COINCIDENCE: Moja ya ushahidi wa uwepo wa Mungu

Sasa kama hujui hilo je,hoja yako ni nini sasa? Na kwanini uhoji hekima ya kitu kisichokuwepo? Huoni kuwa hilo ni tatizo.

Nimekuuliza.

Ushawahi kusikia kitu kinaitwa "immanent critique" maisha yako yote?

Au tatizo langu ni kwamba nabishana na mtu ambaye hana exposure na elimu ya kutosha kunielewa hata ninachoandika ni nini?

Nataka kubishana na mtu kuhusu trigonometry wakati hajui the basic axioms of Euclidean geometry?
 
Umetoka nje kabisa ya swali nililokuuliza.

Whether ni mimi tu nikishindwa kuthibitisha kilichopo kipo au hata kama kilichopo hakithibitishiki kwamba kipo.

Either way.

How does either eventuality prove that god exists?

Tuseme option ya kwanza.

Mimi siwezi kuthibitisha kilichopo kipo.

Hilo linathibitishaje kwamba mungu yupo?

Au option ya pili.

Kilichopo hakithibitishiki kwamba kipo.

Hilo linathibitishaje kwamba mungu yupo?

Hujajibu swali.

Ikiwa kilichopo hakithibitishiki na kisichokuwepo hakithibitishiki.

Je,unapokuwa unataka uthibitishiwe kuwa mungu yupo unakuwa na maana gani?
 
Nimekuuliza.

Ushawahi kusikia kitu kinaitwa "immanent critique" maisha yako yote?

Au tatizo langu ni kwamba nabishana na mtu ambaye hana exposure na elimu ya kutosha kunielewa hata ninachoandika ni nini?

Nataka kubishana na mtu kuhusu trigonometry wakati hajui the basic axioms of Euclidean geometry?

Kwanza mie sibishani.

Ulikuja na mikwara ya "kisichokuwepo hakithibitishiki kwa sababu hakipo" ila nilivyokwambia uthibitishe kitu ambacho kipo pia umeshindwa.

Kukariri kubaya sana. Tuendelee
 
Ikiwa wote tumezaliwa na kukuta watu wanaoamini mungu na dini,wanaoamini mungu tu hawaamini dini,wanaoamini mizimwi na pia kuna wasioamini mungu.

Je,ni hoja ipi ambayo imewafanya muache imani zote hizo na kuamua kufuata wasioamini mungu?
 
Ikiwa kilichopo hakithibitishiki na kisichokuwepo hakithibitishiki.

Je,unapokuwa unataka uthibitishiwe kuwa mungu yupo unakuwa na maana gani?

Kwanza kabisa, hakuna popote niliposema kilichopo hakithibitishiki.

You have to differentiate a statement from a nuanced equivocation made with caveats, contexts, frames of reference, relativity, immanent critiques, logical short circuits exposes, blind alley eliminations and wild goose chases terminations.

Pili kabisa, nimekuonyesha tu kwamba habari yako nzima haithibitishi kuwapo kwa mungu.

Na mpaka sasa hujathibitisha kwamba mungu yupo.

Pia, hujatuonesha imekuwaje mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kaumba ulimwengu ambao ubaya unawezekana wakati ambao aliweza kuumba ulimwengu ambao ubaya hauwezekani.
 
Kwanza mie sibishani.

Ulikuja na mikwara ya "kisichokuwepo hakithibitishiki kwa sababu hakipo" ila nilivyokwambia uthibitishe kitu ambacho kipo pia umeshindwa.

Kukariri kubaya sana. Tuendelee

Kwako wewe kipimo chako cha uthibitisho ni nini?
 
Hujajibu swali la msingi la Uhuru. Je, nguvu zote na upendo wote wa Mungu hupimwa kwa kuondoa mabaya duniani? Zipo sheria nyingi ambazo wanasayansi wamezibaini kuwepo ulimwengu. Hili nalo ni issue! A law without a law giver? Kwa mfano mvutano (gravity), n.k. Je, kwa kuwa Mungu ana nguvu na upendo wote, kila mara mti unapotaka kuangukia mtu, auzuie? An enormous chaos will display in the universe! Istiari ya mfinyaji na vyungu ina mafunzo kwetu sisi tunaoamini. Waisraeli walilalama dhidi ya adhabu ya Mungu siku za Yeremia (626 B.C.). Yeremia alitumwa kwa mfinyanzi ajifunze jambo. Aliumba vyungu na kuviharibu. Mungu akasema, "...Ee nyumba ya Israeli, je! Siwezi mimi kuwatendea ninyi vile vile kama mfinyanzi huyu alivyotenda? Asema Bwana. Angalia kama udongo ulivyo katika mkono wa mfinyanzi, ndivyo mlivyo ninyi katika mkono wangu, Ee nyumba ya Israeli" (Yeremia 18:1-6). Mungu (i.e. mfinyanzi) aliwapeleka utumwani Babeli (606 B.C.) achilia mbali malalamiko yao.
 
mungu as super natural powers beyond human imagition does exist.tatizo ni ubnafsi wa wanadamu kujinasibisha naye
 
Kwanza kabisa, hakuna popote niliposema kilichopo hakithibitishiki.

You have to differentiate a statement from a nuanced equivocation made with caveats, contexts, frames of reference, relativity, immanent critiques, logical short circuits exposes, blind alley eliminations and wild goose chases terminations.

Pili kabisa, nimekuonyesha tu kwamba habari yako nzima haithibitishi kuwapo kwa mungu.

Na mpaka sasa hujathibitisha kwamba mungu yupo.

Pia, hujatuonesha imekuwaje mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kaumba ulimwengu ambao ubaya unawezekana wakati ambao aliweza kuumba ulimwengu ambao ubaya hauwezekani.

Kama huwezi kuthibitisha kilichokuwepo wala kisichokuwepo basi huwezi kuseama hakuna mungu. Kwa sababu wote tumezaliwa na kukuta watu wanaoamini mungu na wasioamini mungu,sasa kama itakuwa wewe unasema hata ukishindwa kuthibitisha kutokuwepo kwa mungu haifanyi kuwa mungu yupo basi na wanaoamini mungu watasema kushindwa kuthibitisha kuwepo kwa mungu vilevile pia haifanyi kuwa mungu hayupo.

Kwa sababu itakuwa umetumia hisia tu kusema hakuna mungu.
 
Kwako wewe kipimo chako cha uthibitisho ni nini?

Kipimo cha uthibitisho ndiyo nini wewe? Na inahusiana vp na wewe kusema kisichokuwepo hakithibitishiki halafu hapohapo ushindwe ushindwe kuthibitisha vilivyokuwepo?
 
Ikiwa wote tumezaliwa na kukuta watu wanaoamini mungu na dini,wanaoamini mungu tu hawaamini dini,wanaoamini mizimwi na pia kuna wasioamini mungu.

Je,ni hoja ipi ambayo imewafanya muache imani zote hizo na kuamua kufuata wasioamini mungu?

Ahaa kumbe nimeelewa leo kwamba wewe unasema mungu yupo kwa kiwa tu ulizaliwa ukakuta watu wanasema mungu yupo basi na wewe umekariri hivyo bila hata kushughulisha ubongo wako.,

Ikiwa ni hivo kwa wote kwamba tuwe na uvivu wa kufikiri mambo kwa kina basi hata leo tusingekuwa umeme,radio active waves,ndege magari n.k na hata tungekuwa tunaamini kwamba dunia ni bapa kama walivyoamini zamani.

Shughulisha ubongo wako kijana acha uvivu,mungu ni Idea aliyoiumba mwanadamu.Naanza kuamini kwamba hakuna uhonjwa mbaya kama ugonjwa wa imani.
 
Umelisoma swali langu hapo au umekurupuka tu?

Halafu kakuze uwezo wako wa kufikiri ndiyo uje kujadiliana na mimi.

"Naanza kuamini kwamba hakuna uhonjwa mbaya kama ugonjwa wa imani."

Ndiyo umeandika nini sasa.
 
Kama huwezi kuthibitisha kilichokuwepo wala kisichokuwepo basi huwezi kuseama hakuna mungu. Kwa sababu wote tumezaliwa na kukuta watu wanaoamini mungu na wasioamini mungu,sasa kama itakuwa wewe unasema hata ukishindwa kuthibitisha kutokuwepo kwa mungu haifanyi kuwa mungu yupo basi na wanaoamini mungu watasema kushindwa kuthibitisha kuwepo kwa mungu vilevile pia haifanyi kuwa mungu hayupo.

Kwa sababu itakuwa umetumia hisia tu kusema hakuna mungu.

Wapi nimesema siwezi kuthibitisha kilichopo?

Nimekuukiza standard yako ya uthibitisho ni nini, jama umejibu sijaliona jibu bado.
 
E
Kipimo cha uthibitisho ndiyo nini wewe? Na inahusiana vp na wewe kusema kisichokuwepo hakithibitishiki halafu hapohapo ushindwe ushindwe kuthibitisha vilivyokuwepo?

Kipimo cha uthibitisho ni kiwango cha kufikia ili kukuridhisha kwamba huu uthibitisho ni sahihi.

Kipimo chako cha uthibitisho ni nini?

Ukiwa unajadili kijuu juu bila kuzama katika hoja lazima utauliza maswali kama "kipimo cha uthibitisho ni nini".

Miji nishaongelea kwamba kipimo changu cha kusema mungu wenu hayupo ni lack of logical consistency.

Wewe kipimo chako cha uthibitisho ni nini?

Wanaopima kama kitu ni alkali au acid wana "litmus test".

What is your litmus test to separate a valid proof from hocus pocus?
 
"Kipimo cha uthibitisho ni kiwango cha kufikia ili kukuridhisha kwamba huu uthibitisho ni sahihi."

Hakuna cha zaidi katika hiyo tafsiri yako ya kipimo cha uthibitisho zaidi ya maana ya kupambanua uthibitisho uliyosahihi na uthibitisho usiosahihi.

Kwahiyo kuna uthibitisho ambao ni sahihi na kuna uthibisho ambao si sahihi. Kwahiyo suala si wewe kipimo chako ni kipi.
 
Back
Top Bottom