Comedians mnafeli wapi?

Hyo siikumbuki vzuri, walikua akina nan?
Hawa jamaa wapo vizuri Sana wafuatilia utajuta kabisa kipindi kilikuwa kinarushwa East Africa tv sasa hivi wanarusha Wasafi tv kila siku alhamisi saa 3 usiku au nenda YouTube ya wasafi media utakuta wameweka hasa kesho utaona waneweka teyari.
 
Tutafika tu, changamoto wanayokutana nayo wasanii wa category hiyo haitofautiani sana na bongo movie.
Bongo movie nlishaacha kuangalia, tatizo lile lile no ubunifu ile movie ikifika nusu unaweza kupredict mwisho itakuaje pia nying zinafanana maudhui/story...
Pia quality za video mbayaa hazimvutii mtazamaji. Inawezekana pia budget ni ndogo inasababisha yote hayo
 
Hawa jamaa wapo vizuri Sana wafuatilia utajuta kabisa kipindi kilikuwa kinarushwa East Africa tv sasa hivi wanarusha Wasafi tv kila siku alhamisi saa 3 usiku au nenda YouTube ya wasafi media utakuta wameweka hasa kesho utaona waneweka teyari.
Kumbe ni current, basi ntawafatilia nione.
 
ni kweli..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iangalie hiyo ID, halafu jaribu kupitia posts zake ndo utaelewa nini ninachomaanisha.
Hua namuona post zake nying zinahusu pale wasafini, hadi hua nahisi ni mmoja wa wafanyakazi wa pale. Kama sio basi ni shabiki wa damu kabisa
 
Lazima kuna namna anavyofaidika na kuipamba WCB humu, maana huwa kuna baadhi ya vitu anapamba ambavyo kwa akili ya kawaida tu unaona huyu siyo.
 
Na hua anapambana hasa, humwambii kitu kuhusu wasafi. Kama anapata mkwanja kupitia hyo basi well and good, ila kama ni ushabiki tu daah basi ni hatari
 
Atakuwa anapata, maana anaweka effort hasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…