MabadilikoInabidi mtu awe na msimamo kuepukana na Ujinga
Mfano Siku ukipewa utoe speech mbele ya R
Kwa nn kila siku uwe unasifia
Jaribu kumkosoa hadharan na kusema ukweli halisi Unexpected kwenye speech uliyepewa naye alafu Niambie nini kitakachofuata?
Aya ipi hiyo ndugu embu ilete hapa tuione!!!Sasa we jamaa mbona unahama hama mada?
Turudi nyuma hapo, umesema ukristo unaruhusu kunywa pombe....nimekupa Aya ya Quran ya kuruhusu pombe tena inasema ni riziki nzuri. Mbona umeruka unakuja na mambo mengine?
Jibu hoja usikimbie, halafu hadi peponi kwa Allah wenu mmeahidiwa pombe. Unalijua hilo?
Nimekuelekeza maana ya agano jipya na kale, umeelewa?
Acha kuruka ruka, mada iishe kwanza ndo twende nyingine
We nawe unachuki za kijinga tupuWanostahiki kusaidiwa akili ni wale ambao kila siku bible ya inaeditiwa wao wanaona sawa tu
Wanawake wao full kuvaa uchi
Dini yao imeruhusu unywaji wa pombe
Dini yao imejaa matapeli
Walikuwepo akina kakobe wakawadanganya leo hii wako wapi
Gwajima nae anakuekeeni ahadi ya treni na helicopter sijui mshapewa?
Gwajima amefufua wangapi?
Yani nyie kudanganywa ni rahisi ata mtoto mchanga humdanganyi kirahisi ivo
MatapeliHii nchi kama unataka kuchukia watu bila sababu unaweza kufa kabla ya wakati.
Hii nchi kama una akili timamu kabisa jidai huna utaishi kwa amani kabisa.
Jipendekeze kwa sana na kuwalamba miguu watawala,utakula mema ya nchi
View attachment 3398092
Kipi bora kwako
Ndoa zaidi ya mke mmoja
Au mtoto wa kiume kuolewa na dume mwenzie kama mnavyopenda nyie?
Acha dhana ww m mpk nimefikia hatua ya kuoa sijawahi kuzini na m.ke yyte yuleWe nawe unachuki za kijinga tupu
Usikute wewe mzinaa tupu na unadhambi za kutosha tu licha unaishi na dini kichwani pako
Unamcheka tajiri? Na wewe unataka kua kama yeye mkuu??nachekaga sana nkimuonaga huyu mwamposa
ova
16:67Aya ipi hiyo ndugu embu ilete hapa tuione!!!
Mkuu mm utajiri siutaki haya maisha ya kiasi na enjoy tu 😄Unamcheka tajiri? Na wewe unataka kua kama yeye mkuu??
Maana naskia ukimcheka mtu kwa alichonacho nawe utakipata ili uchekwe uone kama ni vizuri.
16:6716:67
Maelezo mazuri kiongozi, ila mi nimesoma tafsiri hii hapa.... mtafsiri wenu anasema kabla haijaharamishwa, means mwanzo Allah aliruhusu baadae akaChange mind akaharamisha. Au huyu mtafsiri sio muislam mwenzenu16:67
((Na kutokana na matunda ya mitende na mizabibu mnatengeneza ulevi na riziki nzuri. Hakika katika hayo ipo Ishara kwa wanao tumia akili.))
Ibn Abbas amesema kuhusu kauli ya Mwenyezi Mungu: {Kilevi na riziki nzuri}, kwamba:
Kilevi ni kile kilichoharamishwa kutokana na matunda yao,
na riziki nzuri ni kile kilichoruhusiwa (kuhalalishwa) kutokana na matunda yao.
Bado Sijaona Kwenye hiyo Aya wapi Pombe imehalalisha??
Isipokuwa nimeona Mchanganuo wa yale wanayoyafanya Watu katika Kutengeneza kitu kizuri au kitu kibaya(Kisichoruhusiwa) kupitia matunda Yale yale (Mitende na mizabibu).
Pombe Haijawahi Kuhalalishwa kwenye Qur'an.Maelezo mazuri kiongozi, ila mi nimesoma tafsiri hii hapa.... mtafsiri wenu anasema kabla haijaharamishwa, means mwanzo Allah aliruhusu baadae akaChange mind akaharamisha. Au huyu mtafsiri sio muislam mwenzenu
Na miongoni mwa neema zetu kwenu ni yake matunda ya mitende na mizabibu mnayoyachukua na kutengeneza pombe yenye kulewesha -na hii kabla haijaharamishwa - na chakula kizuri.
Ni kwamba pombe ilitangulia then uislam ukaja baadae. Hapo nimekuelewa. Naona umeongea kama Mungu ni mwanadamu vile. Anakuachisha kitu polepole au sio!Pombe Haijawahi Kuhalalishwa kwenye Qur'an.
Kilichopo ni kwamba Uislamu uliwakuta watu wamepindukia katika Ulevi wa Pombe.
Hivyo Kwa Hekima za Allah Akaenda nao Taratibu katika Kuwahalamishia pombe.
Kwanza Walikatazwa Kwenda kwenye Swala huku wakiwa wamelewa.
Kumbuka Waislamu wanaswali Mara Tano kwa Siku na Tofauti kati ya Swala moja na nyengine ni kama masaa Mawili au matatu(Katika zile swala za Mchana) hivyo ilikuwa ni Mazoezi mazuri kunako kufikia kilele cha Kuacha kabisa.
Lilipokaa Vizuri hilo. Basi ndio ikaja kuharamishwa moja kwa Moja.
Hii Hekima pia Inatumiwa hata Kule Soberhouse(Wanapopatiwa matibabu waraibu wa Dawa za Kulevya)
Wanachokifanya ni kuwapunguzia Dose ya madawa taratibu taratibu na sio kuwakatiza kwa mara moja.
Kupunguza Dose taratibu taratibu ina Matokeo Mazuri sana kuliko kuwaachisha Kwa Ghafla.
Vp Nyie makobazi mnaoua na kuoa watoto? Mbona umejisahauWanostahiki kusaidiwa akili ni wale ambao kila siku bible ya inaeditiwa wao wanaona sawa tu
Wanawake wao full kuvaa uchi
Dini yao imeruhusu unywaji wa pombe
Dini yao imejaa matapeli
Walikuwepo akina kakobe wakawadanganya leo hii wako wapi
Gwajima nae anakuekeeni ahadi ya treni na helicopter sijui mshapewa?
Gwajima amefufua wangapi?
Yani nyie kudanganywa ni rahisi ata mtoto mchanga humdanganyi kirahisi ivo
Hapa kuna Mjadala mkubwa na sijui kama upo Tayari Kuujadili??Ni kwamba pombe ilitangulia then uislam ukaja baadae. Hapo nimekuelewa.
Hapana Mungu sio Binadamu ila anahekima Kubwa zaidi ya kila kitu.Naona umeongea kama Mungu ni mwanadamu vile. Anakuachisha kitu polepole au sio!
Sio Sana lakini sio Kipofu kwayo.Vipi umewahi kusoma Biblia?