Commander mkuu wa Hezbollah kikosi Cha drone auawa

Sasa Hezbollah inashambuliwa Hamas hawana nguvu tena. Iran ndio anatakiwa aingie ila hesabu za Rais mpya zinakataa, aliyekuwepo angalau angefanya kitu ila ndio alikufa kwa "helikopta kuanguka kwenye ukungu"
Bro Kuna taarifa niliona juzi inasema Hezbollah wameomba Iran iishambulie Israel ila Iran ijajibu mpk sasa, wapo kimya.

Inawezekana walishamjua rais wa Iran yule kuwa anamaamuzi magumu nafikili waliamua kumuwahi mapema kwenye helicopter ya USA.
 
Unamuua mtu ambaye tayari keshamaliza kazi!?
Huyu aliyeuawa wapo kama mia huko Yemeni wenye uwezo kama yeye.
Kama ingekua kuua makamanda kuna impact kubwa hadi sasa hao waarabu wangeshasalimu amri.
Haya sio mapenzi, haya ni mahaba. Yaani vita inaendelea mwanajeshi ameshamaliza kazi hata akiuwawa sawa tu?

Muda huu familia yake inaombeleza wewe nyuma ya keyboard unaona poa tu.
 
Unamuua mtu ambaye tayari keshamaliza kazi!?
Huyu aliyeuawa wapo kama mia huko Yemeni wenye uwezo kama yeye.
Kama ingekua kuua makamanda kuna impact kubwa hadi sasa hao waarabu wangeshasalimu amri.
Ee ee haa kumbe wapo wengi, washughulikiwe haraka iwezekanavyo.
 
Haya sio mapenzi, haya ni mahaba. Yaani vita inaendelea mwanajeshi ameshamaliza kazi hata akiuwawa sawa tu?

Muda huu familia yake inaombeleza wewe nyuma ya keyboard unaona poa tu.
Mbona unaongea out of context bro!??
Embu rudi katika mada husika.
Kwani mimi nimesema ni sawa askari kufa!??
Tunachoongelea hapa ni impact ya kumdhoofisha Hizbollah kwa kuua makamanda wake.
 
Unamuua mtu ambaye tayari keshamaliza kazi!?
Huyu aliyeuawa wapo kama mia huko Yemeni wenye uwezo kama yeye.
Kama ingekua kuua makamanda kuna impact kubwa hadi sasa hao waarabu wangeshasalimu amri.
Hao hawamuwezi Israel ndio maana anaua makamanda wakubwa kirahisi rahisi Kila siku mzee hamna kitu hao magaidi hawawezi vita na huyo myahudi haiwezekani Kila siku makamanda wa kubwa ndio watangulizwe akhera tu hapo hamna kitu Israel ni mbabe wao
 
Wapi kina rits malaria webabu na kobaz wengine
 
Hao hawamuwezi Israel ndio maana anaua makamanda wakubwa kirahisi rahisi Kila siku mzee hamna kitu hao magaidi hawawezi vita na huyo myahudi haiwezekani Kila siku makamanda wa kubwa ndio watangulizwe akhera tu hapo hamna kitu Israel ni mbabe wao
Hawataki kuua raia wengi wasio nahatia kama magaidi wanavyoua
 
Dah sisi wapinga Israel tunapitia wakati mgumu sana

Iran joka la kibisa
 
View: https://m.youtube.com/watch?v=T-SKgD3SJ48
 
Hezbollah ni chama cha waislam wa Shia wenye siasa kali, wanashirikiana na magaidi wenzao Hamas kumtoa Israel kwenye kile wanachoamini ni ardhi takatifu.
Ni maslahi ya kiimani zaidi
Hilo ni kosa kubwa sana wanalofanya Hizbollah, hiyo ni nchi yao ya ahadi waliyopewa na Mungu, umtoe aende wapi? wajiandae ni mwendo wa kichapo tu.
 
Waisrael ni taifa teule la Mungu yeyote atakayepigana nao hatoshinda, wana baraka zote, kupigana nao ni kupigana na Mungu nyie hamugopi.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…