Dj_pacha the baddest
Member
- Jun 14, 2023
- 31
- 48
malizia na Kimbia ya Kingoko pamoja na wew ndo mchizi wangu rmx tufunge list😉MIMI - Geez Mabovu, Jay Moe, Chidy Benz, Fid Q & Naakaya.
Dakika 0 - Geez, Ngwair, Dark Master, Jay Moe.
Chagua Moja - Fid Q, Adili, Langa, TID, Black Rhino.
Hapo Sawa Remix - Prof Jay, Mwana FA, Lord Eyes, Chidy Benz, Babuu wa Kitaa..
No 1 ni [emoji91][emoji91][emoji91]Abdul Kiba- ft Neiba & Ney- Huyo sio demu
Marlaw ft Kigwema- sitomsahau
Ferooz ft Prof J- Nikusaidieje
Z Antony Ft Pingu- B.Kiziwi
Matonya- fr Jay Dee- Anita
Ali kiba ft Hakeem- Nakshi Nakshi
Belle 9 ft Mr Blue- wewe Ni wangu rmx
Berry Black ft Sumalee- Nisamehe
Mchizi wangu remix ipo kwenye list. Hiyo kimbia [emoji106]malizia na Kimbia ya Kingoko pamoja na wew ndo mchizi wangu rmx tufunge list😉
Pressure ilisumbua sana those daysUsiende mbali nami Bushoke ft Juliana
Nivumilie Baraka ft Ruby
Umebadilika Nandy ft bright
Nipe ripoti Tundaman ft Spark
Ni hayo Tu Fid q Langa, Professor Jay
Joto hasira Jay Dee ft professor jay
Hawajui FA ft jay Dee
Kama vipi Mez b ft Ray c
Ingewezekana D knob ft Ray c
Sauti ya manka GK ft Pauline Zongo
Yote ni Maisha Madee ft Majani
Kiburi Mr. 2 sugu ft stra Thomas
Ila kubwa kuliko
Pressure Khafsa Kazinja ft Banana
Hahaha kama mimi tu, nasikia wanapiga kelele tu.Sijawahi kuupenda huo wimbo.
Zina bang kitaa sio?Chindo Man ft Dully Sykes- Binti Masai
Chindo Man ft Ray Van - Mama Lao
Chid Benz,Jay Moe, Chindo Man,Wakazi .... et al - Torati ya Mtaa
Mimi nikisikiliza huwa unanishusha energy.Hahaha kama mimi tu, nasikia wanapiga kelele tu.
Ujuaji[emoji849]Nadhani huelewi maana ya collaboration,kichwa cha habari unaongelea collabo alafu kwenye maelezo unatutajia featuring!
Si kweli.Ngwair ft Fid Q-CNN
Collabo bora bila hizi nyimbo?Kwema wakuu,
Kwa wale wapenzi wa burudani hasa music wa hapa home sweet home (bongo flavor) wa kizazi cha kati na cha sasa, utakubaliana na mimi kwamba katika collabo zilizowahi kutokea na kusumbua bongo kila kona, katika nyingi zikitajwa basi hizi haziwezi kukosa kwenye list;
1. Dhahabu ya Dully ft Blue & Joslin
2. Nilikataa ya Top band ft Blue
3. Number One Remix ya Diamond ft Davido
4. Muziki Gani ya Ney ft Diamond
5. Kimya kimya ya Jay Moe ft Ngwea
6. Hawatuwezi ya N2N ft Enika
7. Nitoke Vipi ya Misosi ft Hardmad
9. Mchizi Wangu remix ya N2N ft All Stars
10. Namba 8 ya Daz Baba ft Fid Q
11. Starehe ya Ferooz ft Prof. Jay
12. Nikusaidiaje ya Jay ft Ferooz
13. Wife ya Daz Baba ft Ngwea
14. Latifa ya Mb Dogg ft Madee
15. Tabasamu ya Blue ft Q Chilla
16. Dar es Salaam Stand Up Chidi Benz ft Ditto
17. Maisha na Muziki ya Darasa ft Ben Pol
18. Inamana ya Mb Dogg ft Madee
19. Nipeni Dili ya Ngwea ft Dark Master
20. Tax Bubu ya Matonya ft Fid Q
Orodha ni ndefu, zingine utaongezea, Ila hizo ngoma zilisumbua sana wakati wake.
NB: Njiti moja ya kiberiti inaweza kuchoma msitu wa Amazon.
Naomba kuwasilisha. I'm out.
Ndo maana nikasema zingine mtaongezeaCollabo bora bila hizi nyimbo?
Niaje Nivipi
Kila Wakati
Higher
Hawatuwezi
Ukasema wewe na nani? Hebu edit post yako alafu weka hizo nilizotaja hapoNdo maana nikasema zingine mtaongezea