Collaboration kali zilizowahi kusumbua Bongo

Collaboration kali zilizowahi kusumbua Bongo

Zeze,TiD na Moo technique
Girlfriend,TiD na Moo
 
Kwema wakuu,

Kwa wale wapenzi wa burudani hasa music wa hapa home sweet home (bongo flavor) wa kizazi cha kati na cha sasa, utakubaliana na mimi kwamba katika collabo zilizowahi kutokea na kusumbua bongo kila kona, katika nyingi zikitajwa basi hizi haziwezi kukosa kwenye list;

1. Dhahabu ya Dully ft Blue & Joslin

2. Nilikataa ya Top band ft Blue

3. Number One Remix ya Diamond ft Davido

4. Muziki Gani ya Ney ft Diamond

5. Kimya kimya ya Jay Moe ft Ngwea

6. Hawatuwezi ya N2N ft Enika

7. Nitoke Vipi ya Misosi ft Hardmad

9. Mchizi Wangu remix ya N2N ft All Stars

10. Namba 8 ya Daz Baba ft Fid Q

11. Starehe ya Ferooz ft Prof. Jay

12. Nikusaidiaje ya Jay ft Ferooz

13. Wife ya Daz Baba ft Ngwea

14. Latifa ya Mb Dogg ft Madee

15. Tabasamu ya Blue ft Q Chilla

16. Dar es Salaam Stand Up Chidi Benz ft Ditto

17. Maisha na Muziki ya Darasa ft Ben Pol

18. Inamana ya Mb Dogg ft Madee

19. Nipeni Dili ya Ngwea ft Dark Master

20. Tax Bubu ya Matonya ft Fid Q

Orodha ni ndefu, zingine utaongezea, Ila hizo ngoma zilisumbua sana wakati wake.

NB: Njiti moja ya kiberiti inaweza kuchoma msitu wa Amazon.

Naomba kuwasilisha. I'm out.
Yaani kwangwaru haipo ? Na hata starehe ya ferooz hamna , We jamaa wewe utakuwa mvuta bangi
 
Mzee wa Busara -Juma Nature ft Inspector Haroun

Kama Unataka Demu -Jay Moe ft Q Chillah

Ndiyo Mzee- Prof Jay ft Juma Nature

Nitoke Vipi- Bwana Misosi ft Hard Mad

2 Berry ft Shirko - Na Wewe Tu

Hii Leo - GK ft AY&FA

Hapa nakazia kwa kuongezea
Nipo Gado - Zay B X Nature

Na kwa ngoma za kisasa nadhani Kwangwaru - Konde X Chibu ipewe mau yake
 
Afande Sele Ft Daz baba mkuki moyoni

Afande Sele Ft Solo Thang and prof Jay Mtazamo

Mh Temba Ft Ray C Nipe Mimi
 
Melody Mbassa - Nikukoleze

Melody Mbassa ft Papi Kocha - Upepo

Ngoja nisikilize hizo nilale
 
Back
Top Bottom