweli kwn vitabu?(maneno ya mungu)

Na ndiyo maana huwa nasema hoja yenu ni ya kupinga tu.
 
Wapi nimekuuliza swali wewe kama binadamu?

Na hata kukwambia uweke hilo awali kwa mungu, mbona hujaweza kujibu hilo swali?

Ni mazingira gani yaliyomfanya mungu muweza yote, mjuzi wa yote na mwenye upendo wote aumbe ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?

Na kama kuna mazingira yanayomfanya mungu aumbe ulimwengu ambao mabaya yanawezekana ilhali ana uqezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani, mungu huyu anaweza yote kweli?
 
Kinachokufanya ukubali au usikubali yaliyomo kwenye vitabu ni nini?

Unafahamu kwamba kanuni za uthibitisho zinakataza kuthibitisha kisichopo? Kwa sababu hakipo ili kiweza kuthibitishwa kwamba hakipo, unaelewa hilo?

Hujaqeza kumuelezea mungu wako mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote ushataka kirukia vitu usivyovielewa?

Hujathibitisha mungu yupo.

Hujaondoa contradiction ya mungu mwenye upendo wote, ujuzi wote na uwezo wote kuumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana.
 
Kuna sehemu niliposema kuna mazingira ndiyo yaliyomfanya mungu aumbe hivi?
 
Kinachokufanya ukubali au usikubali yaliyomo kwenye vitabu ni nini?

Unafahamu kwamba kanuni za uthibitisho zinakataza kuthibitisha kisichopo? Kwa sababu hakipo ili kiweza kuthibitishwa kwamba hakipo, unaelewa hilo?

Hujaqeza kumuelezea mungu wako mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote ushataka kirukia vitu usivyovielewa?

Hujathibitisha mungu yupo.

Hujaondoa contradiction ya mungu mwenye upendo wote, ujuzi wote na uwezo wote kuumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana.

"Halafu hivi hii dunia ingekuwa kama ilivyo na mungu angekuwa hajasema kuwa yeye anaupendo je,ndiyo ungekubali kuwa mungu yupo? Ikiwa usingekubali na kusema hakuna ushahidi wa kuwepo kwake ,sasa kwanini ukatae tuanze kuutafuta ukweli kwn vitabu? (maneno ya mungu)"

Ikiwa kisichokuwepo hakithibitishiki je,ni kanuni gani inayotumika kutambua kisichokuwepo?
 
Huo nao ni mtihani haswa!

Kwa usadiki wangu, kanuni inayotumika (ingawa si ya hakika sana) ni kuangalia tu kilichopo au vilivyopo na kufikia hitimisho kuwa hiki au kile hakipo.

Licha ya hivyo, kile ambacho tunadhani hakipo kinaweza kikawepo lakini bado tukawa hatujajua/ gundua kwamba kipo.
 
"Halafu hivi hii dunia ingekuwa kama ilivyo na mungu angekuwa hajasema kuwa yeye anaupendo je,ndiyo ungekubali kuwa mungu yupo? Ikiwa usingekubali na kusema hakuna ushahidi wa kuwepo kwake ,sasa kwanini ukatae tuanze kuutafuta ukweli kwn vitabu? (maneno ya mungu)"

Ikiwa kisichokuwepo hakithibitishiki je,ni kanuni gani inayotumika kutambua kisichokuwepo?

Natumia logical consistency.

Natambua kwamba pembetatu duara haiwezi kuwepo katika Euclidean geometry kwa sababu pembetatu haiwezi kuwa duara na duara haiwezi kuwa pembetatu na ku maintain logical consistency. Kuna contradiction hapo.

Vivyo hivyo, mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote ambaye kaumba ulimwengu huu unaowezekana kufanyika mabaya ya kila aina hayupo, kwa sababu ana violate logical consistency kama "pembetatu duara" hapo juu.

Wewe unaweza kuthibitisha kwamba huyu mungu yupo?
 
Haujaeleza kanuni ya kutambua visivyokuwepo ila umeeleza kanuni ya kutambua visivyowezekana,si kila kisichokuwepo ni kwamba hakiwezekani kuwepo.

Na kuhusu mimi kuthibitisha kuwepo kwa mungu wewe ndiye unayezui zoezi hili kwa kusema hadi niondoe hiyo contradiction yako.
 
Kanuni ya kutambua visivyokuwepo nimekuwekea chini ya pua usome hapa.

Tatizo hujui kusoma.
 
Back
Top Bottom