Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aku sio huyu yeye ana vindevu vyeupe!.
Mhenga amekasirika na ujingaujinga.Hii yote ni kwa sababu Taifa limekuwa la hovyo hovyo,na watu wake kushabikia mambo ya hovyo ilhali tukiacha ku'deal na masuala mazito ya Taifa letu.
Kutrend kwa suala hili kwangu kuna tafsiri mbili moja ni ama Taifa lina watoto wengi ama lenye watu waliojawa na utoto mwingi, na pili ni unafiki na kutojishughulisha na masuala nyeti ya kitaifa,badala yake tunashabikia mambo ya kipuuzi yasio na tija kwa Taifa
balimi sio nzuri kwa afya ya akili na uzazi View attachment 540151 View attachment 540151 View attachment 540151 atakuwa kaamka nazo.......................
Duu[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji87] [emoji87] [emoji87]Wahenga waliovunja rekodi ni wale waliosema kiendacho kwa mganga hakirudi Mtemi wa Bariadi akirudisha hata laki sivai BRAZIA mwezi mzima.
Ajabu ya nywele hata kama uko na njaa kiasi gani zenyewe zinaota tu. hata kama huna hela nywele zinaota tu, hata kama ni masikini nywele zinaota tu.![]()
Hawa walisema "mtegemea cha nduguye hufa maskini"
Unajidai kwa sababu ...Wahenga waliovunja rekodi ni wale waliosema kiendacho kwa mganga hakirudi Mtemi wa Bariadi akirudisha hata laki sivai BRAZIA mwezi mzima.
![]()
Kusoma sana siyo kuondoa ujinga
![]()
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Huyo alisema Huwezi kwenda mjini kwa sababu hujaulamba![]()
Naomba mnikumbushe huyu mhenga alisemaje??