johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Unajua dunia ya sasa inakwenda kasi sana ndio maana Tanzania japo tuna Bandari lakini wafanyabiashara wetu wanaenda kununua mzigo Uganda ambao unapita hapa hapa Dar es salaam.
Unapokuwa na viongozi wenye elimu ya kutosha ya vitabuni lakini wanaoijua dunia katika uhalisia wake linakuwa jambo jema sana.
Dr Kimei na Abbas Tarimba ni miongoni mwa wabunge ambao siyo " Chumia Tumbo ( CT)" wanaweza kutuvusha huko mbeleni kama sintofahamu ya bando itaende!ea.
Kila zama na kitabu chake.
Maendeleo hayana vyama!