Compare & Contrast: Hotuba ya Jaji Warioba v/s Rais Kikwete!

Compare & Contrast: Hotuba ya Jaji Warioba v/s Rais Kikwete!

Shujaa wa karne (warioba) v/s dhaifu jei kei?
Hapana pasco kajipange!
 
Kwa wenye kujua kuwa Mapinduzi ya Znz yalifanywa na Wazaramo, Wandengereko, Wamanyema wakishirikiana na ndugu zao wa unguja sina shaka kuwa wataungana nami nikisema WAPEMBA hawakuwahi kushiriki katika mapinduzi bali walitaarifiwa tu kuwa sasa sultan kashatimuliwa !!! ZNZ ni Sehemu ya Tanganyika! Waasisi wanatambua ukweli huu lakini wengi wako kimya hawataki kuwaambia ukweli wananchi kuwa chokochoko zote za kutaka kututenganisha chanzo chake ni wapemba wachache wasiojua chochote kuhusiana na historia ya nchi hii... the so called muafaka ndo chanzo cha matatizo yote haya....Mimi nasimama upande wa JK kuwa ZNZ ni sehemu ya Tanganyika serikali mbili zinatosha kwa sasa kuelekea serikali moja!!!
 
Presidente Kikwete es un cráneo de cabeza hueca que nunca han logrado que no sea hacer turismo por la world.You cualquier cosa que no se puede comparar no hacer nada Kikwete con una inteligente, patriota y Warioba.Kikwete trabajador es un traje vacío.
 
Ya Warioba ni maoni yetu wananchi,ya kikwete ni yake na mkewe.Hivyo wengi wape

Hapo ndipo unapokosea. Na ya Nyerere pia, na ya Pengo pia. Au Nyerere alikuwa na maoni tofauti na ya Kikwete na ya mkewe Kikwete? kuhusu Serikali mbili?

Wewe kweli bongolala.
 
Wanabodi,

Naona mpaka sasa hizi hotuba mbili, zimeleta changamoto ya aina yake kwenye mjadala wa katiba mpya!.

Naomba kuwauliza wale wenye uwezo wa "to read in between the lines", kwa ku compare and contrast hizi hotuba mbili, ya Jaji Warioba akiwasilisha rasimu, na ya Rais Jakaya Kikwete akilizindua Bunge hilo Maalum, ipi ndio hatuba ya maana zaidi?!. Jaji Warioba kawasilisha rasimu ya serikali 3, Rais Kikwete akaiponda hiyo rasimu na kuweka mwelekeo wa serikali mbili!.

Jaji Warioba ametoa sababu za kufikia serikali tatu, jee sababu hizo ni credible?, ni justified?, zinatekelezeka?!.
Rais JK hakuzipangua, bali ametoa angalizo jinsi zisivyotekelezeka!. Jee kati wawili hawa, nani ni mtu credible wa kumuaminia, isije ikawa ni blah blah tuu?!.

Is Jaji Warioba credible?, is he the man of integrity?, ushauri wake wa serikali tatu kuwa utapunguza keri za muungano unaweza kuwa ni kweli?!, au nao ni blah blah za kisiasa?!.

Rais wetu Kipenzi, Mhe. Dokta (msomi wa Ph.D), Jakaya Mrisho Kikwete, is he credible?!, is he the man of integrity?!
Hilo pendekezo lake la kuendelea na serikali mbili kuwa licha ya kushindwa kutatua kero za muungano kwa miaka 50!, tukiendelea na serikali mbili, sasa ndio tutazitatua hizo kero inaweza kuwa kweli au ni blah blah tuu?!.

Pasco

Juez Warioba es más creíble y de confianza que Kikwete.Kikwete es un flojo-canon que nunca se puede confiar.
 
Tume ya Warioba walikusanya maoni ya wananchi, wakafanya uchambuzi, wakafanya utafiti, wakarefer historia ndio wakaja na hiyo rasimu,

Hebu JK naye awaeleze watanzania amekusanya maoni wapi, amefanya uchambuzi wapi, amefanya utafiti gani na historia gani iliyomfanya aamue kutaka serikali mbili?

Kikwete kwenye hotuba yake, labda hukumsikiliza, karudia tena na tena na tena kusema kuwa kuwa kaisoma rasimu vizuri sana. Au hilo hulijuwi?

Jee, kilichokuudhi katika hotuba ya Kikwete ni kipi?
 
Hapo ndipo unapokosea. Na ya Nyerere pia, na ya Pengo pia. Au Nyerere alikuwa na maoni tofauti na ya Kikwete na ya mkewe Kikwete? kuhusu Serikali mbili?

Wewe kweli bongolala.
Musulmán terrorista Faiza, ¿Eres alrededor abuela? Muchos líderes islámicos con trasfondos resultó ser gran fracaso en este país y JK es un buen ejemplo de esa falta.
 
Samahani ningependa kujua msimamo wako ni upi kati ya serikali mbili, tatu na moja. Mwanzo umesema Kikwete alitoa hotuba murua ukilinganisha na Warioba ila hapa ni kama hukubaliani na walioipoteza Tanganyika.Kama upo upande wa Kikwete, Je unadhani Tanganyika inaweza kurudi katika mfumo wa serikali mbili?

Warioba hajatoa hotuba, ni nani alikudanganya kuwa Warioba alienda kwenye bunge maalum la katiba kutoa hotuba?
 
Kikwete kwenye hotuba yake, labda hukumsikiliza, karudia tena na tena na tena kusema kuwa kuwa kaisoma rasimu vizuri sana. Au hilo hulijuwi?

Jee, kilichokuudhi katika hotuba ya Kikwete ni kipi?

Usimalize nguvu zako bure....

Hao unaobishana nao uwezo wao wa kufikiri haumzidi kuku....

Wanaandika wanachojua hawaandiki wanachoelewa wala kilichopo kwenye hoja...

Kama mtu anaweza kurubunika kwa siasa za kihuni za CDM si rahisi kuwa na ung'amuzi wa mambo ya msingi...

Alamsiki.....
 
Musulmán terrorista Faiza, ¿Eres alrededor abuela? Muchos líderes islámicos con trasfondos resultó ser gran fracaso en este país y JK es un buen ejemplo de esa falta.

Ni ishara ya woga...

ni dalili ya kuishiwa hoja na viashiria vya kuanza viroja..

code mixing and code switching hulenga kupunguza hadhira ambapo mzungumzaji ama ameshindwa kushawishi kwa hoja hivyo anaamua kuitenga kukimbia mjadala....

You are too low!!!
 
Hotuba ya Warioba haikuwa na mipasho, kebehi wala rusha roho. Aliongea ukweli mtupu

Nani aliokudanganya kuwa Warioba alienda kwenye bunge. Maalum kuhutubia?

Usiwe mjinga, Warioba alienda kuwasilisha rasimu aliyotumwa kuitengeneza na Kikwete. Na kabla ya kuiwasilisa bungeni, kwanza kabisa aliikabidhi kwa aliyemtuma.

Aliyehutubia ni Kikwete. Msidanganywe na porojo za Pasco.
 
Last edited by a moderator:
Jk alizungumza kama mwenyekiti wa ccm, warioba alizungumza kama mwenyekiti wa tume ya katiba! Binafsi naunga mkono hotuba ya warioba, maana ilijaa facts tupu! Ya jk ilijaa porojo na mipasho zaidi!
 
watu ni pro serikali 3 sababu ni maamuzi ya CDM,,,leo CDM ikisema tunasapoti serikali 2 mjadala utabadilikA humu ndani
 
Presidente Kikwete es un cráneo de cabeza hueca que nunca han logrado que no sea hacer turismo por la world.You cualquier cosa que no se puede comparar no hacer nada Kikwete con una inteligente, patriota y Warioba.Kikwete trabajador es un traje vacío.
Hii google translate ndio umeijuwa leo?
 
Naona unabwabwaja bila ya uelewa.

Mimi ni Mtangayika tena wa ukweli kabisa, nilizaliwa Tanganyika mara nikastukia nimebadilishwa Uraia naitwa Mtanzania (jina alilotoa Mhindi wa Tanga).

Nikiuliza Tanganyika yangu iko wapi? naambiwa Nyerere ndiyo aliiuwa Tanganyika.

Uwezi kuwa mtanganyika alafu ukaunga mkono serekali mbili. Ngoja Tanganyika yetu irudi alafu ndio mtajua hatima yenu nyie wazanzibar mlio jisahau hapa Tanganyika
 
Hotuba Zote Mbili Zinathamani Kubwa Kwa Watanzania! Rais Kimsingi Alikuwa Anaelimisha Yaliyomo Ndani Ya Katiba Ivo Kufumbua Waliokuwa Wanaupeo Mdogo!

Kikwete alienda kufungua bunge kama Raisi wa nchi na ingeeleweka kama angeongelea faida na hasara za serekali tatu au mbili. lakini alichokifanya ni kuelezea misimamo ya CCM au Rasimu ya CCM kama yupo lumumba
 
Kwa wenye kujua kuwa Mapinduzi ya Znz yalifanywa na Wazaramo, Wandengereko, Wamanyema wakishirikiana na ndugu zao wa unguja sina shaka kuwa wataungana nami nikisema WAPEMBA hawakuwahi kushiriki katika mapinduzi bali walitaarifiwa tu kuwa sasa sultan kashatimuliwa !!! ZNZ ni Sehemu ya Tanganyika! Waasisi wanatambua ukweli huu lakini wengi wako kimya hawataki kuwaambia ukweli wananchi kuwa chokochoko zote za kutaka kututenganisha chanzo chake ni wapemba wachache wasiojua chochote kuhusiana na historia ya nchi hii... the so called muafaka ndo chanzo cha matatizo yote haya....Mimi nasimama upande wa JK kuwa ZNZ ni sehemu ya Tanganyika serikali mbili zinatosha kwa sasa kuelekea serikali moja!!!

ulichoandika ni pumba. Miaka 50 ya muungano huku mambo ya muungano yakizidi kuondolewa na katiba ya zanzibar alafu unasema tunaelekea serekali moja. Hao Wazaramo, Wandengereko na Wamanyema walio Unguja ni sawa na waangaza ambao wapo Rwanda na Tanzania. Kamwambie basi Kikwete aende akamjulie hali Kagame uone atakwambia kama wana undugu.
 
Mi nianze kwa kusikitika na pumba za jk, ukweli ubaki pale pale kuwa tunahitaji kilichopendekezwa na wanachi si kikwete
 
Mi nianze kwa kusikitika na pumba za jk, ukweli ubaki pale pale kuwa tunahitaji kilichopendekezwa na wanachi si kikwete

Yep ni kweli .......tunahitaji kilichopendekezwa na wananchi ..... ;hili ndio lapaswa kufanyiwa kazi.
 
Back
Top Bottom