Comedians mnafeli wapi?

Kwa bongo nilikua napenda sana Ze comedy, yale maigizo yao. Bt since wamesambaratika hamna comedian ananifrahisha.

Kwenye Ze Comedy, Joti na Wakuvanga walikuwa baadhi ya segments wanaigiza kama wanawake, ulikuwa unazikubali au unazikataa?
 
Bora uwe masikini wa fedha kuliko kuwa masikini wa kifikra huyo jamaa ana umasikini wa kifikra ndo maana anawaza mambo mabaya huyo Hana tofauti na wale ambao ukiwa tajili basi wewe Freemason au una uza madawa ya kulevya

Hawa wanaitaji mind reparations ya kutosha.
 
Labda za Wabongo useme hupendezwi na content zao, lakini sanaa na umuhimu wake kwa jamii unabaki palepale.

Nimekuwekea hao wachache kati ya wengi wanaofanya makubwa na sanaa zao, hapo kuna Tyler Perry, Eddy Murphy na Martin Lawrence.

Zilikua hazinivutii, kitendo cha mwanaume kuact kama mwanamke hua sifurahishwi nacho ila nlikua naangalia sababu kipindi ndo nishakipenda

Okay, nimekuelewa.

So, kwa hapa sasa hivi huna comedian unayependa kazi zake?

Kwa East Africa je?
 
Okay, nimekuelewa.

So, kwa hapa sasa hivi huna comedian unayependa kazi zake?

Kwa East Africa je?
Hua napenda vipindi vya comedy kama kile kinaitwa Bamba live na baadhi ya comedian nikikutana na vichekesho vyao nacheka siku zinasonga ila kusema kua huyu ni my fav, sina kwakwel.

Kwa Kenya nampenda sana Eric Omondi na yule anajiita Nicki bigfish, Ug namkubali Kansiime. Hao hua nawafatilia
 
Eric na Kansiime tuko pamoja.

Sasa hivi kwa Tanzania nafikiri hii industry bado iko kwenye changamoto sana.

Nafikiri tunahitaji kuwa na directors wa kueleweka ili kuinyanyua hii sekta.
 
Kenya kuna wa kuitwa Mamito kwenye churchil show, mfuatilie lazima utamkubali.
mcheki hapa akaanza na Magufuli wetu.
 
Mpka wavae kama wanawake hao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je vipi comedy ya Jambo na Vijambo?
 
Eric na Kansiime tuko pamoja.

Sasa hivi kwa Tanzania nafikiri hii industry bado iko kwenye changamoto sana.

Nafikiri tunahitaji kuwa na directors wa kueleweka ili kuinyanyua hii sekta.
Yes directors wa maana na pia hao wasanii wawe wabunifu. Sio lazima wavae ovyo/kama wanawake ndio wakachekesha. They can do comedy hata wakiwa ndani ya suit na watu wakacheka wakamake money
 
Eric na Kansiime tuko pamoja.

Sasa hivi kwa Tanzania nafikiri hii industry bado iko kwenye changamoto sana.

Nafikiri tunahitaji kuwa na directors wa kueleweka ili kuinyanyua hii sekta.
Jambo na Vijambo mbona wapo vizuri Sana.
 
Yes directors wa maana na pia hao wasanii wawe wabunifu. Sio lazima wavae ovyo/kama wanawake ndio wakachekesha. They can do comedy hata wakiwa ndani ya suit na watu wakacheka wakamake money

I am ver sure talents are there, muhimu ni kupata watu sahihi wa kuwapa mentorships na directives sahihi.

Huwa nikipata muda namwangalia Kevin Hart, sijawahi kumwona akivaa nguo za kike.

Tunaweza kufika juu.
 
Na vichekesho vyake vinachekesha hasa.

Vipaji vipo vingi na vizuri, tatzo bongo ndo hvyo madirector, wanaoandika script na waigizaji ndo haohao😂😂 sasa hapo unategemea nini
 
Wana push forward agenda ya ushoga indirectly
 
Pamoja na kuact mambo ya kipunga bado hanichekeshi

Sent using Jamii Forums mobile app

Bhasi haupo kwenye target yake mkuu..
Kuna watu wanaangalia na kusubscribe kwenye youtube channel yake na ndo wanamsaidia kupata deals kubwa kubwa

By the way, Dunia kama sufuria, unapakua unachoweza tu mkuu
 
Na vichekesho vyake vinachekesha hasa.

Vipaji vipo vingi na vizuri, tatzo bongo ndo hvyo madirector, wanaoandika script na waigizaji ndo haohao😂😂 sasa hapo unategemea nini

Tutafika tu, changamoto wanayokutana nayo wasanii wa category hiyo haitofautiani sana na bongo movie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…