TANZIA Colin Powell, aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa kwanza Mweusi wa Marekani, afariki Dunia kwa COVID-19

Apumzike kwa amani
 
Hao wapuuzi wanaosema mbona kachanjwa na kafa,wala usiwajibu chochote waache wajifurahishe wana ujinga wa Kurithi kutoka kwa Kayafa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Pokeeni ukweli huo alichanja na amefariki. Kufa kupo tu umechanja hujachanja when it's time to go you shuffle off this mortal coil sasa mnaleta maelezo mengi alikuwa na kansa na nini kwani wengine waliofariki mnaowachafua hua mnajua magonjwa yao mengine si hua mnang'ang'ana na koona tu ili mfurahishe genge...
 

Ngoja waje wazee wa kupinga chanjo, kaa mkao wa kula BAK 😁 kama hawajakubishia na kusema hakuwa na covid 😁
 
Kule juu nilishaweka hiyo kitu kwamba pamoja na kupata chanjo lakini kama mhusika ana complications nyingine za kiafya basi akipata COVID-19 inaweza kabisa ikachukua uhai wake. Na kweli baadaye ilithibitishwa kwamba alikuwa ana blood cancer, myeloma, ambayo ina suppress immunity ya kupambana na magonjwa mbali mbali.


Ngoja waje wazee wa kupinga chanjo, kaa mkao wa kula BAK 😁 kama hawajasema alikuwa anaumwa sana 😁
 

Kweli kabisa mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…