Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
Hawa uliowataja hawana uwezo wa kuongoza Wizara ya Fedha na kupata maendeleo.
Huyu Kimei, mfano mdogo tu ambayo unamtoa kwenye sifa ya kupewa Wizara muhimu kama ya Fedha, alikubali vipi kwenda kufungua Tawi kubwa kama lile Wilaya ya Chato, mji una watu laki tano unakwenda kuweka uwekezaji mkubwa wa benki kama ule wakati mawakala tu walikuwa wanatosha kuwapa huduma.
Tarimba, ni mtu wa kati tu kazi yake kubwa kuendesha bahati nasibu na mambo ya kamali sasa umpe wizara ya fedha kwa vigezo kama?
Mkuu kuwa na maisha mazuri hayana uhusiano kufanya kazi vizuri.