Hao wasiofsnya colabo na "wanamuziki wa kidunia" Wana maadili gani? Kuna wale neema gospel ni kukata mauno,na vionjo vya kingono kama wapo club, Rose muhando, kila mtoto ana baba yake, Martha mwaipaja, na wa wengine wadsngaji tu,Nimeona mjadala wa colabo iliyofanywa ikimshirikisha Diamond,waislam wameuhamisha kuwa wa kidini.
Waliomlaumu Joel Lwaga,walimlaumu kwa sababu ameshirikiana na mtu wa muziki wa kidunia. Sio tu muziki wa kidunia,bali msimamo wa mtu huyo kuhusu maadili.
Siyo tu msimamo wake,bali kazi nyingi chafu alizozifanya ili kuharibu kizazi na kuwa amefanikiwa sana kwa hilo.
Nyimbo zake zilizojaa matusi zinathibitisha kauli zinazodai hiyo ni mission yake kubwa aliyopewa na illuminat ili kuharibu kizazi.
Hapana shaka yoyote,ameweza kukonga mioyo ya karibu kila binti nchi hii.Hiyo ni roho yenye nguvu sana lakini ni roho inayopingana na maadili ya Mungu.
Waislam wanaomtetea Diamond kwa kutumia uislam wake,je uislam unakubaliana na anayoyafanya huyu msanii?
Mwenye kujishabihisha na kundi huyo ni miongoni mwao. Diamond sio Muislamu.Waislam wanaomtetea Diamond kwa kutumia uislam wake,je uislam unakubaliana na anayoyafanya huyu msanii huyo.
Muislam gani kamtetea Mond?Nimeona mjadala wa colabo iliyofanywa ikimshirikisha Diamond,waislam wameuhamisha kuwa wa kidini.
Waliomlaumu Joel Lwaga,walimlaumu kwa sababu ameshirikiana na mtu wa muziki wa kidunia. Sio tu muziki wa kidunia,bali msimamo wa mtu huyo kuhusu maadili.
Siyo tu msimamo wake,bali kazi nyingi chafu alizozifanya ili kuharibu kizazi na kuwa amefanikiwa sana kwa hilo.
Nyimbo zake zilizojaa matusi zinathibitisha kauli zinazodai hiyo ni mission yake kubwa aliyopewa na illuminat ili kuharibu kizazi.
Hapana shaka yoyote,ameweza kukonga mioyo ya karibu kila binti nchi hii.Hiyo ni roho yenye nguvu sana lakini ni roho inayopingana na maadili ya Mungu.
Waislam wanaomtetea Diamond kwa kutumia uislam wake,je uislam unakubaliana na anayoyafanya huyu msanii?
Vipi ndugu yangu umejuaje ni shogaHuyu Lwanga itabidi naye akamatwe akapimwe marinda; inawezekana ni shoga. Haiwezekani ashirikiane na mashoga kuimba nyimbo halafu naye asiwe shoga. Natoa wito kwa waziri Gwajima D achukue hatua kudhibiti huu ushoga usiendelee kuenea hapa nchini.
maadili ya mungu ndio kitu gani π€Nimeona mjadala wa colabo iliyofanywa ikimshirikisha Diamond,waislam wameuhamisha kuwa wa kidini.
Waliomlaumu Joel Lwaga,walimlaumu kwa sababu ameshirikiana na mtu wa muziki wa kidunia. Sio tu muziki wa kidunia,bali msimamo wa mtu huyo kuhusu maadili.
Siyo tu msimamo wake,bali kazi nyingi chafu alizozifanya ili kuharibu kizazi na kuwa amefanikiwa sana kwa hilo.
Nyimbo zake zilizojaa matusi zinathibitisha kauli zinazodai hiyo ni mission yake kubwa aliyopewa na illuminat ili kuharibu kizazi.
Hapana shaka yoyote,ameweza kukonga mioyo ya karibu kila binti nchi hii.Hiyo ni roho yenye nguvu sana lakini ni roho inayopingana na maadili ya Mungu.
Waislam wanaomtetea Diamond kwa kutumia uislam wake,je uislam unakubaliana na anayoyafanya huyu msanii?
Viongozi wa imani kama walivyo binadamu wengine wana mapungufu yao na wana madhambi yao. Kitendo cha kuwa karibu yao kinaweza kukufanya uyajue madudu yao na hivyo kupuuzia mafundisho yao kwa sababu utakuwa unajua wanahubiri yaliyo kinyume na maisha yao.eleza kwa ufasaha mjuba
Wewe umejuaje yule ni baba yake?Eti mtu anafanya matendo ya hisani kusaidia wengine lakini hataki kumsaidia baba yake!! Na bado inafanya collabo na mhamasishaji, msambazaji wa ushoga na mashoga.