Joel lwaga na barnaba mbona hamkupiga kelele, kwani nyie ndo watoa hukumu mpka mumwone diamond ni mchafu kuzidi wengine? Una uhakika gani huyo pastor wako ni msafi kuliko diamond au kwa vile anakuombea kanisani ndo unasema ana kibali mbele ya Mungu??Wako wengi waimbaji wa injili wanaotamani kufanya collabo na wanamuziki wa kidunia. Wanaona ni fasheni mpya kushirikiana na watenda dhambi ili ujumbe ufike. Cha ajabu verse wanazoimba wa kidunia haziko kiinjili kama verse za wainjili, unakuta wimbo ni mmoja ila ni mix injili mix kidunia japo mukhtadha ni mmoja, wimbo kama omoyo remix wa jane miso feat harmonize na huu wa joel lwaga feat diamond. Hawa wa kidunia kumtaja Yesu kwenye verse zao ni shughuli pevu
Wako wengi waimbaji wa injili wanaotamani kufanya collabo na wanamuziki wa kidunia. Wanaona ni fasheni mpya kushirikiana na watenda dhambi ili ujumbe ufike. Cha ajabu verse wanazoimba wa kidunia haziko kiinjili kama verse za wainjili, unakuta wimbo ni mmoja ila ni mix injili mix kidunia japo mukhtadha ni mmoja, wimbo kama omoyo remix wa jane miso feat harmonize na huu wa joel lwaga feat diamond. Hawa wa kidunia kumtaja Yesu kwenye verse zao ni shughuli pevu
Hapa Afrika hakuna mtu ambaye tunaweza kusema unau practise ukristu katika ukamilifu wake wote, wengi ambao wanajiita wakristu are not full Christians ila still wana guts za kukosoa na kuwaona wengine kama mashetwani.Nimeona mjadala wa colabo iliyofanywa ikimshirikisha Diamond,waislam wameuhamisha kuwa wa kidini.
Waliomlaumu Joel Lwaga,walimlaumu kwa sababu ameshirikiana na mtu wa muziki wa kidunia. Sio tu muziki wa kidunia,bali msimamo wa mtu huyo kuhusu maadili.
Siyo tu msimamo wake,bali kazi nyingi chafu alizozifanya ili kuharibu kizazi na kuwa amefanikiwa sana kwa hilo.
Nyimbo zake zilizojaa matusi zinathibitisha kauli zinazodai hiyo ni mission yake kubwa aliyopewa na illuminat ili kuharibu kizazi.
Hapana shaka yoyote,ameweza kukonga mioyo ya karibu kila binti nchi hii.Hiyo ni roho yenye nguvu sana lakini ni roho inayopingana na maadili ya Mungu.
Waislam wanaomtetea Diamond kwa kutumia uislam wake,je uislam unakubaliana na anayoyafanya huyu msanii?
Njia mojawapo ya kukufanya uendelee kuwa na imani ni pamoja na kujiweka mbali na hawa watumishi wa nyumba za imani. Unajua ni kwanini ipo hivyo ?Wanaona ni fasheni mpya kushirikiana na watenda dhambi ili ujumbe ufike
eleza kwa ufasaha mjubaNjia mojawapo ya kukufanya uendelee kuwa na imani ni pamoja na kujiweka mbali na hawa watumishi wa nyumba za imani. Unajua ni kwanini ipo hivyo ?
Hata maandiko yanasema sikuja kwaajili ya wema bali kwajili ya wenye dhambi Yesu mwenye alisema pia sio wote wasemao bwana bwana watauona ufalme wa mbinguNimeona mjadala wa colabo iliyofanywa ikimshirikisha Diamond,waislam wameuhamisha kuwa wa kidini.
Waliomlaumu Joel Lwaga,walimlaumu kwa sababu ameshirikiana na mtu wa muziki wa kidunia. Sio tu muziki wa kidunia,bali msimamo wa mtu huyo kuhusu maadili.
