Number ni 26
JF-Expert Member
- Apr 3, 2019
- 1,573
- 3,088
- Thread starter
- #21
Ndo maana nikasema zingine mtaongezea mkuuJamaa kaikosea sana hiyo ngoma et ajaiweka kwenye list- nilikuwa naitafuta kwenye comment kama nisingeiona ningeikoment mimi mwenyewe, hiyo ngoma ni nomaaa