COINCIDENCE: Moja ya ushahidi wa uwepo wa Mungu

Mtu mwenye kupenda sana kukariri mambo basi lazima aone namchanganya tunapojadiliana.
Tatizo lako mambo uliyoyakariri hayakufanyi kuwa na upeo mkubwa wa kufikiri kama unavyodhani.

Kila mtu ana watu wake katika mambo yake hivyo sina haja ya kujua nani aliyesema,nachokiangalia ni kipi kilichosemwa.

Huo mfano wako nimekujibu kwa kirefu ila kwa sababu kukariri kumekuathiri ukaona nimekuchanganya.

Unaposema "kisichokuwepo hakithibitishiki". Hoja inayoibuka ni kwamba je,kipi kinachofanya tuseme hiki hakipo na kile kipo?

Kwahiyo kabla ya kukurupuka na kusema kisichokuwepo hakithibitishiki, kwanza tufahamishane kuwa ni kigezo gani kimetumika kusema hicho kitu hakipo.

acha longo longo nyingi, tumekuja kwenye hii mada kupata ushahidi wa uwepo wa mungu, nadhan hata heading ya mada iko ivo ndio maana tukaona at last kuna mtu anataka kutoa ushahid frankly we are dissapointed yaan iman yenu yote kuhusu uyu mungu hamuwez kuthibitisha uwepo wake, so you have choice toa ushahid au kama huna kaa kimya sio unaruka ruka tu unatujazia server!!!
 
Rongorongo mnazo nyie kwa kuona imani yenu ya kusema hakuna mungu ndiyo sahihi na kutaka kulazimisha watu kuyaelewa yale mnayoyaamini nyie tu.

Watu washatoa sana ushahidi wa mungu ila huwa mnapinga na ndiyo tunawaambia mtueleze kwa nini nyie mnaamini hakuna mungu? Hadi sasa hakuna aliyeweza kuthibitisha kuwa mungu hakuna,mnatujia na upuuzi wa kusema visivyokuwepo havithibitishiki.

Tatizo mmezoea kuwa mnapinga tu,mmesahau kuwa kupinga ni kazi rahisi sana.
 
Mtu mwenye kupenda sana kukariri mambo basi lazima aone namchanganya tunapojadiliana.
Tatizo lako mambo uliyoyakariri hayakufanyi kuwa na upeo mkubwa wa kufikiri kama unavyodhani.

Kila mtu ana watu wake katika mambo yake hivyo sina haja ya kujua nani aliyesema,nachokiangalia ni kipi kilichosemwa.

Huo mfano wako nimekujibu kwa kirefu ila kwa sababu kukariri kumekuathiri ukaona nimekuchanganya.

Unaposema "kisichokuwepo hakithibitishiki". Hoja inayoibuka ni kwamba je,kipi kinachofanya tuseme hiki hakipo na kile kipo?

Kwahiyo kabla ya kukurupuka na kusema kisichokuwepo hakithibitishiki, kwanza tufahamishane kuwa ni kigezo gani kimetumika kusema hicho kitu hakipo.

Hata maana ya mfano hujui, unachanganya maelezo na mfano.

Nipe mfano wa kitu ambacho hakipo na kimethibitishwa kwamba hakipo.

Sema kitu fulani hakipo, na kimethibitushwa hivi kwamba hakipo.

Hujafanya hivyo.
 
Bado suala lipo palepale, ni kipi kigezo cha kusema au kujua kitu kisichokuwepo.

Kumbuka utata si kwamba hakuna visivyo kuwepo bali ni kusema haiwezekani kuthibitisha visivyokuwepo.
 
By converging from the known and provable to the unknown and unprovable, by using logical methods.

For example, by using logical methods, especially the rule of vontradiction, an all knowing, all capable, all loving and all present godhead couldn't have created this world which is full of evil, because creating a world full of evil is contradictory to the all loving and all capable nature of that godhead just as much as a circular triangle is contradictory in Euclidean Geometry.

But it is impossible to prove the nonexistence of either god or the circular triangle without merely inferring from the entiries that do exist. Even though the two do not exist.

Suala langu dogo la litmus test hujalipa jibu.

Kama unaweza kuthibitisha kwamba kisichokuwepo hakipo, tupe mfano hapa.

Hujatupa mfano bado.
 
''Watu wa imani'' wanashikilia hoja zile zile tangu Enzi za Plato wa Ugiriki miaka 2500 iliyopita ambazo hazijaweza kutoa jibu lisilo na shaka kuwa Mungu yupo:

Nanukuu:

Some 2,500 years ago, Plato taught why we should believe in the gods. In The Laws, Book 10, he identified two reasons why we should believe.

  • First, he claimed something must have created the world, the sun, the moon, the stars and the order therein, and that something must have been the gods.
  • Secondly, he said we should believe the gods because most people believed in them and the majority was unlikely to be wrong.
Plato's first argument is flawed in that through using the gods as a primal cause, he does not answer the primal cause issue - he merely places primal cause at one remove from the real world. We are left with the question of the primal cause of the gods.

The second argument is also fundamentally flawed - we should also note that in Plato's time the majority also believed the world was flat. (And remember what just about everyone's mother says when they ask permission to do something because everybody else is doing it.)

The point of this meditation is not to debunk Plato. What I want to point out is that in the two and a half millennia since Plato's day, not one new intellectual argument for the existence of one or more gods has been developed. Every claim of a new logical proof, when stripped down to its fundamentals, reduces to one of Plato's original flawed lines of reasoning. (I now stand corrected on this issue. As covered in the addendum below, there is a third argument.)

So, when someone uses one of these proofs for the existence of god, the appropriate response is "Right! And as that's just a restatement of one of Plato proofs, then logically you are suggesting I accept the Greek Pantheon?"

[h=4]Meditation 13a[/h]There are, of course a number of non-intellectual arguments for the existence of god. As these arguments are not based on logic, there is no point refuting them. The appropriate response when someone makes such a claim ranges from a bemused smile to rolling on the floor laughing.

Examples are:

I know god exists because he talks to me.
I know god exists because he talks to... (Jerry Fallwell - or fill in your own favourite televangelist here)
I know god exists because I am god.
[h=4]Addendum[/h]I have been advised by a correspondent that there is indeed a proof for the existence of God which does not reduce to one of Plato's two proofs. This is St. Anselm's ontological proof. Anselm's (1033-1107) argument (extremely simplified here) is that it is possible to think there is something greater than we can possibly conceive of. As we are able to grasp this concept of something beyond the mind's reach, we cannot possibly have invented it on our own. Therefore, it must be based on something real.

For a more detailed discussion of St Anselm's Proof, see Talk Back 12

An interesting argument, I suppose, but not one I can accept. At heart, the conclusion is implicit in the initial assumptions. Because we can think of god, god exists. A similar argument to one which defines god into existence. E.g. For something to be perfect, it must exist. God is perfect, therefore god exists.

Ultimately, what Anselm claims in his basic assumption is that there is a limit to the human imagination. In counter to this, I suggest there is no limit to our imagination. And if we accept the concept of something beyond what we can imagine, we have not accepted the existence of god, we have simply extended our imaginations.

Yes - it is a proof which is not one of Plato's two. But similarly to Plato's arguments, it proves nothing beyond humankind's unlimited capacity to attempt to rationalize the unprovable.

Source: Plato's Proofs for the Existence of Gods

N.B

Wakuu nanukuu articles pia toka ktk sites zingine kuonesha jinsi watu wenye interest ya mada hii kuhusu Mungu yupo au hayupo wanavyo jaribu kwa kutumia hoja ya yale wanayoamini ila ku-stretch-mind zetu kwa hoja.

So far nampongeza mdau Kiranga kwa kuja na hoja na maswali motomoto ktk thread hii ila watu wa ''imani'' mpaka sasa hamjatoa hoja na maswali motomoto ya kufanya tufikiri kwa sana.
 
acha longo longo nyingi, tumekuja kwenye hii mada kupata ushahidi wa uwepo wa mungu, nadhan hata heading ya mada iko ivo ndio maana tukaona at last kuna mtu anataka kutoa ushahid frankly we are dissapointed yaan iman yenu yote kuhusu uyu mungu hamuwez kuthibitisha uwepo wake, so you have choice toa ushahid au kama huna kaa kimya sio unaruka ruka tu unatujazia server!!!

Huyu mtu anaweza kutaka kupindisha habari iliyo kwenye heading ya mada, bila aibu.

Huki kwenye philosophical nuances za uwepo wa mungu unawezaje kutegemea awe na uadilifu wa majadiliano ya kisomi?
 
By converging from the known and provable to the unknown and unprovable, by using logical methods.

For example, by using logical methods, especially the rule of vontradiction, an all knowing, all capable, all loving and all present godhead couldn't have created this world which is full of evil, because creating a world full of evil is contradictory to the all loving and all capable nature of that godhead just as much as a circular triangle is contradictory in Euclidean Geometry.

But it is impossible to prove the nonexistence of either god or the circular triangle without merely inferring from the entiries that do exist. Even though the two do not exist.

Suala langu dogo la litmus test hujalipa jibu.

Kama unaweza kuthibitisha kwamba kisichokuwepo hakipo, tupe mfano hapa.

Hujatupa mfano bado.

Kukariri kubaya sana,ila nitakuonesha upuuzi wa hii hoja yako.

Haya nitajie tu kitu ambacho hakipo.
 
Huyu mtu anaweza kutaka kupindisha habari iliyo kwenye heading ya mada, bila aibu.

Huki kwenye philosophical nuances za uwepo wa mungu unawezaje kutegemea awe na uadilifu wa majadiliano ya kisomi?

Kuambiwa napindisha mada ni jambo ambalo nilishazoea si kwa jf tu.Ila kwa humu mnaniona napindisha mada kwa sababu ya kuhoji hoja zenu za kupinga mungu,na mnasahau kabisa tumeanzajeanzaje hadi kufikia hapa.

Lazima unione si muadilifu kwa kuhoji mawazo ya watu kama mimi au wewe ambayo wewe umekwishayaamini.
 
Kukariri kubaya sana,ila nitakuonesha upuuzi wa hii hoja yako.

Haya nitajie tu kitu ambacho hakipo.

Nani anakariri na nani haelewi sasa?

Mimi nimekuuliza unitajie kitu ambacho hakipo na kimeyhibitishwa kwamba hakipo, na wewe unaniuliza mimi nikutajie wewe tena kitu ambacho hakipo?

Hivi unaelewa hata maswali ninayokuuliza?
 
Kuambiwa napindisha mada ni jambo ambalo nilishazoea si kwa jf tu.Ila kwa humu mnaniona napindisha mada kwa sababu ya kuhoji hoja zenu za kupinga mungu,na mnasahau kabisa tumeanzajeanzaje hadi kufikia hapa.

Lazima unione si muadilifu kwa kuhoji mawazo ya watu kama mimi au wewe ambayo wewe umekwishayaamini.

Hujathibitisha kwamba mungu yupo.

Hujajibu imekuwaje mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote, upendo wote na uwepo pote ameumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati aliweza kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani.

Hujajibu maswali haya.
 
Nani anakariri na nani haelewi sasa?

Mimi nimekuuliza unitajie kitu ambacho hakipo na kimeyhibitishwa kwamba hakipo, na wewe unaniuliza mimi nikutajie wewe tena kitu ambacho hakipo?

Hivi unaelewa hata maswali ninayokuuliza?

Nimekwambia unitajie hicho kitu kisichokuwepo chochote kile, sio kwamba nimekwambia uthibitishe.
Sasa hapo usichoelewa ni nini?we si unataka nithibitishe.
 
Hujathibitisha kwamba mungu yupo.

Hujajibu imekuwaje mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote, upendo wote na uwepo pote ameumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati aliweza kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani.

Hujajibu maswali haya.

Kwa kuwa hadi sasa haujaweza kueleza kujipinga ni nini basi nami sitaweza kujibu hoja yako ya upendo wa mungu.
 
Nimekwambia unitajie hicho kitu kisichokuwepo chochote kile, sio kwamba nimekwambia uthibitishe.
Sasa hapo usichoelewa ni nini?we si unataka nithibitishe.

An all powerful, all knowing, all loving and all present godhead who created this world full of evil is inconceivable as existing due to the violation of the simple logic of non contradiction and logical consistency.

The same cannot be proven to not exist, because he does not exist to be proven that he does not exist.
 
Kwa kuwa hadi sasa haujaweza kueleza kujipinga ni nini basi nami sitaweza kujibu hoja yako ya upendo wa mungu.

Kujipinga ni pale mungu anapokuwa na tabia za kuwa na uwezo wote, ujuzi wote, upendo wote na uwepo pote halafu akaumba ulimwengu ambao unawezekana kuwa na mabaya wakati ana uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani.

Ni kujipinga kwa sababu mungu mwenye uwezo wote na upendo wote ili asijipinge anatakiwa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani, kwa sababu ana upendo wa kufanya hivyo na pia ana uwezo wa kufanya hivyo.

Kwa nini hakufanya hivyo?
 
An all powerful, all knowing, all loving and all present godhead who created this world full of evil is inconceivable as existing due to the violation of the simple logic of non contradiction and logical consistency.

The same cannot be proven to not exist, because he does not exist to be proven that he does not exist.

so! ulitaka mungu umfundishe kazi yakuumba kama unavyotaka wewe!
 
Wapi unapata upuuzi huu?

Una uwezo wa kusoma na kuelewa ninachoandika au unadandia tu hoja?

Kabla ya kusema mungu hivi au vile, ushaweza kujibu maswali niliyouliza? Ushaweza kuthibitisha kwamba yupo?
 
sifa ya ambacho kipo ni ipi?
 
Back
Top Bottom