Commander mkuu wa Hezbollah kikosi Cha drone auawa

Commander mkuu wa Hezbollah kikosi Cha drone auawa

Huwezi shinda vita kwa kuua generals
Hiyo mbinu ni kali sana maana inaua morali ya wapiganaji ....ukiwa unakula vichwa vya viongozi hawa wenye ulinzi mkali hawa chawa wanaingia mitini wanajua km kiongozi kaliwa kichwa fasta... mm mwajuma ndala ndefu si nitapakwa mafuta na P diddy 🤣🤣🤣🤣analamba lapa chap...
 
Ngoja tuone
 
Wajuzi mtusaidie. Hezbollah kwa nini amenunua ugomvi wa Israel na Hamas ? Ana maslahi gani na kumsaidia Hamas ?
Kiuhalisia, ni Iran iliyo vitani dhidi ya Israeli nyuma ya pazia. Hezbollah, Hamas, Houthis na vikundi vingine vya kimgambo nchini Syria na Iraq hutumiwa tu na Iran kupambana na Israeli. Fedha, silaha na mafunzo yote ya mapambano hufadhiliwa na kusimamiwa na Ayatollah Khamenei.
 
Back
Top Bottom