Colonel Macgregor wa Marekani asema Biden alikataa kukiri madai muhimu ya Putin, sasa atazame tu kwa macho uvamizi wa kijeshi wa Putin Ukraine

Aliwekwa na Putin Wamarekani wakamshtukia huyo babu

Acha uongo, Putin alimwekaje?. Umesoma report ya karibuni kuhusu alichafanya hilarry Clinton?. Trump alikuwa rais bora sema democtrats ya akina Biden ndio walimwangusha pamoja na Corona.
 
Ni watu wachache sana kule USA wanaweza kusema haya in bold. na ni ukweli uliowazi wangekuwa wameyasikiliza madai ya Russia leo tusingezungumza hiyo vita.

Leo USA inaonekana haina nguvu tena maana haiwezi kutoa displine kwa nchi ingine kama ilivyokuwa huko nyuma, leo USA anakiri hatoingia vitani zaidi ya vikwazo vya kiuchumi.

Marekani sasa inaonekana kama msemaji tu pasipo vitendo.

Goo Putin Go mpaka waseme NATO haitajisogeza karibu nawe
mwenzako anatumia akili kumbuka ana maadui wawili china na urusi, akiingia vitani china anampita kiuchumi kumbuka vita inashusha sana uchumi na hicho hataki kitokee, kumbuka kilichompandisha marekani kua super power ni sababu waliokua superpower wa enzi hizo waliingia vitani yeye akautumia muda huo kujenga uchumi
 
Marekani ni mbwa wakizungu tu! Awezi kwa mbwa mwitu!
 
Kipindi yupo huyu jamaa, Putin alitulia tuli kama maji tungini.

Yule mkuu wa majeshi Iran Qasem Soleimani hakusikia la mkuu, kilichofata alitunguiwa.
View attachment 2130006

Screenshot_20220224-211854.png
 
Colonel Douglas Macgregor, afisa mstaafu wa jeshi la Marekani amevunja ukimya kwa kusema kuwa Marekani ina nafasi ya kuepusha vita na Putin (Russia). Jambo la kwanza wanalopaswa kufanya Wamarekani ni kukiri na kukubaliana na nukta ya msingi ya Putin (Russia), ambayo serekali ya Russia imeiweka wazi kwa zaidi ya miaka 25 sasa. Nukta yenyewe ni kuwa Russia hawataki majeshi ya Marekani, mizinga ya Marekani, na majeshi ya NATO kwenye mpaka wake na Ukraine (Mashariki ya Ukraine kwenye majimbo yaliyotangazwa huru na Putin).

Colonel Douglas akaendelea kusema: Kiukweli kabisa hata sisi Wamarekani hatukuyataka majeshi ya Russia na mizinga yake ndani ya Cuba, Putin naye hataki mambo hayo mashariki mwa Ukraine. Lazima tukubali madai hayo. Tuache kujifanyisha kuwa madai hayo hayana maana (ni ya kipuuzi).

Zaidi ya hapo Colonel huyo kasema Marekani haina uwezo wa kumfanya chochote Putin dhidi ya uvamizi wake.
===

COL. DOUGLAS MACGREGOR: Let me just reiterate something. I, like you and millions of Americans, would prefer that the troops headed to Eastern Europe right now were headed to the Mexican border. But I’m also very concerned that we find a way to avoid a conflict with Russia. The first thing we have to do is acknowledge that Putin’s basic point, not just his point, the Russian government’s point, which they’ve made for 25 years, is valid. They don’t want U.S. forces and missiles and NATO troops immediately across the border in eastern Ukraine. Absolutely. We didn’t want them in Cuba, he doesn’t want them in eastern Ukraine. We should acknowledge that. Stop pretending it’s a nonissue. It is a major issue for them. Let’s acknowledge it and then let’s get down to business and tell them fine, our concern at this point is we don’t want you to proceed west towards the polish border over the Dnieper River in Ukraine.
 
