Hahahahaha unazingua sasa [emoji15]Nahisi unacheza # ya Roberto Carlos
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
ooh kumbe sikujua kama wewe ni PaganismUkileta ishu za Mungu sasa si tunaharibiana mood mkuu
Aah wapi...! Mimi na wewe ni kitu kimoja haina maana....haina maana kunyimanaWifi yangu nani sasa
Bora uonekane unajidai[emoji445]Aah wapi...! Mimi na wewe ni kitu kimoja haina maana....haina maana kunyimana
[emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] unanioneaBora uonekane unajidai[emoji445]
Kugawagawa haifai[emoji126]
mmh leo ndio nimejua kwamba Mungu anachoka ahsante mkuu kwa kunifumbua macho.Sikiliza mkuu....sio kila kitu tunamtaja Mungu samtaimu tumuache apumzike
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Hamna hapoSasa hutaji # yako
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kambi popote. ..popote kambiNendeni Kapuku Forum mkakinukishe bhana
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
umenikumbusha mkuu tukutane kule sasa hivi mkuuNendeni Kapuku Forum mkakinukishe bhana
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] side mnyamweziZipo zote hata inayomuhusu Side Mnyamwezi au Mwajuma Ngedere
Una mashaka nami ?Najoke tu mkuu