Combination za wapenzi

Combination za wapenzi

sema ukweli mkuu, mimi mbona namba tatu inanihusu. kufua nafua, kupika hata akiniambia nitandike na kupiga deki nafanya
5cae266537dfd2050ce41fff22127f2e.jpg

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hivi ile ya kukutwa naye unatandikiwa cha mkeka fasta wana officialise ipo kwenye category ipi?
Hizo ni "combination" sio ndoa
Nahisi inaangulia kwa "wenyewe kwa wenyewe" sababu hadi mpigwe ya mkeka maana take ni wakware/wapenda starehe/wazembe
 
Hapo Na. 1: nina jirani yangu mmamaa mtu mzima ila miondoko yake ni under 25 (anaowazidi zaidi ya miaka 8+)
 
Hapo Na. 1: nina jirani yangu mmamaa mtu mzima ila miondoko yake ni under 25 (anaowazidi zaidi ya miaka 8+)
Lakini wapo ambao ni wajane wanatafuta faraja tu ya kusuuza roho zao
 
Hawa nao ni shidaaa wanabeba vivulana ambavyo ni sawa na watoto wao.........
Lakini mapenzi hayana age ndio maana unakuta mtu nzima ana kibania halafu mtoto ana muwa au msichana ana mafenesi halafu mtu nzima ana vitenesi
Age ni # tu
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Lakini mapenzi hayana age ndio maana unakuta mtu nzima ana kibania halafu mtoto ana muwa au msichana ana mafenesi halafu mtu nzima ana vitenesi
Age ni # tu
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Hahahahaha duuh mkuu hizi kauli si ndo zinatumika na Mario
 
Hizo ni "combination" sio ndoa
Nahisi inaangulia kwa "wenyewe kwa wenyewe" sababu hadi mpigwe ya mkeka maana take ni wakware/wapenda starehe/wazembe

Kuna kamoja niliwahi kuomba itokee nicombinishwe naye hata cha mkeka sema wazazi wake walitaka ECA wakati mimi ni PCM!
 
Back
Top Bottom