Compilation ya Wahenga tu: Kila mwenye picha ya Mhenga aiweke hapa

Compilation ya Wahenga tu: Kila mwenye picha ya Mhenga aiweke hapa

d43df467ca0ef3a0e112d25b98c06cb9.jpg

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Hii yote ni kwa sababu Taifa limekuwa la hovyo hovyo,na watu wake kushabikia mambo ya hovyo ilhali tukiacha ku'deal na masuala mazito ya Taifa letu.

Kutrend kwa suala hili kwangu kuna tafsiri mbili moja ni ama Taifa lina watoto wengi ama lenye watu waliojawa na utoto mwingi, na pili ni unafiki na kutojishughulisha na masuala nyeti ya kitaifa,badala yake tunashabikia mambo ya kipuuzi yasio na tija kwa Taifa
Acha bana sio lila wakati ni wa mambo hayo unayo eleza.... kuna wakati wa kurelax hata kwa mataifa yaliyo endelea... fuatilia famila ya kina Kardashani imefikaje ilipo kama kila mtu
angekuwa anafikilia kugundua rocket (NASA)... Mr. Bean je...... na usawa huu .... acha watu wacheke kdg.
 
Mbona yule mhenga aliyesema,hainaga ushemeji,simuoni?

Sent from my G7-L01 using JamiiForums mobile app
 
Hii yote ni kwa sababu Taifa limekuwa la hovyo hovyo,na watu wake kushabikia mambo ya hovyo ilhali tukiacha ku'deal na masuala mazito ya Taifa letu.
(what)_scaled_45.png

Kutrend kwa suala hili kwangu kuna tafsiri mbili moja ni ama Taifa lina watoto wengi ama lenye watu waliojawa na utoto mwingi, na pili ni unafiki na kutojishughulisha na masuala nyeti ya kitaifa,badala yake tunashabikia mambo ya kipuuzi yasio na tija kwa Taifa

wacha turelax aifa linaongozwa na bashite na magu wao ndo wanamaamuzi ya kila kitu kila wakiamka wanasema hili na lile

ww ndo mpuuzi zaidi........................ kwa taifa hili lilivyo bora kupuuza kila jambo uongeze siku za maisha yako maana muda huu hakuna linaloeleweka
maisha magumu
kazi hakuna
pesa hakuna
na kucheka pia kuwe hakuna ......

ww uliye serious hebu tuambie tangu asubuhi umefanya jambo gani zaidi ya kuamka na mihasira yako kutuletea huku ...................
nenda magogoni kawasaidie na hayo mambo unayoyaita nyeti by the way JF kuna nyuzi nyingi majukwaa ya kutosha.kakuita nani humu kama na ww si mpuuz pia?
 
Attachments

  • (wink)_scaled_45.png
    (wink)_scaled_45.png
    3.5 KB · Views: 89
  • (upset)_scaled_45.png
    (upset)_scaled_45.png
    3.7 KB · Views: 53
Hii yote ni kwa sababu Taifa limekuwa la hovyo hovyo,na watu wake kushabikia mambo ya hovyo ilhali tukiacha ku'deal na masuala mazito ya Taifa letu.

Kutrend kwa suala hili kwangu kuna tafsiri mbili moja ni ama Taifa lina watoto wengi ama lenye watu waliojawa na utoto mwingi, na pili ni unafiki na kutojishughulisha na masuala nyeti ya kitaifa,badala yake tunashabikia mambo ya kipuuzi yasio na tija kwa Taifa
Great sinker[emoji15] [emoji35] [emoji15] [emoji35] [emoji144] [emoji144] [emoji144]

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
Mi ndiyo maana nakuita wewe mshana jr muongo....hawa ni Baka people (mbilikimo) waishio msituni (Cameroon na Congo)....basi hapo utasema uliwakamata jana usiku. Mshana bwana, wacha vituko....njoo kivingine. Si unaona mwenzio Domo kaona gemu linambadilikia anauza karanga siku hizi?
Mzee usichukulie hii mambo serious sana,hapa tunajaribu kupozana machungu ya ccm na kuongeza siku za kuishi.
 
wacha turelax taifa linaongozwa na bashite na magu wao ndo wanamaamuzi ya kila kitu kila wakiamka wanasema hili na lile ww ndo mpuuzi zaidi........................ kwa taifa hili lilivyo bora kupuuza kila jambo uongeze siku za maisha yako maana muda huu hakuna linaloeleweka maisha magumu kazi hakuna pesahakuna na kucheka pia kuwe hakuna ww uliye serious hebu tuambie tangu asubuhi umefanya jambo gani zaidi ya kuamka na migasira yako kutuletea huku ................... nenda magogoni kawasaidie na hayo mambo unayoyaita nyeti by the way jb kuna nyuzi nyingi tu kakuita nani humu kama na ww si mpuuz pia?
Mdogomdogo loh.....naamini alipost bila kuangalia jukwaa alilomo[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
2bb020166ff8bfe283c22a54793d0aeb.jpg

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom