Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Kuhusu Namba 3 kuna jilani yangu hapa wanapenda,watoto wanasoma shule za gharama, mwanaume hajui kuvaa,mwanamke mazurii anajipenda lakini inavyoonyesha hariziki na mumewe anatushobokea vijana tu
Sa kumbe vipi[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wenyewe kwa wenyewe
mimi bwege kabisaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ina maana wewe ni bwege ?
Umekosea kusoma.....
sema ukweli mkuu, mimi mbona namba tatu inanihusu. kufua nafua, kupika hata akiniambia nitandike na kupiga deki nafanyaAisee sijapata hapo inayo suit kwangu
Daaah nan Huyo kakushika hivvyo? Nadhan limbwata linahusiikasema ukweli mkuu, mimi mbona namba tatu inanihusu. kufua nafua, kupika hata akiniambia nitandike na kupiga deki nafanya