johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Unajua dunia ya sasa inakwenda kasi sana ndio maana Tanzania japo tuna Bandari lakini wafanyabiashara wetu wanaenda kununua mzigo Uganda ambao unapita hapa hapa Dar es salaam.
Unapokuwa na viongozi wenye elimu ya kutosha ya vitabuni lakini wanaoijua dunia katika uhalisia wake linakuwa jambo jema sana.
Dr Kimei na Abbas Tarimba ni miongoni mwa wabunge ambao siyo " Chumia Tumbo ( CT)" wanaweza kutuvusha huko mbeleni kama sintofahamu ya bando itaende!ea.
Kila zama na kitabu chake.
Maendeleo hayana vyama!
Hahahaaaa........ Hii ni dunia ya " connection" bwashee!Hamna kitu Bwasheee , Kimei alishindwa kutetea taaluma yake na kufuata mawazo ya MEKO na kupelekea kujenga CRDB chato ,Tarimba yeye ni dalali labda waanzishe wizara inayohusu udalali ndio apewe.
Unajua dunia ya sasa inakwenda kasi sana ndio maana Tanzania japo tuna Bandari lakini wafanyabiashara wetu wanaenda kununua mzigo Uganda ambao unapita hapa hapa Dar es salaam.
Unapokuwa na viongozi wenye elimu ya kutosha ya vitabuni lakini wanaoijua dunia katika uhalisia wake linakuwa jambo jema sana.
Dr Kimei na Abbas Tarimba ni miongoni mwa wabunge ambao siyo " Chumia Tumbo ( CT)" wanaweza kutuvusha huko mbeleni kama sintofahamu ya bando itaende!ea.
Kila zama na kitabu chake.
Maendeleo hayana vyama!
Hahahaaaa...... Jumanne ni zamu ya makatibu wakuu na akina Chalamila bwashee!Yaani umesikia Juma nne kuna uapisho mpya ndio unaanza kuwapigia chapuo mjomba na shemeji yako!
Hayo mawazo yako ungemshauri mwanakwenda ungekuwa umefanya jambo moja la mbolea sana.
Sasa hukuwepo kwenye kumpendekeza Nchemba?Hahahaaaa...... Jumanne ni zamu ya makatibu wakuu na akina Chalamila bwashee!
Dr Mwigullu Nchemba ni mwaminifu mno.Sasa hukuwepo kwenye kumpendekeza Nchemba?
Ahahahahha wee mtu kama Tarimba ni mtoto wa mjini balaa!Hamna kitu Bwasheee , Kimei alishindwa kutetea taaluma yake na kufuata mawazo ya MEKO na kupelekea kujenga CRDB chato ,Tarimba yeye ni dalali labda waanzishe wizara inayohusu udalali ndio apewe.
Nafasi haziishagi bwashee kama unabisha muulize Dr Bashiru!Mkuu umeshachelewa nafasi zimeisha labda ujaribu tena baadae.
Sasa tantalila zako zinasababishwa na nn mkuuDr Mwigullu Nchemba ni mwaminifu mno.
Huko duniani unahitajika ujanja wa hapa na pale bwashee!
Hahahaaaa......hahahaaaa.....!Ahahahahha wee mtu kama Tarimba ni mtoto wa mjini balaa!
Ni ukubwa wa chama tu bwashee maana kimesheheni kila aina ya vipaji!Sasa tantalila zako zinasababishwa na nn mkuu
Ahahahahha wee mtu kama Tarimba ni mtoto wa mjini balaa!
Kama zinalipa shida iko wapi?Hamna kitu Bwasheee , Kimei alishindwa kutetea taaluma yake na kufuata mawazo ya MEKO na kupelekea kujenga CRDB chato ,Tarimba yeye ni dalali labda waanzishe wizara inayohusu udalali ndio apewe.
Madelu unajipigia deki pimbi kweli wewe mtoto hahahaaDr Mwigullu Nchemba ni mwaminifu mno.
Huko duniani unahitajika ujanja wa hapa na pale bwashee!
Unajua dunia ya sasa inakwenda kasi sana ndio maana Tanzania japo tuna Bandari lakini wafanyabiashara wetu wanaenda kununua mzigo Uganda ambao unapita hapa hapa Dar es salaam.
Unapokuwa na viongozi wenye elimu ya kutosha ya vitabuni lakini wanaoijua dunia katika uhalisia wake linakuwa jambo jema sana.
Dr Kimei na Abbas Tarimba ni miongoni mwa wabunge ambao siyo " Chumia Tumbo ( CT)" wanaweza kutuvusha huko mbeleni kama sintofahamu ya bando itaende!ea.
Kila zama na kitabu chake.
Maendeleo hayana vyama!
Bwashee naona sasa unavimbiwa na pensheni, angalia tusije kuisitisha!!Dr Mwigullu Nchemba ni mwaminifu mno.
Huko duniani unahitajika ujanja wa hapa na pale bwashee!