Ukiipatia vizuri matumizi yake, hiyo lipstick itazalisha mchele, nyama, soda, ma-juicy; nini unga wa uji !!
Unajua kusoma au ndio unajifunza?kwahiyo unaanza kukagua PICHA
Mi nataka tuanze kuongea kisomi mkuu wangu, hujanikwaza. Ni challenge ambayo tunayo kwa sasa kama taifa. Sasa, tukomae tujue status za miradi hii na kama fedha kwa ajili ya miradi hii zipo. Tunaweza kuanza kutembea vifua mbele (hata kama hatuna stake katika projects zenyewe) endapo hii miradi itafanikishwa bila kuvurugwa.
Ikitokea huu ukafanikiwa, wa Kigamboni ukafanikiwa na mingine zaidi, basi kuna afueni tutaiona angalau ukilinganisha na majirani zetu
Kongosho, hapo kwenye RED....ni Kichina, au? Let me guess, cursor huwa ina-jump to anywhere it feels to go! Na kuhusu hilo la lipstick, mbona unanishangaza aisee; we wa wapi?! Siku hizi baadhi ya wababa mambo ya ma-lipstick, sijui ma-lipshines, mbona kawaida tu Kongosho!He he he he, niitumie lipstic??
Ubaya lipstick kanunua mwanamme, naye aitujmie
Hii itatokea labda miaka 200-300 ya Uhuru wa Tanganyika
Mradi huo mkuu wangu Kimbunga hawezi kutekelezeka ima faima coz' yale maeneo washajigea! Kwa mradi ulikufa automatically Che Ben alipoamua kuwagea wenzake nyumba za serikali!Tutakuwa wote tulishaonja umauti na kurudi tena duniani! inanikumbusha ile hadithi ya kitoto kwamba ukifa Afrika unazaliwa Ulaya!. Kigamboni nimeisikia kabla sijamaliza chuo na bado hata haijaanza na leo tunapigwa kombora lingine; khaaaaa.
Kuna mradi mwingine niliwahi kuuona kwenye magazeti mwaka 2000 ukiwa ni kutoka mjini pale seaview kwenda kule Oysterbay. Huu ulikuwa ni mradi wa kuchukua sehemu ya bahari na kuifanya nchi kavu kisha kujenga maduka na mijihoteli; nikashuhudia picha tamu kama hii ya leo lakini hadi leo ni ndoto tuu! Tuendelee kuota kwa matumaini.
unaowasema wewe labda ni wale wababa wa kwenye mchezo wa comedy
Hadi huku duniani wapo sema wana mida zao!unaowasema wewe labda ni wale wababa wa kwenye mchezo wa comedy
Michoro michoro......
Mipango....vision.....
Dar Chalinze njia sita!
Mji wa Luguruni....
Mji wa Kigamboni...
Mji wa Magomeni, Temeke? and now Kawe??
Wanatumia michoro ya rangi rangi kuwaweka sawa watu...bassssss....
Conceptual design....Argggggh!
Hata Rage nae alikuja na uwanja wa kisasa.....Manji nae na conceptual design....nzuri sana!
Ila on the ground ....sifuri!
Mkuu hii nasikia iko njiani kwa mtindo wa PPP
hongera kwa kufuatilia, hebu fuatiliaa dar waterfront na dar village, ikikamilimka hiyo aaaaaaaaaaaaahn ya kawe kwishaMkuu,
Si ndoto. Na nikufahamishe ni kuwa tayari eneo la Kawe pale Tanganyika Peckers pamesharejeshwa ardhi kwa asilimia nadhani zaidi ya 50.
FYI, kuna project nyingine inakuja. Tanzanite Mall na itakuwa inaonekana kama inavyoonekana hapa chini (nimefuatilia Brela, naona kuna kampuni imesajili 2011 inaitwa "Tanzanite Mall Ltd" nahisi ndio wenye hii project):