Hawa uliowataja hawana uwezo wa kuongoza Wizara ya Fedha na kupata maendeleo.
Huyu Kimei, mfano mdogo tu ambayo unamtoa kwenye sifa ya kupewa Wizara muhimu kama ya Fedha, alikubali vipi kwenda kufungua Tawi kubwa kama lile Wilaya ya Chato, mji una watu laki tano unakwenda kuweka uwekezaji mkubwa wa benki kama ule wakati mawakala tu walikuwa wanatosha kuwapa huduma.
Tarimba, ni mtu wa kati tu kazi yake kubwa kuendesha bahati nasibu na mambo ya kamali sasa umpe wizara ya fedha kwa vigezo kama?
Mkuu kuwa na maisha mazuri hayana uhusiano kufanya kazi vizuri.
Wizara ya Udalali ingemfaa zaidi Halima James Mdee!Yes ndio maana nikasema labda wizara ya udalali itamfaa sana.
Umejuaje?huyo mtoa mada ni mchagga anataka warudi tra
Wewe ungekuwa Crdb ungekataa kufungua tawi Chato?Hawa uliowataja hawana uwezo wa kuongoza Wizara ya Fedha na kupata maendeleo.
Huyu Kimei, mfano mdogo tu ambayo unamtoa kwenye sifa ya kupewa Wizara muhimu kama ya Fedha, alikubali vipi kwenda kufungua Tawi kubwa kama lile Wilaya ya Chato, mji una watu laki tano unakwenda kuweka uwekezaji mkubwa wa benki kama ule wakati mawakala tu walikuwa wanatosha kuwapa huduma.
Tarimba, ni mtu wa kati tu kazi yake kubwa kuendesha bahati nasibu na mambo ya kamali sasa umpe wizara ya fedha kwa vigezo kama?
Mkuu kuwa na maisha mazuri hayana uhusiano kufanya kazi vizuri.
Hata kama umetumwa, ongeza na zako !!!Unajua dunia ya sasa inakwenda kasi sana ndio maana Tanzania japo tuna Bandari lakini wafanyabiashara wetu wanaenda kununua mzigo Uganda ambao unapita hapa hapa Dar es salaam.
Unapokuwa na viongozi wenye elimu ya kutosha ya vitabuni lakini wanaoijua dunia katika uhalisia wake linakuwa jambo jema sana.
Dr Kimei na Abbas Tarimba ni miongoni mwa wabunge ambao siyo " Chumia Tumbo ( CT)" wanaweza kutuvusha huko mbeleni kama sintofahamu ya bando itaende!ea.
Kila zama na kitabu chake.
Maendeleo hayana vyama!
Bwashee huyo ni mataga mwenzio ujueTafuta Serikali yako kisha ukishakuwa Rais utawateua hawa Watu wako katika Dockets zako mbili tajwa.
Eti akina Kimei na Abbas siyo Wachumia Tumbo. Hivi unayajua ya nyuma ( mabaya ) ya hawa Watajwa wako?
Unafaa sana kuwa Rais wa Wanafiki TZ.
Nani kasema mji?? Wewe ambao upo serious tutajie Wilaya ya Chato ina watu wangapi tuanzie hapo.Mhhhh. Mji wa Chato una watu laki tano ? Uko serious kweli ? Hiyo Data umeipata wapi ? Una maana ni wilaya ya Chato au mji wa Chato ? Maana hata wilaya ya Chato yenyewe haijafikisha watu laki tano. Tujifunze kufanya utafiti kabla ya kuandika.
Unauliza swali la kipumbavu unajibiwa kipumbavu.Wewe ungekuwa Crdb ungekataa kufungua tawi Chato?
Haitakaa itokeeUnajua dunia ya sasa inakwenda kasi sana ndio maana Tanzania japo tuna Bandari lakini wafanyabiashara wetu wanaenda kununua mzigo Uganda ambao unapita hapa hapa Dar es salaam.
Unapokuwa na viongozi wenye elimu ya kutosha ya vitabuni lakini wanaoijua dunia katika uhalisia wake linakuwa jambo jema sana.
Dr Kimei na Abbas Tarimba ni miongoni mwa wabunge ambao siyo " Chumia Tumbo ( CT)" wanaweza kutuvusha huko mbeleni kama sintofahamu ya bando itaende!ea.
Kila zama na kitabu chake.
Maendeleo hayana vyama!
Well saidUnajua dunia ya sasa inakwenda kasi sana ndio maana Tanzania japo tuna Bandari lakini wafanyabiashara wetu wanaenda kununua mzigo Uganda ambao unapita hapa hapa Dar es salaam.
Unapokuwa na viongozi wenye elimu ya kutosha ya vitabuni lakini wanaoijua dunia katika uhalisia wake linakuwa jambo jema sana.
Dr Kimei na Abbas Tarimba ni miongoni mwa wabunge ambao siyo " Chumia Tumbo ( CT)" wanaweza kutuvusha huko mbeleni kama sintofahamu ya bando itaende!ea.
Kila zama na kitabu chake.
Maendeleo hayana vyama!
Mbona hujajibu huo upumbavu sasa bwashee kipedo?Unauliza swali la kipumbavu unajibiwa kipumbavu.
Hahahaaaa........Ni hatari?!!!Tarimba na Kimei ni wachumbia tumbo na wasaka tonge kama walivyo wabunge wote wa JMT
Tarimba ni dalali mzoefu na huyu asisogee karibu na Wizara yoyote
Vipi yule Babu Tale,na mwana FA Bwashee wanafit wapi?.Dr Mwigullu Nchemba ni mwaminifu mno.
Huko duniani unahitajika ujanja wa hapa na pale bwashee!