COINCIDENCE: Moja ya ushahidi wa uwepo wa Mungu

COINCIDENCE: Moja ya ushahidi wa uwepo wa Mungu

Kwa nini mungu mwenye upendo wote, ujuzi wote na uwezo wote kaumba ulimwengu ambao wengine wanaweza kupata busara na wengine wanashindwa wakati alikuwa na uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote wa kuumba ulimwengu ambao hakuna anayeshindwa kupata busara?

Kwanza kabisa, Mimi sifahamu huyo Mungu wako mwenye upendo wote, mwenyeujuzi wote na uwezo wote ni kwa nini kakuumbia ulimwengu unaokukera.
Sifahamu kwa sababu sijui kwa kadri ya mungu wako Upendo ni mdudu gani, uwezo ni mdudu gani na ujuzi wote ni mdudu gani.
Hivyo siwezi jenga hoja unazotumia kumhoji Mungu wangu kwa kutumia Sifa (ambazo sifahamu maana yake) za mungu uliyemuumba wewe kichwani mwako.
Kwa hiyo hata kujibu swala la binadamu kushindwa kupata busara siliwezi jibu, yaelekea mungu wako anatoa chanjo ya busara kiasi kwamba wengine wanakosa.
 
Hapa ndipo ibilisi alipofanikiwa kwa kutumia somo lake la kishetani philosophy.
Pole sana! Lakini utashangaa unaamini uchawi wakati hujawai kujona ulivyo wala unavofanya kazi.
Mungu akuhurumie

Nini kuamini uchawi, anaamini kuwepo kwa Gravitational laws ukimuuliza gravity IPO atakujibu akiirejea gravitational law
Hawa watu wamechagua kuwa walivyo.
 
Hapa ndipo ibilisi alipofanikiwa kwa kutumia somo lake la kishetani philosophy.
Pole sana! Lakini utashangaa unaamini uchawi wakati hujawai kujona ulivyo wala unavofanya kazi.
Mungu akuhurumie

Mtafute Mungu maana anapatikana huenda ni katika jitihada za kumtafuta huyo Mungu so ana haki yakupata majibu yanayomsumbua na nyie maadvocates wake mnatakiwa kutoa majibu yasiyo na doubt
 
Nini kuamini uchawi, anaamini kuwepo kwa Gravitational laws ukimuuliza gravity IPO atakujibu akiirejea gravitational law
Hawa watu wamechagua kuwa walivyo.

Gravity inayoizungumzia imekuwa proof na mathematical calculated with no doubt ukiapply it work bila contradictions yoyote.
 
Mtafute Mungu maana anapatikana huenda ni katika jitihada za kumtafuta huyo Mungu so ana haki yakupata majibu yanayomsumbua na nyie maadvocates wake mnatakiwa kutoa majibu yasiyo na doubt

Ni ngumu Sana kutoa jibu lisilo na doubt kwa kuwa uelewa ni kushirikisha kichwa na moyo. Ukitumia kichwa pekee wakati mwenzio anatumia moyo hamtaelewana. Inatakiwa muwe level moja.
Kupata level moja ni ngumu Sana kwa MTU ambaye ameaminishwa uongo au Elimu potofu juu ya kitu Fulani kwa muda mrefu
 
Kwanza kabisa, Mimi sifahamu huyo Mungu wako mwenye upendo wote, mwenyeujuzi wote na uwezo wote ni kwa nini kakuumbia ulimwengu unaokukera.
Sifahamu kwa sababu sijui kwa kadri ya mungu wako Upendo ni mdudu gani, uwezo ni mdudu gani na ujuzi wote ni mdudu gani.
Hivyo siwezi jenga hoja unazotumia kumhoji Mungu wangu kwa kutumia Sifa (ambazo sifahamu maana yake) za mungu uliyemuumba wewe kichwani mwako.
Kwa hiyo hata kujibu swala la binadamu kushindwa kupata busara siliwezi jibu, yaelekea mungu wako anatoa chanjo ya busara kiasi kwamba wengine wanakosa.

Haya ni majibu ya rahisi kwa maswali magumu na tatizo lenu mnafikiri mtu anayekuwa na maswali ambayo anatafuta majibu basi hafai na nyie ambao ni Advocates wa Mungu badala ya kumsaidia kupata majibu hakika mnakuwa hamjielewi mnabaki kujiuma umaa ahaa labda huyo ni Mungu wenuu...mtee mungu wako hapa kwa hoja na maarifa msiwe mnafuta maneno tu ya kusadikika.
 
Mi naamini uwepo wa Mungu kutokana na matendo makuu aliyonitendea maishani mwangu. Pmj na matatizo yanayotupata,mi nadhan huwa ni namna tunavyokumbushwa kumrudia Mungu wetu maana yeye ni mwema wakati wote na ni mwingi wa huruma na rehema.
Na wote wamtegemeao hawatatikisika km mlima sayuni.

