Abbasfarudume
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 1,625
- 1,326
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha bana sio lila wakati ni wa mambo hayo unayo eleza.... kuna wakati wa kurelax hata kwa mataifa yaliyo endelea... fuatilia famila ya kina Kardashani imefikaje ilipo kama kila mtuHii yote ni kwa sababu Taifa limekuwa la hovyo hovyo,na watu wake kushabikia mambo ya hovyo ilhali tukiacha ku'deal na masuala mazito ya Taifa letu.
Kutrend kwa suala hili kwangu kuna tafsiri mbili moja ni ama Taifa lina watoto wengi ama lenye watu waliojawa na utoto mwingi, na pili ni unafiki na kutojishughulisha na masuala nyeti ya kitaifa,badala yake tunashabikia mambo ya kipuuzi yasio na tija kwa Taifa
Yuko wapi member Mbuzi mzee
Mkuu sijawahi cheka kama nilivo cheka leo muda mrefu sana.... nilishindwa kabisa kujicontrol.... watz nimewashindwa....Hihii huu uz unanifanya nionekane mwehu nacheke hapa machoz yanatiririkana nipo kwenye daladala
Lol[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
Hii yote ni kwa sababu Taifa limekuwa la hovyo hovyo,na watu wake kushabikia mambo ya hovyo ilhali tukiacha ku'deal na masuala mazito ya Taifa letu.
![]()
Kutrend kwa suala hili kwangu kuna tafsiri mbili moja ni ama Taifa lina watoto wengi ama lenye watu waliojawa na utoto mwingi, na pili ni unafiki na kutojishughulisha na masuala nyeti ya kitaifa,badala yake tunashabikia mambo ya kipuuzi yasio na tija kwa Taifa
Dawa ya moto ni motoHawa Vipi...?
View attachment 539968
Karibu ulaya bongo bahati mbaya![]()
Naomba mnikumbushe huyu mhenga alisemaje??
Ndo nani huyu mkuu naomba kufahamu,inaonekana unamfamu vizuri.Muache Ntlami wa watu aendelee kurest in peace
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Great sinker[emoji15] [emoji35] [emoji15] [emoji35] [emoji144] [emoji144] [emoji144]Hii yote ni kwa sababu Taifa limekuwa la hovyo hovyo,na watu wake kushabikia mambo ya hovyo ilhali tukiacha ku'deal na masuala mazito ya Taifa letu.
Kutrend kwa suala hili kwangu kuna tafsiri mbili moja ni ama Taifa lina watoto wengi ama lenye watu waliojawa na utoto mwingi, na pili ni unafiki na kutojishughulisha na masuala nyeti ya kitaifa,badala yake tunashabikia mambo ya kipuuzi yasio na tija kwa Taifa
Mzee usichukulie hii mambo serious sana,hapa tunajaribu kupozana machungu ya ccm na kuongeza siku za kuishi.Mi ndiyo maana nakuita wewe mshana jr muongo....hawa ni Baka people (mbilikimo) waishio msituni (Cameroon na Congo)....basi hapo utasema uliwakamata jana usiku. Mshana bwana, wacha vituko....njoo kivingine. Si unaona mwenzio Domo kaona gemu linambadilikia anauza karanga siku hizi?
Mdogomdogo loh.....naamini alipost bila kuangalia jukwaa alilomo[emoji23] [emoji23] [emoji23]wacha turelax taifa linaongozwa na bashite na magu wao ndo wanamaamuzi ya kila kitu kila wakiamka wanasema hili na lile ww ndo mpuuzi zaidi........................ kwa taifa hili lilivyo bora kupuuza kila jambo uongeze siku za maisha yako maana muda huu hakuna linaloeleweka maisha magumu kazi hakuna pesahakuna na kucheka pia kuwe hakuna ww uliye serious hebu tuambie tangu asubuhi umefanya jambo gani zaidi ya kuamka na migasira yako kutuletea huku ................... nenda magogoni kawasaidie na hayo mambo unayoyaita nyeti by the way jb kuna nyuzi nyingi tu kakuita nani humu kama na ww si mpuuz pia?