Colonel Macgregor wa Marekani asema Biden alikataa kukiri madai muhimu ya Putin, sasa atazame tu kwa macho uvamizi wa kijeshi wa Putin Ukraine

Aliwekwa na Putin Wamarekani wakamshtukia huyo babu

Acha uongo, Putin alimwekaje?. Umesoma report ya karibuni kuhusu alichafanya hilarry Clinton?. Trump alikuwa rais bora sema democtrats ya akina Biden ndio walimwangusha pamoja na Corona.
 
mwenzako anatumia akili kumbuka ana maadui wawili china na urusi, akiingia vitani china anampita kiuchumi kumbuka vita inashusha sana uchumi na hicho hataki kitokee, kumbuka kilichompandisha marekani kua super power ni sababu waliokua superpower wa enzi hizo waliingia vitani yeye akautumia muda huo kujenga uchumi
 
Marekani ni mbwa wakizungu tu! Awezi kwa mbwa mwitu!
 
 

Attachments

  • VID-20220224-WA0135.mp4
    9.7 MB
  • VID-20220224-WA0136.mp4
    956.5 KB
Acha uongo, Putin alimwekaje?. Umesoma report ya karibuni kuhusu alichafanya hilarry Clinton?. Trump alikuwa rais bora sema democtrats ya akina Biden ndio walimwangusha pamoja na Corona.
Ubishi siuhitaji?; ww umepata, umepatapata na kupatia[emoji122][emoji122][emoji122]
 
Macgregor yupo sahihi hata mimi sipo tayari kujadiliana usalama wa watu wangu mezani na pia siwezi kukubari upuuzi wa adui yangu kwenda kwa jirani yangu ati jirani yangu aendelee kuwa rafiki, ni big no. Nawashambulia wote
 
Lini UN haijawahi kuwa toothless ?
 
Mtag mkenya mmoja..[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Buddah hivi na nyie Bado mnamuamini mmarekani.. 100%??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
having lived in america and israel those people,ama wacha tu. to me NO am open minded
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…