Collaboration bora zaidi za Bongo Fleva

Collaboration bora zaidi za Bongo Fleva

Acha uongo!
Nature na Haroun hawakuwahi kuwa mahasimu...
Unajua maana ya uhasimu kwenye fani dogo?

Nimeishi nao Temeke enzi hizo so najua ninachomaanisha wakati huo wewe labda upo kwenu huko madongo kuinama unachunga ndama

Ali kibakuli na domo hawajawahi kugombana binafsi ila fani inawafanya kuwa mahasimu wakubwa
Fid Q na Joh Makini hawajawahi kugombana lakini fani inawafanya kuwa mahasimu

Inspct na Nature enzi hizo waliwagawa mashabiki wa uswahili kila mtu akidai anayempenda ndio bora

Kiroboto akiwa na KR Mura wakatoa Mzee wa busara baadae Majani akawakutanisha na verse ya Kr ikatolewa ikaingizwa ya Inspct
Kila mtu hakuamini inakuaje Nature na Haroon ndani ya track moja?
Ni kama leo usikie Domo na kibakuli wametoa kolabo
 
Ali k
Huyo hajui anachokisema
 
Wangekua mahasimu wasingeunda kundi moja Wanaume Halisi (ndege tunduni)
 
-One, Nikkmbish,sterio ft Fidq_classic
-Gwea ft fidq _Cnn
-Geez mabovu ,gwea dark master_Dakika 0
-Nyandu toz ft blue, gnako _ 26 number
-Zaiid ft damian_ mistar yako
-Adili ft gnako niki wa 2_kikazi
 
Ngwear ft Fid Q - CNN
Fid Q ft AY - Microphone
Fid Q ft Diamond and Rayvanny - Fresh
 
Back
Top Bottom