Compilation ya Wahenga tu: Kila mwenye picha ya Mhenga aiweke hapa

Acha bana sio lila wakati ni wa mambo hayo unayo eleza.... kuna wakati wa kurelax hata kwa mataifa yaliyo endelea... fuatilia famila ya kina Kardashani imefikaje ilipo kama kila mtu
angekuwa anafikilia kugundua rocket (NASA)... Mr. Bean je...... na usawa huu .... acha watu wacheke kdg.
 
Mbona yule mhenga aliyesema,hainaga ushemeji,simuoni?

Sent from my G7-L01 using JamiiForums mobile app
 

wacha turelax aifa linaongozwa na bashite na magu wao ndo wanamaamuzi ya kila kitu kila wakiamka wanasema hili na lile

ww ndo mpuuzi zaidi........................ kwa taifa hili lilivyo bora kupuuza kila jambo uongeze siku za maisha yako maana muda huu hakuna linaloeleweka
maisha magumu
kazi hakuna
pesa hakuna
na kucheka pia kuwe hakuna ......

ww uliye serious hebu tuambie tangu asubuhi umefanya jambo gani zaidi ya kuamka na mihasira yako kutuletea huku ...................
nenda magogoni kawasaidie na hayo mambo unayoyaita nyeti by the way JF kuna nyuzi nyingi majukwaa ya kutosha.kakuita nani humu kama na ww si mpuuz pia?
 

Attachments

  • (wink)_scaled_45.png
    3.5 KB · Views: 89
  • (upset)_scaled_45.png
    3.7 KB · Views: 53
Great sinker[emoji15] [emoji35] [emoji15] [emoji35] [emoji144] [emoji144] [emoji144]

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
Mzee usichukulie hii mambo serious sana,hapa tunajaribu kupozana machungu ya ccm na kuongeza siku za kuishi.
 
Mdogomdogo loh.....naamini alipost bila kuangalia jukwaa alilomo[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 


Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…