bona
JF-Expert Member
- Nov 6, 2009
- 3,798
- 1,440
Sasa unaonaje unipe historia yako ni vp umekuwa mpingaji mungu ili nijifunze zaidi?
kila ukiangalia ni dalilia za kutokua na kiumbe chenye uwezo wote, upendo wote na ujuzi wote, watoto kufa wachanga, mama kufa wakat wanajifungua, vilema, balaa za njaa, matetemeko ya ardhi, vimbunga, crony capitalism, greedy people, summary killings, injustice, brutal wars, magonjwa yasiyo na dawa etc if this is the best your God can create i am not impressed.
alafu, mfano mwingine anapingana na dhamira yake kuu yy mwenyewe amesema omben kwangu nanyi mtapewa, take 20 people i will bet my house tuwape karatasi kila mtu aandike anachotaka alafu tuchukue zile karatasi waingize kwenye chumba hata wiki nzima wasali wakitoka hakuna hata mmoja atakuja na alichoomba sasa kwa nn mungu wako does not answer player????
haya ni kwa kifup ila kuna mifano endless......
haya na ww ulianzaje kuamin kua kuna mungu???? zaid ya kufatisha tu dini ya wazazi wako??