Acha mambo ya kidini kwenye mambo ya Siasa utaumiza kichwa chako bureeeh....Wanostahiki kusaidiwa akili ni wale ambao kila siku bible ya inaeditiwa wao wanaona sawa tu
Wanawake wao full kuvaa uchi
Dini yao imeruhusu unywaji wa pombe
Dini yao imejaa matapeli
Walikuwepo akina kakobe wakawadanganya leo hii wako wapi
Gwajima nae anakuekeeni ahadi ya treni na helicopter sijui mshapewa?
Gwajima amefufua wangapi?
Yani nyie kudanganywa ni rahisi ata mtoto mchanga humdanganyi kirahisi ivo