Colabo ya Joel Na Diamond haina afya kabisa kutokana na maadili ya Diamond

Inawezekana kupitia ushiriki wa Diamond injili kupitia hiyo Gospel ikafikia watu ambao Lwaga pekee asingewafikia.

After all andiko husema pelekeni injili kwa kila kiumbe, halikusema kwa wasio na dhambi
 
Nimeona mjadala wa colabo iliyofanywa ikimshirikisha Diamond,waislam wameuhamisha kuwa wa kidini.

Waliomlaumu Joel Lwaga,walimlaumu kwa sababu ameshirikiana na mtu wa muziki wa kidunia. Sio tu muziki wa kidunia,bali msimamo wa mtu huyo kuhusu maadili.

Siyo tu msimamo wake,bali kazi nyingi chafu alizozifanya ili kuharibu kizazi na kuwa amefanikiwa sana kwa hilo.

Nyimbo zake zilizojaa matusi zinathibitisha kauli zinazodai hiyo ni mission yake kubwa aliyopewa na illuminat ili kuharibu kizazi.

Hapana shaka yoyote,ameweza kukonga mioyo ya karibu kila binti nchi hii.Hiyo ni roho yenye nguvu sana lakini ni roho inayopingana na maadili ya Mungu.

Waislam wanaomtetea Diamond kwa kutumia uislam wake,je uislam unakubaliana na anayoyafanya huyu msanii?
Hao wasiofsnya colabo na "wanamuziki wa kidunia" Wana maadili gani? Kuna wale neema gospel ni kukata mauno,na vionjo vya kingono kama wapo club, Rose muhando, kila mtoto ana baba yake, Martha mwaipaja, na wa wengine wadsngaji tu,
Kinachowauma kwenye colabo ya Rwaga na Diamond, ni jinsi Joel atakavyo pata pesa nyingi kuwazidi, Diamond ndio mwanamuziki tajiri East Africa, ukipiga colabo nae,ni mpunga mrefu, mijitu myeusi tunapenda wote tuwe mafukara, akitokea mtu akatusua, ni kumchukia tu,
Diamond ana maadili mabaya,ila TV yake mnatumia kutangaza hizo "gospel " Zenu,
Platform zote za ki electronic hakuna ilitotengenezwa na, *walokole"waliozitengrneza kwanza, hawamjuhi Huyo Yesu, lakini, mnazitumia,
Smartphones, YouTube, insta, magari,
Maadili mabovu yapo na kanisani,
Ufuska,uzinzi, wizi wa, pesa, u kabila(Lutheran Church).
 
Waislam wanaomtetea Diamond kwa kutumia uislam wake,je uislam unakubaliana na anayoyafanya huyu msanii huyo.
Mwenye kujishabihisha na kundi huyo ni miongoni mwao. Diamond sio Muislamu.
images.jpeg
 
Nimeona mjadala wa colabo iliyofanywa ikimshirikisha Diamond,waislam wameuhamisha kuwa wa kidini.

Waliomlaumu Joel Lwaga,walimlaumu kwa sababu ameshirikiana na mtu wa muziki wa kidunia. Sio tu muziki wa kidunia,bali msimamo wa mtu huyo kuhusu maadili.

Siyo tu msimamo wake,bali kazi nyingi chafu alizozifanya ili kuharibu kizazi na kuwa amefanikiwa sana kwa hilo.

Nyimbo zake zilizojaa matusi zinathibitisha kauli zinazodai hiyo ni mission yake kubwa aliyopewa na illuminat ili kuharibu kizazi.

Hapana shaka yoyote,ameweza kukonga mioyo ya karibu kila binti nchi hii.Hiyo ni roho yenye nguvu sana lakini ni roho inayopingana na maadili ya Mungu.

Waislam wanaomtetea Diamond kwa kutumia uislam wake,je uislam unakubaliana na anayoyafanya huyu msanii?
Muislam gani kamtetea Mond?
Sheikh Ponda au Sheikh Kishk?
 
Huyu Lwanga itabidi naye akamatwe akapimwe marinda; inawezekana ni shoga. Haiwezekani ashirikiane na mashoga kuimba nyimbo halafu naye asiwe shoga. Natoa wito kwa waziri Gwajima D achukue hatua kudhibiti huu ushoga usiendelee kuenea hapa nchini.
Vipi ndugu yangu umejuaje ni shoga
 
Nimeona mjadala wa colabo iliyofanywa ikimshirikisha Diamond,waislam wameuhamisha kuwa wa kidini.

Waliomlaumu Joel Lwaga,walimlaumu kwa sababu ameshirikiana na mtu wa muziki wa kidunia. Sio tu muziki wa kidunia,bali msimamo wa mtu huyo kuhusu maadili.

Siyo tu msimamo wake,bali kazi nyingi chafu alizozifanya ili kuharibu kizazi na kuwa amefanikiwa sana kwa hilo.

Nyimbo zake zilizojaa matusi zinathibitisha kauli zinazodai hiyo ni mission yake kubwa aliyopewa na illuminat ili kuharibu kizazi.

Hapana shaka yoyote,ameweza kukonga mioyo ya karibu kila binti nchi hii.Hiyo ni roho yenye nguvu sana lakini ni roho inayopingana na maadili ya Mungu.

Waislam wanaomtetea Diamond kwa kutumia uislam wake,je uislam unakubaliana na anayoyafanya huyu msanii?
maadili ya mungu ndio kitu gani 🤔
 
Mnajifanya mmeokoka kumzidi petro 😀😀, joel ameshajua dini ni scam ndo maana anaimba inspiration songs apige hela apite hivi

Music is business, joel kaona opportunity ameichukua kwahiyo punguzeni ushauri
 
eleza kwa ufasaha mjuba
Viongozi wa imani kama walivyo binadamu wengine wana mapungufu yao na wana madhambi yao. Kitendo cha kuwa karibu yao kinaweza kukufanya uyajue madudu yao na hivyo kupuuzia mafundisho yao kwa sababu utakuwa unajua wanahubiri yaliyo kinyume na maisha yao.
 
Eti mtu anafanya matendo ya hisani kusaidia wengine lakini hataki kumsaidia baba yake!! Na bado inafanya collabo na mhamasishaji, msambazaji wa ushoga na mashoga.
 
Wewe umejuaje yule ni baba yake?
 
Back
Top Bottom