Coming soon: New Kawe City (Uptown Kawe)

Coming soon: New Kawe City (Uptown Kawe)

Hiyo picha mbona imekaa kisanii. Yaani huo mradi una extend hadi baharini kule? wakati kuna mijengo ya maana ya watu?

Tanganyika Packers kwenyewe padogo sana to accomodate such a huge project.
 
Shukrani kwa serikali ya awamu ya nne. Stay tuned! Mambo mazuri yanakuja na yataendelea kuja chini ya serikali ya CCM.

Kama hutaki maendeleo wewe utakuwa ni mchawi na ukatafute nchi ya kuishi.

achana na ndoto za mwendawazimu, miaka 50 hata maji ya kunywa hakuna ww unashangilia michoro. shida yetu si magorofa ni mahitaji ya msingi ya binadamu , waanze na hayo .
 
Uptown-Kawe-night-view.gif
 
Mradi sio mbaya lakini tunaamini sana katika maendeleo ya vitu wakati kuna nyanja nyingi tu tumeziacha zikilegalega na uhakika huo mradi watakao pata zabuni ni makampuni ya Kichina na yatakuja na hadi mafundi mchundo wao wakati Wabongo wataishia kuwa vibarua katika mradi kama huo tuko na safari ndefu sana mpaka kufikia nchi ya ahadi sina hakika sana kama miradi kama hii itasaidia uhakika wa upatikanaji wa nishati ya umeme wa uhakika au madawa mahospitalini.Kuna zahanati(jengo) maana haijakamilika kuitwa hivyo iko kijiji cha Changalawe(Myombo),Kilosa kwa zaidi ya miaka kumi ni jambo la kusikitisha lakini eneo hilo lina viongozi wote wa mtaa na mkuu wa wilaya hiyo huwa anakwenda kukagua mradi huo sasa huduma za msingi kama hizo hazipewi vipaumbele vinavyostahili.
 
kigambon bado,na kawe hiyo,ngoja tuenjoy michoro hiyo inafarij wakat mwingine
 
Shukrani kwa serikali ya awamu ya nne. Stay tuned! Mambo mazuri yanakuja na yataendelea kuja chini ya serikali ya CCM.

Kama hutaki maendeleo wewe utakuwa ni mchawi na ukatafute nchi ya kuishi.

Kwa kukosa umakini hata wakina MANGUNGO nao walidhani wanaleta maendeleo kwa kuuza nchi kwa bei ya ushanga!! Maendeleo ni ya watu na sio vitu nyie vilaza!!
 
Temeke Mwisho Development
Lead Consultants & Master Planners: Feb 2012 concept design
  • Concept design for a sustainable regeneration of existing populated & unorganized area
Land: 101,600 Sq.m (25 Acres) Population: 13,000 residents Total Built-up Area: 305,600 Sq.m Total units: 2,200
TemekeFlats.gif
 
kwa awamu ya nne sihangai ikachorwa michoro kuendeleza ahadi za uongo tulizozizoea. Umeme na maji shida halafu unazungumzia cities. Ndoto za mchana. Hata kama tumeuza nchi hakuna muwekezaji wa kuekeza pasipo na maji wala umeme. bitch!!!!!!!!!!!!!
 
Mmmmmh!Mipango mizuri ila tungeonyesha utekelezaji wa ile tuliokwisha panga.mwenye update za Kigamboni plz!
 
Mkuu n00b ule mradi wa Kigamboni umemalizika? au ndio mnajiliwaza na mapicha ya miradi na kuishi maisha ya ndoto mpakani lini? Acheni propaganda zenu watanzania wanachotaka kwa sasa ni ACTION sio SIAsA
 
Mmmmmh!Mipango mizuri ila tungeonyesha utekelezaji wa ile tuliokwisha panga.mwenye update za Kigamboni plz!

hapa hamna kitu hii miradi inaweza kutekelezeka ikiwa kile chama cga wahuni CCM hakipo madarakani, kwa sasa ni ndoto
 
Hii itatokea labda miaka 200-300 ya Uhuru wa Tanganyika
kama mleta uzi alivyosema kuwa hawatufahamishi, wataishia kuifanya wenyewe na pesa zao za uswizi na matokeo yake itabidi ifanyike party nyingine ya kupongeza waokoaji pale yatakapoporomoka. Jambo jema halifanyiki 'gizani'
 
nani aliota ndoto na kuimalizia kabla hajashtuka toka usingizini?
 
mkapa aliacha projects nyingi in progress ambazo jk amekuja kuziendeleza na nyingine kaziua,sasa m.kwe.re kwa kuiga naye kaja na mkwara wa migorofa(picha za migorofa).
funny president
 
Back
Top Bottom