min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Naona mimi na wewe wote tunasema😁Kwani mwanzo umesema nini😁😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona mimi na wewe wote tunasema😁Kwani mwanzo umesema nini😁😁
Ujinga tu ongeza mihemko na ushabiki wa kidiniWajuzi mtusaidie. Hezbollah kwa nini amenunua ugomvi wa Israel na Hamas ? Ana maslahi gani na kumsaidia Hamas ?
Mazayuni yamekaa kwenye dashboard yalishafanya analysisi ya kutosha ya movements za Hizbullah.Yanaamua tu yupi ana madhara akaangwe!Hiyo ni vita kufa vitani kawaida.
Nachotaka kuona ni Hizbollah ikishindwa kujibu ndio nitaona Israel ni kiboko.
Makamanda wote wa Hezbollah wamekufa.Naona mimi na wewe wote tunasema😁
Kifo ni kifo tu, juzi kuna jamaa kajinyonga kisa mapenzi.Makamanda wote wa Hezbollah wamekufa.
Hutaki wing moja hapo uwaadabishe IDF?
Na wewe nenda basi kama kifo ni kifo.Kifo ni kifo tu.
Bora hao wanakufa wakipigania haki yao juzi kuna jamaa kajinyonga kisa kachapiwa.Na wewe nenda basi kama kifo ni kifo.
Mjinga huyo kwa nini hakufata ushauri wa mwana FA.Bora hao wanakufa wakipigania haki yao juzi kuna jamaa kajinyonga kisa kachapiwa.
Walioshiba wanatiana akili!Duh aiseee
Hamas, Hezbollah, Iran na makundi mengine hapo Syria, Iraq na Yemen wanatengeneza kitu kinaitwa Axis of Evil.Wajuzi mtusaidie. Hezbollah kwa nini amenunua ugomvi wa Israel na Hamas ? Ana maslahi gani na kumsaidia Hamas ?
Wamesogeza jeshi la ardhini mpakani na lebanon,ngoja tushuhudie timbwiliMazayuni yamekaa kwenye dashboard yalishafanya analysisi ya kutosha ya movements za Hizbullah.Yanaamua tu yupi ana madhara akaangwe!
Ulipendelea wawaue akina nani?Huwezi shinda vita kwa kuua generals
Kwa nchi ya iran anayeamua waingie kwenye vita au wasiingie ni ayatollah na sio rais wa IranHamas, Hezbollah, Iran na makundi mengine hapo Syria, Iraq na Yemen wanatengeneza kitu kinaitwa Axis of Evil.
Mkakati wa Iran ni kuwapa silaha na mafunzo maadui wote wa Israel ili ikifikia hatua Israel inapigana na Iran basi makundi mengine yaisaidie Iran. Lengo ni Israel awe na fronts nyingi, mpaka wa Kusini anapigana na huyu, mpaka wa Kaskazini huyu, reserve yote iitwe na wanajeshi wazidiwe majukumu.
Hayo makundi yananunua ugomvi wa Israel na Iran yakimtegemea boss wao Iran atawatetea wakipigwa. Iran naye anawategea anawatumia kwa mahesabu.
Serikali ya Bashar al Assad wa Syria nayo ilisaidiwa mno na Hezbollah kwenye kupigana na waasi na kundi la ISIS. Lengo ni kwa kuwa Syria ni adui wa Israel hivyo muda muafaka naye angeisaidia Hezbollah. Badala yake mataifa haya yanaogopa yameufyata.
Hamas imeanza mbwembwe zikiwa nyingi (haikuwashirikisha wenzie ili shambulizi liwe la siri). Na kwa sasa nimeelewa approach ya Hamas ilikuwa sahihi, wao wana usiri kwao kuliko Hezbollah ilivyokuwa infiltrated na Israel intelligency. Usiri wa Hamas ukafanya waanze vizuri mwanzoni, baadae walitakiwa waingie Hezbollah na Iran ila sasa kila siku wakawa wanasema onyo la mwisho Israel ikiingia Gaza, Israel inaingia. Onyo la mwisho ikiingia kambi fulani, inaingia. Onyo la mwisho kufika Khan Younis, Israel inafika. Mpaka Hamas imechakaa bila washirika kuingilia kusaidia.
Sasa Hezbollah inashambuliwa Hamas hawana nguvu tena. Iran ndio anatakiwa aingie ila hesabu za Rais mpya zinakataa, aliyekuwepo angalau angefanya kitu ila ndio alikufa kwa "helikopta kuanguka kwenye ukungu".
Axis of evil auHamas, Hezbollah, Iran na makundi mengine hapo Syria, Iraq na Yemen wanatengeneza kitu kinaitwa Axis of Evil.

Wanajeshi laki moja wa hizbullahUlipendelea wawaue akina nani?
Rais wa Iran anamshawishi Ayatollah. Mwenendo mzima wa msimamo wa kimataifa unaongozwa na Rais na Waziri wake wa Mambo ya Nje. Ayatollah ni kama Mfalme wa Uingereza anayetoa declaration of war ila haongozi vita bali inaongozwa na Waziri Mkuu.Kwa nchi ya iran anayeamua waingie kwenye vita au wasiingie ni ayatollah na sio rais wa Iran
Unamuua mtu ambaye tayari keshamaliza kazi!?Mazayuni yamekaa kwenye dashboard yalishafanya analysisi ya kutosha ya movements za Hizbullah.Yanaamua tu yupi ana madhara akaangwe!