Collaboration kali zilizowahi kusumbua Bongo

Collaboration kali zilizowahi kusumbua Bongo

Namba 3 na 4 ni uongo, zilizosalia zote ni za moto aisee.
 
Collabo kali 20, alafu unaiacha Ukisikia paaah remix ya JCB ft. Fid q, Jay Mo na Chid Benz?
Unaujua mziki kweli?

Collabo 20 kali, alafu unaacha kuitaja MTAZAMO ya Afande Sele ft Prof J na Solo thang? Unaujua mziki kweli?

Wapi CNN ya Ngwair na Fid q?

"Gereza sio kaburi, hebu jikaze mtoto wa kiume.
Kulialia sio vizuri, unakufuru mswalie Mtume", nayo umeiacha? [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

List yako ni batili!
 
Mkuu mbona sijasema callobo 20! Lakini pia nimesema hizo baadhi tu zingine mtaongezea kama ulivyoongeza. Am I right? Asante!
 
MIMI - Geez Mabovu, Jay Moe, Chidy Benz, Fid Q & Naakaya.

Dakika 0 - Geez, Ngwair, Dark Master, Jay Moe.

Chagua Moja - Fid Q, Adili, Langa, TID, Black Rhino.

Hapo Sawa Remix - Prof Jay, Mwana FA, Lord Eyes, Chidy Benz, Babuu wa Kitaa..
 
Juu hapo ungeanza na
ALIKIBA FT PATORANKING - BWANA MDOGO
 
1. Besta ft Menton kronno - Baby Boy
2. Best ft Dully Sykes - Kama Ulivyo
3. Machalii wawili - Ni Rafiki
4. Prof J ft Chameleone - Ndivyo Sivyo
5. Ngwear ft Dark Master - Nipe Dili + She got a gwan
6. Sugu ft Stara - Sugu
7. Shetta ft Dully & Tunda - Mdananda
8. Innosb ft Diamond - Yope
9. Ommy Dimpoz ft J Martins - Tupogo
10. Ommy Dimpoz ft Alikiba - Nainai
11. Temba ft Ray C - Nipe mimi
12. D Knob ft Cannibal - Bad man
 
100%
 
Back
Top Bottom