Combination za wapenzi

Bitoz

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2015
Posts
30,823
Reaction score
126,553
Jumapili njema
Nazungumzia aina za wapenzi,maana katika maisha tunatodautiana kwa mambo mengi...twende sasa

1/Sugar mummy & Mario
Penzi la aina hii ni kati ya mwanamke wa makamo na mvulana/mwanaume mwenye umri mdogo mfano 20 yes
Hizi ni baadhi ya sifa zao
*Mwanaume kafata pesa
*Mwanamke anataka mapenzi
*mwanaume hana Saudi
*mwanamke ndo kichwa cha familia
*mwanaume kula kulala

2/Kibabu & kibinti
Penzi hili linavuma sana sababu wanawake wengi wanapenda ndoa na njia za mkato
*mwanamke huwa na kidumu
*mwanaume kichwa cha familia.
*mwanamke hufuata mali
*Penzi hudumu
*mwanaume huheshimiwa

3/Mwanamke mjanja & mwanaume bwege
*Nyumba hupendeza.
*mwanamke msafi
*mwanaume hupelekeshwa
*mwanaume hana sauti
*mwanaume hajui kuvaa/mchafu.
*mwanaume anazidiwa pesa na mkewe
*Penzi lao hutegemea uvumilivu wa mwanaume

4/Mwanaume mjanja & mwanamke zoba
*mwanaume huwa smart
*Nyumba huwa chafu
*mwanaume michepuko kibao
*mwanamke kula kulala.
*mwanaume mtafutaji
*mwanamke hajui hata kuvaa
*Penzi hufa mwanamke anapoanza kushika mkwanja

5/Wenyewe kwa wenyewe
Hawa ni wale wanaofanana rika au tabia au hali zao kiuchumi mfano bwege na bwege..mzee kwa mzee
*Mashindano huwa mengi
*km ni wachafu basi Nyumba hujaa panya
*Km ni wasaka maendeleo basi hufanikiwa sana
*km ni wapenda starehe migogoro haiishi
*mafahari wawili hawaishi zizi moja


Soma pia
.................................................
Jinsi ya kuopoa msichana mzuri
......................................................

Harakati za Pimbi
The Bitoz




The Bitoz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…