Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 2,404
- 5,682
Acha tabia ya kutembelea ndugu mara kwa mara utafikiri mechi za kila wikiendi, uchumi umebadirika, sasa hivi watu wanaenda na bajeti.
Una mwaga mwaga ovyo kila kona, mwishowe ni kuongeza watoto wanaokuja kutaabika kimahitaji na saikolojia hapa duniani, masingo maza na kutopata care maalumu ya baba.
Acha kuforce na kutisha watu wakuchangie ili ufadhili hio harusi yako ya bajeti kubwa.
Unatenga watu mtaani na kuwachukia kisa hawana dini kama yako tena dini yenyewe ulioletewa kwa style ya utumwa, acha ushamba wewe asili ya jamii ni kutegemeana.
Unaendaje msibani kutafuta umbea na kuzua umbea mpya, tena chakula kikichelewa au kuwa pungufu unalalamika. Kumbuka upo katika jumuiko la simanzi na sio shughuli.
Kama umejikalisha kuisubiria hela ya mchepuko bila ya kazi then uwe tayari akutreat vile anavyotaka maana haujui jasho la kuipatia hio pesa, amka dada shughulika kuna maisha zaidi ya jagina yako hio.