Siyo tu msimamo wake,bali kazi nyingi chafu alizozifanya ili kuharibu kizazi na kuwa amefanikiwa sana kwa hilo.
Nyimbo zake zilizojaa matusi zinathibitisha kauli zinazodai hiyo ni mission yake kubwa aliyopewa na illuminat ili kuharibu kizazi.
Hapana shaka yoyote,ameweza kukonga mioyo ya karibu kila binti nchi hii.Hiyo ni roho yenye nguvu sana lakini ni roho inayopingana na maadili ya Mungu.
Waislam wanaomtetea Diamond kwa kutumia uislam wake,je uislam unakubaliana na anayoyafanya huyu msanii?
Bado mie sioni ishu, wote wanaimbia pesa.huyo alipata kashkashi kanisani kwake kama hujui
Wewe ni mtakatifu sana? Wee mbona una dhambi ya UONGO, juu ya sakata la usajiri wa Aziz Ki, na uzi wako uko humu.Joel ana kipaji ila akili hana na imani hana. Unaonaje sawa kumleta Daimond kwenye kumwimbia Kristo? Daimond anavuga mashoga, anaimba matusi na ufuska, anavaa kama mwanamke, kafanya mauchafu yote na kumuudhi Mungu. Halafu unaona sawa tu.
Unafanya waumini waone kumbe ni sawa tu
Nani kakuambia Barnaba ni muadilifu? Na uwadilifu wa mtu unapimwaje?Wanamuziki wa injili ambao wako likelly kufanya collabo na wanamuziki wa kidunia wako wengi wala si joel tu. Joel alishafanya collabo na barnaba hakupigiwa kelele, labda barnaba ni muadilifu
wimbo wa joel uliopokelewa vema ni ule wa kwanza tu, zilizofuata zikawa hazina mvuto, ni baridi mpaka akaanza kushirikiana na wanamuziki wa kidunia. Unaambiwa hukumu ya bwana huanzia nyumbani kwake acheni ahukumiwe na wakristo wenzake. Wakristo ukienda nje ya code zao kitakulamba tu wala msimtee na asijitetee aombe radhi jamii yake, asishupaze shingo kama anavyotoa povu jingi kwa wanaomuhukumuKwamba kosa la Joel lwaga ni kushirikiana na diamond kufanya mziki si ndio? Kwahiyo Leo wenye dhambi inabidi tuwatenge?? Au tusishirikiane nao kivyovyote?? Au ndo mpka watubu na kuondoka ndo tuwaamini?? Acheni kuhesabu haki asee hicho mnachofanya ni ujinga
Wapi hiyo track. Mwenye nayo ashee please.Nimeona mjadala wa colabo iliyofanywa ikimshirikisha Diamond,waislam wameuhamisha kuwa wa kidini.
Waliomlaumu Joel Lwaga,walimlaumu kwa sababu ameshirikiana na mtu wa muziki wa kidunia. Sio tu muziki wa kidunia,bali msimamo wa mtu huyo kuhusu maadili.
Siyo tu msimamo wake,bali kazi nyingi chafu alizozifanya ili kuharibu kizazi na kuwa amefanikiwa sana kwa hilo.
Nyimbo zake zilizojaa matusi zinathibitisha kauli zinazodai hiyo ni mission yake kubwa aliyopewa na illuminat ili kuharibu kizazi.
Hapana shaka yoyote,ameweza kukonga mioyo ya karibu kila binti nchi hii.Hiyo ni roho yenye nguvu sana lakini ni roho inayopingana na maadili ya Mungu.
Waislam wanaomtetea Diamond kwa kutumia uislam wake,je uislam unakubaliana na anayoyafanya huyu msanii?
Uislamu haukubaliani na mashoga. Kwa hiyo, hawakubaliani na Diyamond hata kidogo.Nimeona mjadala wa colabo iliyofanywa ikimshirikisha Diamond,waislam wameuhamisha kuwa wa kidini.