akikaa kwenye reli piga huyo.Kuhusu Namba 3 kuna jilani yangu hapa wanapenda,watoto wanasoma shule za gharama, mwanaume hajui kuvaa,mwanamke mazurii anajipenda lakini inavyoonyesha hariziki na mumewe anatushobokea vijana tu
mbona mbona mimi bwege harafu natupia kupindukia labda huyo jamaa ni MSUKUMA wa IGOGO[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Kuishi na bwege ni shida
Mtu kuvaa tu hajui ...kutoka wote out inakuwa soo
hakuna limbwata wala hirizi ni mahaba tu.. Najua atapita hapaDaaah nan Huyo kakushika hivvyo? Nadhan limbwata linahusiika
hhapo kwa kupigwa sijafikia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ha haaa haaa.....hakuna limbwata wala hirizi ni mahaba tu.. Najua atapita hapa
mimi natafuta, navaa, msafi, kwenye mapenzi tu ndio bwegeBwege namaanisha hajui kuvaa,kutafuta maendeleo,mchafu n.k
hatajwi mtu hapaHa haaa haaa.....
Umtajeee....
Anyway hongera yake
Hizo ni "combination" sio ndoaHivi ile ya kukutwa naye unatandikiwa cha mkeka fasta wana officialise ipo kwenye category ipi?
Ha haa sawa brazahatajwi mtu hapa
Hawa nao ni shidaaa wanabeba vivulana ambavyo ni sawa na watoto wao.........Lakini wapo ambao ni wajane wanatafuta faraja tu ya kusuuza roho zao
Lakini mapenzi hayana age ndio maana unakuta mtu nzima ana kibania halafu mtoto ana muwa au msichana ana mafenesi halafu mtu nzima ana vitenesiHawa nao ni shidaaa wanabeba vivulana ambavyo ni sawa na watoto wao.........
Hahahahaha duuh mkuu hizi kauli si ndo zinatumika na MarioLakini mapenzi hayana age ndio maana unakuta mtu nzima ana kibania halafu mtoto ana muwa au msichana ana mafenesi halafu mtu nzima ana vitenesi
Age ni # tu
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Hizo ni "combination" sio ndoa
Nahisi inaangulia kwa "wenyewe kwa wenyewe" sababu hadi mpigwe ya mkeka maana take ni wakware/wapenda starehe/wazembe