Compilation ya Wahenga tu: Kila mwenye picha ya Mhenga aiweke hapa

Compilation ya Wahenga tu: Kila mwenye picha ya Mhenga aiweke hapa

IMG-20170712-WA0006.jpg

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
Hii yote ni kwa sababu Taifa limekuwa la hovyo hovyo,na watu wake kushabikia mambo ya hovyo ilhali tukiacha ku'deal na masuala mazito ya Taifa letu.

Kutrend kwa suala hili kwangu kuna tafsiri mbili moja ni ama Taifa lina watoto wengi ama lenye watu waliojawa na utoto mwingi, na pili ni unafiki na kutojishughulisha na masuala nyeti ya kitaifa,badala yake tunashabikia mambo ya kipuuzi yasio na tija kwa Taifa
Mhenga amekasirika na ujingaujinga.
 
Wahenga waliovunja rekodi ni wale waliosema kiendacho kwa mganga hakirudi Mtemi wa Bariadi akirudisha hata laki sivai BRAZIA mwezi mzima.
 
Wahenga waliovunja rekodi ni wale waliosema kiendacho kwa mganga hakirudi Mtemi wa Bariadi akirudisha hata laki sivai BRAZIA mwezi mzima.
Duu[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji87] [emoji87] [emoji87]

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
Wahenga waliovunja rekodi ni wale waliosema kiendacho kwa mganga hakirudi Mtemi wa Bariadi akirudisha hata laki sivai BRAZIA mwezi mzima.
Unajidai kwa sababu ...

Sent from my G7-L01 using JamiiForums mobile app
 
Ajabu ya nywele hata kama uko na njaa kiasi gani zenyewe zinaota tu. hata kama huna hela nywele zinaota tu, hata kama ni masikini nywele zinaota tu.
Hata ukiwa mfu pia

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom