Colabo ya Joel Na Diamond haina afya kabisa kutokana na maadili ya Diamond

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,333
Reaction score
5,845
Nimeona mjadala wa colabo iliyofanywa ikimshirikisha Diamond,waislam wameuhamisha kuwa wa kidini.

Waliomlaumu Joel Lwaga,walimlaumu kwa sababu ameshirikiana na mtu wa muziki wa kidunia. Sio tu muziki wa kidunia,bali msimamo wa mtu huyo kuhusu maadili.

Siyo tu msimamo wake,bali kazi nyingi chafu alizozifanya ili kuharibu kizazi na kuwa amefanikiwa sana kwa hilo.

Nyimbo zake zilizojaa matusi zinathibitisha kauli zinazodai hiyo ni mission yake kubwa aliyopewa na illuminat ili kuharibu kizazi.

Hapana shaka yoyote,ameweza kukonga mioyo ya karibu kila binti nchi hii.Hiyo ni roho yenye nguvu sana lakini ni roho inayopingana na maadili ya Mungu.

Waislam wanaomtetea Diamond kwa kutumia uislam wake,je uislam unakubaliana na anayoyafanya huyu msanii?
 
Tuache ujinga na upuuzi wa kiumaskini na kunyonywa elimunya Tafakari na ccm!, mbona huyo Diamond anapopeleka misaada kwa watoto yatima tunasharehekea nankukenua meno ilihali anafanya mambo ya kidunia?.
 
it's all about the business..
 
Maadili yepi huyo diamond ni mtu mzima anaharibuje maadili ya watu wazima wenzie?

Kwanini kila DINI Ina Mungu wake Lakini shetani ni mmoja tu?
 
Tuache ujinga na upuuzi wa kiumaskini na kunyonywa elimunya Tafakari na ccm!, mbona huyo Diamond anapopeleka misaada kwa watoto yatima tunasharehekea nankukenua meno ilihali anafanya mambo ya kidunia?.
Mnakenua ninyi mnaodapoti mambo ya ushoga
 
Maadili yepi huyo diamond ni mtu mzima anaharibuje maadili ya watu wazima wenzie?

Kwanini kila DINI Ina Mungu wake Lakini shetani ni mmoja tu?
Anaharibu maadili kuanzia kwa watoto,unaowaona leo wana trend mjini kwa ushoga ni matokeo ya watu kama Diamond na wasanii wenzie waliopewa kazi hiyo na wanalipwa kwa kazi hiyo
Mungu wa kweli ni mmoja tu,wengine mnaoita mungu ni miungu tu na ndiye shetani mwenyewe
 
Joel ana kipaji ila akili hana na imani hana. Unaonaje sawa kumleta Daimond kwenye kumwimbia Kristo? Daimond anavuga mashoga, anaimba matusi na ufuska, anavaa kama mwanamke, kafanya mauchafu yote na kumuudhi Mungu. Halafu unaona sawa tu.

Unafanya waumini waone kumbe ni sawa tu
 
Muziki ni biashara, sijaona kosa la huyo muimba injili..
Kuna mmoja aliimba na harmonize sikuona mada kama sasa, au sikubahatika kuona?
 
Nimeona mjadala wa colabo iliyofanywa ikimshirikisha Diamond,waislam wameuhamisha kuwa wa kidini.

Waliomlaumu Joel Lwaga,walimlaumu kwa sababu ameshirikiana na mtu wa muziki wa kidunia. Sio tu muziki wa kidunia,bali msimamo wa mtu huyo kuhusu maadili.

Siyo tu msimamo wake,bali kazi nyingi chafu alizozifanya ili kuharibu kizazi na kuwa amefanikiwa sana kwa hilo.

Nyimbo zake zilizojaa matusi zinathibitisha kauli zinazodai hiyo ni mission yake kubwa aliyopewa na illuminat ili kuharibu kizazi.

Hapana shaka yoyote,ameweza kukonga mioyo ya karibu kila binti nchi hii.Hiyo ni roho yenye nguvu sana lakini ni roho inayopingana na maadili ya Mungu.

Waislam wanaomtetea Diamond kwa kutumia uislam wake,je uislam unakubaliana na anayoyafanya huyu msanii?
Shida ni pale mkisikia mtu akisema bwana, baba akasema kaokoka nyimbo zake mnaziita gospel. Tule anaikba nyimbo za insipiraration na anasaka chapaa. Acheni kumsumbua tutamwita miaka 30 ya bongo fleva 2040.
 
Maji na mafuta. Joel alijitambulisha kama muimba gospel, kafanya wimbo na mtoto wa mtume.
Sijawahi ona waimba kaswida wamemshirikisha muimba gospel. Kwa ufupi dogo ndio kapotea kabisa, atakosa kibali mazima.
 
Iliandikwa Wenye Afya Hawahitaji Daktari ila Walio wagonjwa.

Wimbo ni wa Kumsifu Mungu. Ulitaka Watu Wema Wakusanyane Ndio waimbe, Je Umejuaje Joel Lwagwa Kwamba yeye ni Mwema? Uwenda Katika Maisha Yake Diamond huko Mbeleni Atatumia Wimbo Huu Huu Kuomba Msamaha au Kumkumbusha Mungu kwamba Hata Nyimbo Nilikuimbia Nikumbuke Eh Bwana.

Tusijihesabie Haki Sana Mungu ana Njia Nyingi za Kuvuta Watu wake
 
Maji na mafuta. Joel alijitambulisha kama muimba gospel, kafanya wimbo na mtoto wa mtume.
Sijawahi ona waimba kaswida wamemshirikisha muimba gospel. Kwa ufupi dogo ndio kapotea kabisa, atakosa kibali mazima.

Kama Mungu wetu ni Mmoja na Wote alituumba Kwa Mfano wake kwanini Wahukumu Kwamba Yeye hatopata Kibali. Je! Wewe ni Msafi?
 
Back
Top Bottom