UP TO DATE
JF-Expert Member
- Apr 20, 2021
- 740
- 903
Mwishowe silaha za nyuklia zikawa hazipo,daaah na marekani wanavyojua kuomba msamaha...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi kama alitubu kabla ya kufariki??Amani gani ng'o.... yeye na Blair na Goji Bush wameogea damu za innocent civilians !!
Wana kesi za kujibu.... hesabu zao zinawatafuna moja 1 ...!!
Hao wapuuzi wanaosema mbona kachanjwa na kafa,wala usiwajibu chochote waache wajifurahishe wana ujinga wa Kurithi kutoka kwa Kayafa.Alikuwa na cancer ya damu inayopunguza kinga mwilini, hata uchanjwa vipi, bado uko kwenye hatari ya 50/50
Apumzike kwa amaniCovid imechangia lakini kama wataalamu wanavyosema ukiwa mzee na mgojwa ni hatari zaidi. Alikuwa na Cancer
=====
Colin Powell, the former secretary of State and chairman of the Joint Chiefs of Staff, has died from Covid complications at the age of 84.
Powell was previously diagnosed with multiple myeloma, a type of blood cancer that hurts the body’s ability to fight infections.
“General Colin L. Powell, former U.S. Secretary of State and Chairman of the Joint Chiefs of Staff, passed away this morning due to complications from Covid 19,” the Powell family wrote on Facebook.
“We have lost a remarkable and loving husband, father, grandfather and a great American,” the family said, noting he was fully vaccinated.
Powell, the son of Jamaican immigrants, became the first Black national security adviser during the Reagan administration.
President George H.W. Bush tapped Powell to be the youngest and first Black chairman of the Joint Chiefs of Staff.
As chairman, he oversaw America’s Desert Storm operations during the Persian Gulf war. After 35 years of military service, Powell retired from the U.S. Army as a four-star general.
In 2001, he became the first Black secretary of State under President George W. Bush.
Source: CNBC
Ndio black AmericanHuyo ni mweusi???mhhh
Hao wapuuzi wanaosema mbona kachanjwa na kafa,wala usiwajibu chochote waache wajifurahishe wana ujinga wa Kurithi kutoka kwa Kayafa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naam inatokea pamoja na kuwa ni asilimia ndogo. Wengi katika umri huo kama wana complications nyingine za kiafya wanatakiwa wapate booster shot. Nadhani kuanzia sasa hiyo booster shot itapata wateja wengi sana. Na wengine wameshachanjwa pamoja na kuwa umri wao si mkubwa kihivyo. COVID-19 ni balaa kubwa.
Ngoja waje wazee wa kupinga chanjo, kaa mkao wa kula BAK 😁 kama hawajasema alikuwa anaumwa sana 😁
Kule juu nilishaweka hiyo kitu kwamba pamoja na kupata chanjo lakini kama mhusika ana complications nyingine za kiafya basi akipata COVID-19 inaweza kabisa ikachukua uhai wake. Na kweli baadaye ilithibitishwa kwamba alikuwa ana blood cancer, myeloma, ambayo ina suppress immunity ya kupambana na magonjwa mbali mbali.