Attachments

  • VID-20220224-WA0135.mp4
    9.7 MB
  • VID-20220224-WA0136.mp4
    956.5 KB
Acha uongo, Putin alimwekaje?. Umesoma report ya karibuni kuhusu alichafanya hilarry Clinton?. Trump alikuwa rais bora sema democtrats ya akina Biden ndio walimwangusha pamoja na Corona.
Ubishi siuhitaji?; ww umepata, umepatapata na kupatia[emoji122][emoji122][emoji122]
 
Macgregor yupo sahihi hata mimi sipo tayari kujadiliana usalama wa watu wangu mezani na pia siwezi kukubari upuuzi wa adui yangu kwenda kwa jirani yangu ati jirani yangu aendelee kuwa rafiki, ni big no. Nawashambulia wote
 
sio tu majirani ni ndugu lakini the whole of Ulaya wanateseka na duniani kote tutapata taabu.

lakini hakuna jinsi kuna wakati tunapaswa kujua kutochukua hatua mapema kuna athari kwa wote hata kama huusiki na mgogoro huo na ndio maana iliundwa UN. lakini UN leo ni toothless Dragon

Mkuu tayari umeona byei mafuta duniani imepanda, tayari umeona soko la hisa duniani limeyumba.

kumbuka Ukraine inalisha sehemu kubwa ya dunia ngano
Kumbuka Russia anaiuzia Ulaya 43% ya gas yote inayotumika Ulaya kwa ajili ya majumbani viwandani na kuzalisha umeme. tayari gas imeanza kupanda
madhara ni mengi sana, yote ni kushupaza shingo kwa umoja wa NATO na Marekani
Lini UN haijawahi kuwa toothless ?
 
Colonel Douglas Macgregor, afisa mstaafu wa jeshi la Marekani amevunja ukimya kwa kusema kuwa Marekani ina nafasi ya kuepusha vita na Putin (Russia). Jambo la kwanza wanalopaswa kufanya Wamarekani ni kukiri na kukubaliana na nukta ya msingi ya Putin (Russia), ambayo serekali ya Russia imeiweka wazi kwa zaidi ya miaka 25 sasa. Nukta yenyewe ni kuwa Russia hawataki majeshi ya Marekani, mizinga ya Marekani, na majeshi ya NATO kwenye mpaka wake na Ukraine (Mashariki ya Ukraine kwenye majimbo yaliyotangazwa huru na Putin).

Colonel Douglas akaendelea kusema: Kiukweli kabisa hata sisi Wamarekani hatukuyataka majeshi ya Russia na mizinga yake ndani ya Cuba, Putin naye hataki mambo hayo mashariki mwa Ukraine. Lazima tukubali madai hayo. Tuache kujifanyisha kuwa madai hayo hayana maana (ni ya kipuuzi).

Zaidi ya hapo Colonel huyo kasema Marekani haina uwezo wa kumfanya chochote Putin dhidi ya uvamizi wake.
===

COL. DOUGLAS MACGREGOR: Let me just reiterate something. I, like you and millions of Americans, would prefer that the troops headed to Eastern Europe right now were headed to the Mexican border. But I’m also very concerned that we find a way to avoid a conflict with Russia. The first thing we have to do is acknowledge that Putin’s basic point, not just his point, the Russian government’s point, which they’ve made for 25 years, is valid. They don’t want U.S. forces and missiles and NATO troops immediately across the border in eastern Ukraine. Absolutely. We didn’t want them in Cuba, he doesn’t want them in eastern Ukraine. We should acknowledge that. Stop pretending it’s a nonissue. It is a major issue for them. Let’s acknowledge it and then let’s get down to business and tell them fine, our concern at this point is we don’t want you to proceed west towards the polish border over the Dnieper River in Ukraine.
Mtag mkenya mmoja..[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Buddah hivi na nyie Bado mnamuamini mmarekani.. 100%??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
having lived in america and israel those people,ama wacha tu. to me NO am open minded
 
Back
Top Bottom