Record Man
JF-Expert Member
- May 25, 2023
- 525
- 876
Wajuzi mtusaidie. Hezbollah kwa nini amenunua ugomvi wa Israel na Hamas ? Ana maslahi gani na kumsaidia Hamas ?Anaitwa Mohammed hussain srur, chief commander wa drone wa Hezbollah.
Kauwawa na jeshi la anga la Israel.
View: https://youtu.be/NLnHLkpYehk?si=IK1JJeqw15j168Px
Israel yafanya mashambulizi mapya nchini Lebanon – DW – 27.09.2024
Serikali ya Israel imetupilia mbali pendekezo la kusitisha mapigano kwa siku 21 nchini Lebanon, na kuahidi kuendelea kupambana na wanamgambo wa Hezbollah hadi watakapopata ushindi kamili.www.dw.com
View: https://youtu.be/eoHMlraouQ0?si=izqhjMv6KF2h5drt
Hili hata 2006 lilitokea hiyo ni vita piga nikupige.Wajuzi mtusaidie. Hezbollah kwa nini amenunua ugomvi wa Israel na Hamas ? Ana maslahi gani na kumsaidia Hamas ?
Hiyo ni vita kufa vitani kawaida.Israel ni moto wa kuotea mbali
Jibu ni moja tu bossWajuzi mtusaidie. Hezbollah kwa nini amenunua ugomvi wa Israel na Hamas ? Ana maslahi gani na kumsaidia Hamas ?
Kuna eneo la Lebanon linakaliwa na Israel kimabavu ( shebaa farm)Wajuzi mtusaidie. Hezbollah kwa nini amenunua ugomvi wa Israel na Hamas ? Ana maslahi gani na kumsaidia Hamas ?
Kwa mujibu wa maelezo ya netanyahu alipowasili jana marekaniAnaitwa Mohammed hussain srur, chief commander wa drone wa Hezbollah.
Kauwawa na jeshi la anga la Israel.
View: https://youtu.be/NLnHLkpYehk?si=IK1JJeqw15j168Px
Israel yafanya mashambulizi mapya nchini Lebanon – DW – 27.09.2024
Serikali ya Israel imetupilia mbali pendekezo la kusitisha mapigano kwa siku 21 nchini Lebanon, na kuahidi kuendelea kupambana na wanamgambo wa Hezbollah hadi watakapopata ushindi kamili.www.dw.com
View: https://youtu.be/eoHMlraouQ0?si=izqhjMv6KF2h5drt
Huwezi shinda vita kwa kuua generalsIsrael anawakaanga wavaa kubazi kama kitimoto.
All the best
Sisi hezbollah tunapata thawabu kwa allah kwa kuwasaidia ndugu zetu katika imani.Wajuzi mtusaidie. Hezbollah kwa nini amenunua ugomvi wa Israel na Hamas ? Ana maslahi gani na kumsaidia Hamas ?
Mpaka mseme, bado hamjasema.Kuna eneo la Lebanon linakaliwa na Israel kimabavu ( shebaa farm)
Israel ni moto wa kuotea mbali anapeleka moto ile mbaya.Anaitwa Mohammed hussain srur, chief commander wa drone wa Hezbollah.
Kauwawa na jeshi la anga la Israel.
View: https://youtu.be/NLnHLkpYehk?si=IK1JJeqw15j168Px
Israel yafanya mashambulizi mapya nchini Lebanon – DW – 27.09.2024
Serikali ya Israel imetupilia mbali pendekezo la kusitisha mapigano kwa siku 21 nchini Lebanon, na kuahidi kuendelea kupambana na wanamgambo wa Hezbollah hadi watakapopata ushindi kamili.www.dw.com
View: https://youtu.be/eoHMlraouQ0?si=izqhjMv6KF2h5drt
😁😁 mimi niseme nini sasa hapo ?Mpaka mseme, bado hamjasema.
Kwani mwanzo umesema nini😁😁😁😁 mimi niseme nini sasa hapo ?