Utandawazi huu usitupelekee kusiko kwa kutoamini uwepo wake,ni heri kuamini Mungu yupo kuliko kutoamini kbs.
 
Haya ni majibu ya rahisi kwa maswali magumu na tatizo lenu mnafikiri mtu anayekuwa na maswali ambayo anatafuta majibu basi hafai na nyie ambao ni Advocates wa Mungu badala ya kumsaidia kupata majibu hakika mnakuwa hamjielewi mnabaki kujiuma umaa ahaa labda huyo ni Mungu wenuu...mtee mungu wako hapa kwa hoja na maarifa msiwe mnafuta maneno tu ya kusadikika.

Hakuna jibu nililotoa kwa swali lake, jifunze kufikiri kabla hujaandika. Maana ya upendo kwa MTU wa Mungu sio lazima iwe sawa kwa asiyeamini Mungu. Anipe maana ya hayo maneno ili nimjibu kwa uelewa ulio kweli.
Usifikiri ukikurupuka kujibu dhana pasipo kuelewa ni ujanja...
Mmekaririshwa habari maswali magumu majibu mepesi basi popote hata pasipo swali gumu wala jibu jepesi unamwaga tu.
 
"Birth is not a beginning; death is not an end. There is existence without limitation; there is continuity without a starting-point. Existence without limitation is Space. Continuity without a starting point is Time. There is birth, there is death, there is issuing forth, there is entering in."

That quote from Taoism Belief which somehow make sense to I.
 
Kwanza kabisa, Mimi sifahamu huyo Mungu wako mwenye upendo wote, mwenyeujuzi wote na uwezo wote ni kwa nini kakuumbia ulimwengu unaokukera.
Sifahamu kwa sababu sijui kwa kadri ya mungu wako Upendo ni mdudu gani, uwezo ni mdudu gani na ujuzi wote ni mdudu gani.
Hivyo siwezi jenga hoja unazotumia kumhoji Mungu wangu kwa kutumia Sifa (ambazo sifahamu maana yake) za mungu uliyemuumba wewe kichwani mwako.
Kwa hiyo hata kujibu swala la binadamu kushindwa kupata busara siliwezi jibu, yaelekea mungu wako anatoa chanjo ya busara kiasi kwamba wengine wanakosa.

Unamtetea mungu wa wakristo halafu hujui upendo ni mdudu gani.

Hilarious.
 
Nini kuamini uchawi, anaamini kuwepo kwa Gravitational laws ukimuuliza gravity IPO atakujibu akiirejea gravitational law
Hawa watu wamechagua kuwa walivyo.

Hujajibu hoja ya kuondoa contrafiction ya mungu mjuzi wa yote, muweza wa yote na mwenye upendo wote kuumba ulimwengu unaowezekana kufanyika mabaya wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu usiowezekana kuwa na mabaya.

Umeiruka hoja hii kwa kujifanya huelewi upendo ni nini, ingawa mtu anayeamini na kumuelewa mungu wa kikristo anatakiwa aelewe upendo ni nini.

Halafu hapo hapo unanituhumu mimi kutojibu hoja na kutiriruka nabyale yaliyomo kichwani mwangu tu.

Huku ukweli ukibakinkwamba wewe ndiye hujibu hoja zangu.

Wanasaikolojia wanaita hii tabia "projection". Havari zako unanitupia mimi.
 
Ni ngumu Sana kutoa jibu lisilo na doubt kwa kuwa uelewa ni kushirikisha kichwa na moyo. Ukitumia kichwa pekee wakati mwenzio anatumia moyo hamtaelewana. Inatakiwa muwe level moja.
Kupata level moja ni ngumu Sana kwa MTU ambaye ameaminishwa uongo au Elimu potofu juu ya kitu Fulani kwa muda mrefu

Kwa hiyo hata wewe huna jibu lisilo na doubt?
 
Huwezi kusema mungu kaumba ulimwengu kabla ya litatua contradiction inayohoji lama mungu yupo at all.

Kama huwezi kuthibitisha mungu yupo, kwa sababu hujatatua contradiction, mungu huyo ambaye huwezi kuthibitisha kwamba yupo atawezaje kuumba kama hayupo?

Unataka vipo tuache kibishana kitu wakati hujaweza kukijibu? Kwa nini wewe unafikiri ndiye mwenye mamlaka ya kisema tubishane kipi na kipi tusibishane?

Unataka tuache kubishana hilo la contradi tion ya mungu au umekubali kwamba huwezi kulijibu na unatafuta exit strategy?

Mungu mwenye uwezo wote, unuzi wote na upendo wote hawezi juwa ameumba ulimwengu ambao maovu yanawezekana. That is a contradiction you have not solved.

Unasema shilingi yako inaweza kurushwa juu halafu ikaangukia pande zote mbili zikiwa zinaangalia chini, nakwambia hilo haliwezekani, na shilingi hiyo haipo.

Unasema tutoke huko, tuangalie mfano, shilingi hiyo ni kweli imerushwa na kuangukia pande mbili kwa pamoja.

Swali lako linarudia kuuliza kuhusu mungu yule yule, kwa kutojibu contradiction ile ile.

Nijibu swali langu moja.

Kwa nini mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote aumbe ulimwengu ambao unawezekana kuwa na mabaya wakati ana kila ujuzi, uwezo na upendo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?

Kupinga ni suala rahisi sana kila mara narudia haya maneno.
Umekariri kuwa hoja yenu haiwezi kujibiwa na ndiyo maana unahaha.

Kumbuka umeshaambiwa kwanini huu ulimwengu upo hivi na kuelezwa kusudio la Mungu, ila wewe unasema mungu hawezi kuumba ulimwengu huu kwa sababu ya sifa yake ya upendo, uwezo wote na ujuzi. Nikakuuliza je,mungu angeumba ulimwengu ambao hauna tabu yeyote ndiyo ingekuwa hajajipinga? Ukajibu ndiyo, nikakwambia je, vp akitokea mtu na kudai kuwa ulimwengu huo utapingana na sifa ya mungu "adh-dhaaru"?? Ukasema ndiyo maana unasema mungu hawezi kuwepo kwa sababu sifa zake zinajipinga.

Mpaka hapo ilikuwa tumefikia kwamba kumbe hata kama mungu angeumba ulimwengu wenye raha tupu bila tabu yeyote pia ingeonekana anajipinga na sifa zake nyengine pia,kwahiyo hoja hapa si kwanini kaumba ulimwengu huu,maana (kwa vigezo ulivyotumia kusema ulimwengu huu unamfanya anajipinga) hataangeumba ulimwengu unaoona wewe ndiyo ungekuwa unafaa bado pia ingeonekana kuna contradiction.

Ndiyo maana unaambiwa umemtengeneza mungu ktk kichwa chako,kwa sababu unataka kujua uwepo wa mungu kwa kuchagua baadhi ya sifa,kubali sifa zote hizo maana ndiyo sifa zake hizo.
 
Kwa hiyo hata wewe huna jibu lisilo na doubt?

Mimi sina doubt na kile ninachokiamini. Tatizo huja kwa wewe unayeamini mungu uliyemuumba wewe kichwani mwako,unampa Sifa za kuwa na upendo wote,ujuzi wote, ( pasipo kuleza upendo na ujuzi wote ni vitu gani ) sasa nikuibu kwa upendo wa Mungu wangu, wakati ninajua neno upendo halina tafsiri moja ?
 
"Birth is not a beginning; death is not an end. There is existence without limitation; there is continuity without a starting-point. Existence without limitation is Space. Continuity without a starting point is Time. There is birth, there is death, there is issuing forth, there is entering in."

That quote from Taoism Belief which somehow make sense to I.

Time has beginning as well as space.
That was known to theist long before science became aware.
 
Hujajibu hoja ya kuondoa contrafiction ya mungu mjuzi wa yote, muweza wa yote na mwenye upendo wote kuumba ulimwengu unaowezekana kufanyika mabaya wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu usiowezekana kuwa na mabaya.

Umeiruka hoja hii kwa kujifanya huelewi upendo ni nini, ingawa mtu anayeamini na kumuelewa mungu wa kikristo anatakiwa aelewe upendo ni nini.

Halafu hapo hapo unanituhumu mimi kutojibu hoja na kutiriruka nabyale yaliyomo kichwani mwangu tu.

Huku ukweli ukibakinkwamba wewe ndiye hujibu hoja zangu.

Wanasaikolojia wanaita hii tabia "projection". Havari zako unanitupia mimi.

Ungekuwa Mkristo mjadala ungekuwa rahisi, kwa kuwa ungekuwa na ufahamu kuhusu tofauti iliyopo katika ya uoendo wa kibinadam ambao unamipaka na upendo wa Mungu ambao hauna mawaa wala mipaka kwa wanadamu wote. Upendo uitwao agape ambao hauwezi kuwa na contradiction kwa kuwa ni nje ya uwezo wa kibinadam...
Hivyo unatakiwa utoe maana ya upendo huo wenye contradiction ili usaidiwe.
Unajihami kwa kutumia imani kwamba kwa Kuwa Mimi ni mkristo lazima niwe najua wewe ukisema upendo Una maanisha nini.
Huku ukidanganya jukwaa kwamba hutaki kuamini Bali unataka ujuzi sasa sijui ujuzi gani umetumia kutambua kwamba Mimi ninafahamu maana ya upendo uliotumia kutambua contradictions.
Ukiambiwa unakariri unang'aka wakati maandiko yako humu yanathibitisha, ukiulizwa kitu unajua kinaweza kukutoa kwenye karirir zako hutaki kujibu.
 
Nimekua nikijaribu kutafuta details ndogo ndogo kujaribu kuja na hitimisho langu kuwa kweli Mungu yupo.

Moja ya ushahidi wa uwepo wa Mungu ni hili la Coincidence.

Kutokana na kukosa maana sahihi ya neno coincidence nitatumia neno lingine linalofanana kwa maana na hili, ili kuweza kuwapa kuelewa kusudio la bandiko hili.

Neno coincidence linalandana kwa maana na neno, accident, luck , fate.

Accident = Ajali, luck = bahati , fate = majaliwa.

Matokeo ya hayo niliyoyataja hapo juu ni kutokana na nguvu za ziada zilizo nje ya uwezo wa mwanadamu.

Mfano; AJALI;

Umeamka asubuhi unachukua gari yako kufika barabarani unagonga mtu anakufa!

Kama ungekuua na uwezo wa kugundua kama siku hiyo ungegonga mtu akafa, ungeweza kuchukua maamuzi sahihi ili ajali hiyo isitikee, lakini kwakua jambo hilo lipo nje ya uwezo wako huwezi kulizuia au kuliahirisha.

Bahati:

Imetokea ajali wakafa abiria wengine lakini kwa "bahati" wewe pekee ndie uliyepona. mazingira ya ajali yanaonesha kwamba ilistahili abiria wote wasiwe hai lakini kwa ajabu la wengi wewe pekee umepona. Tunaita hiyo ni "bahati"

Majaliwa;

Unapangilia kuwa daktari lakini , jitihada zako zote hazipelekei wewe kuwa daktari na badala yake unaishia kua mwanasheria. hapa uanasheria unaonekana kua ndio yalikua majaliwa yako, na udaktari ulikua unalazimisha tu.

Tukiangalia tafsiri ya neno majaliwa au fate katika lugha ya kingereza mtu ataona kwamba ili majaliwa yawepo basi kuna kuwa na nguvu za ziada zinazopelekea hayo kuwepo, tuangalie;

FATE:

(i) The supposed force, principle, or power that predetermines events:

(ii) The inevitable events predestined by this force

(iii) A final result or consequence; an outcome.

(iv) An unfavorable outcome in life.

Uchanganuzi huo unaonesha kwamba neno MAJALIWA au fate, ni zao la nguvu zinazotabiri matukio.

Nguvu hizo ni zipi?? Nguvu hizo zinatoka wapi?? nguvu hizo zinazuilika??

Mfano: je unaweza tambua siku yako ya kufa?? je unajua nani anayechukua roho yako?? je unaweza zuia kifo?? Hilo ni jambo gumu kidogo, tujaribu mfano mwepesi kidogo.

Je umeshiriki kwa asilimia ngapi katika kutengeneza matukio katika maisha yako, au kuyazuia au hata kuweza kuyabadilisha??

Jibu ni hakuna.

Kwa hiyo kama kwa kiasi kikubwa hukuweza kuzuia mengi ya matukio katika maisha yako au kuyabadili, hapo tunapata jibu kwamba lazima kutakua na nguvu ya ziada iliyopelekea jambo hilo kutokea.

Sayansi haibishi kwamba hakuna nguvu bila kuwa na chanzo hizo, hakuna ubishi kwamba nguvu zinzzopelekea kutokea kwa hayo mambo zina chanzo chake.

Kuna weza tokea ubishi wa hicho chanzo cha hizo nguvu, lakini kwa imani yangu naamini kwamba chanzo cha nguvu hizo ni MUNGU.

Kufupisha maelezo, jambo lililopelekea mimi kuandika mada hii ndefu, ni hili dogo tu.

" kuna jirani yangu ninaishi nae mtaa mmoja, tunakuja nyumbani nyakati tofauti, tunalala nyakati tofauti, na tunaamka nyakati tofauti, lakini kila asubuhi lazima tukutane barabarani muda ule ule"

Hii ina maanisha nini??

Kama tunatofautiana muda wa kurudi nyumbani, muda wa kulala, muda wa kuamka, inakuwaje lazima kila siku muda ule ule tukutane barabarani??

Is this fate?? accident?? Luck?? au tunapanga tukutane muda huo???

I rest my case with a conclusion kwamba , Mungu yupo na yeye ndie hupanga maisha yetu. Our life is planned hata kabla hatujazaliwa.

Kaeni mdiscus!
Kwa naoni yangu kama hakuna madhara baina yenu.kuonana ni jambo zuri.
So it iz fate n luck too
 
Back
Top Bottom