Number ni 26
JF-Expert Member
- Apr 3, 2019
- 1,573
- 3,088
- Thread starter
-
- #21
Ndo maana nikasema zingine mtaongezea mkuuJamaa kaikosea sana hiyo ngoma et ajaiweka kwenye list- nilikuwa naitafuta kwenye comment kama nisingeiona ningeikoment mimi mwenyewe, hiyo ngoma ni nomaaa
Dah Hii leo niliisahau, ilikuwa club bang'erMzee wa Busara -Juma Nature ft Inspector Haroun
Kama Unataka Demu -Jay Moe ft Q Chillah
Ndiyo Mzee- Prof Jay ft Juma Nature
Nitoke Vipi- Bwana Misosi ft Hard Mad
2 Berry ft Shirko - Na Wewe Tu
Hii Leo - GK ft AY&FA
Sijawahi kuupenda huo wimbo.
Ndo maana nikasema zingine mtaongezeaNime itafuta Mtazamo kweny list yako sija iona kijana hiyo list ni batili
Sent from my SM-G950U using JamiiForums mobile app
Mkuu mbona sijasema callobo 20! Lakini pia nimesema hizo baadhi tu zingine mtaongezea kama ulivyoongeza. Am I right? Asante!Collabo kali 20, alafu unaiacha Ukisikia paaah remix ya JCB ft. Fid q, Jay Mo na Chid Benz?
Unaujua mziki kweli?
Collabo 20 kali, alafu unaacha kuitaja MTAZAMO ya Afande Sele ft Prof J na Solo thang? Unaujua mziki kweli?
Wapi CNN ya Ngwair na Fid q?
"Gereza sio kaburi, hebu jikaze mtoto wa kiume.
Kulialia sio vizuri, unakufuru mswalie Mtume", nayo umeiacha? [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
List yako ni batili!
Naomba usikilizweNamba 3 na 4 ni uongo, zilizosalia zote ni za moto aisee.
[emoji1787][emoji3] Au sioTuache kwanza tupo na bandari
Hapa tupo pamoja 100%MIMI - Geez Mabovu, Jay Moe, Chidy Benz, Fid Q & Naakaya.
Dakika 0 - Geez, Ngwair, Dark Master, Jay Moe.
Chagua Moja - Fid Q, Adili, Langa, TID, Black Rhino.
Hapo Sawa Remix - Prof Jay, Mwana FA, Lord Eyes, Chidy Benz, Babuu wa Kitaa..
100%1. Besta ft Menton kronno - Baby Boy
2. Best ft Dully Sykes - Kama Ulivyo
3. Machalii wawili - Ni Rafiki
4. Prof J ft Chameleone - Ndivyo Sivyo
5. Ngwear ft Dark Master - Nipe Dili + She got a gwan
6. Sugu ft Stara - Sugu
7. Shetta ft Dully & Tunda - Mdananda
8. Innosb ft Diamond - Yope
9. Ommy Dimpoz ft J Martins - Tupogo
10. Ommy Dimpoz ft Alikiba - Nainai
11. Temba ft Ray C - Nipe mimi
12. D Knob ft Cannibal - Bad man