Complete heart transplant; rethink your faith!

Complete heart transplant; rethink your faith!

That is why unatumia elimu kutafuta findings.

Sio kweli. Kufikiri hakuitaji assumptions.

The case is the same. Two individuals from the same region of the same age. Wote wanaumwa ugonjwa unao fanana, lakini mmoja anakufa.

Kesho isiyo julikana sio assumption. NI FAITH ndio unayo tumia. Unless ukiri kuwa FAITH ndio ASSUMPTION.

Inherently I do not have a problem with faith.

As you have noted, assumption is a face of faith, and as I have noted, it is irrational to repudiate all forms of faith.

Only a blatant liar or a complete ignoramus can tell you that he repudiate faith completely, for reasons given above.

Is it irrational to plan for tomorrow on the faith that the sun will rise and you will not die suddenly in your sleep?

No.

To the contrary, under normal circumstances, it is irrational not to plan for tomorrow due to the fear that the sun will not rise or that one will die in ones sleep.

So the assumption that I am.against faith per se, is erroneous at best. Every human must engage in a form of faith in one form or another. Just walking is an act of faith. By walking, one professes the faith that the ground will not give in under his weight, which is not a total impossibility. Floridians are known to have the earth open up and swallow whole houses.

So the auestion then.becomes, how much faith, in what, and by which principles?

Here is where some choose to have total faith in an invisible god while others choose to have only a minimal amountnof faith based on.rationality and gradually converge towards knowledge.
 
Swali lenyewe, kama lilivyoulizwa kwenye summary hapo juu, halina mantiki.
Prove kuwa swali halina maantiki na sio dismiss syndrome.

Utashangaa vipi dawa ikiwa na effect tofauti kwa watu tofauti kwa nyakati tofauti?
Wapi kwenye swali pamezungimzia nyakati tofauti? Never the less, hata ikitokea ni nyakati tofauti, kwanini dawa ishindwe kutibu ugonjwa unao fanana na waathirika wana background moja?

Hata kwa mtu mmoja kwa nyakati tofauti haina mantiki kushangaa dawa kuwa na matokeo tofauti.
Usibadirishe swali kwa kuchomeka "nyakati" kitu ambacho sehemu ya swali. Yes,ninweza kuwa na headeach in the winter na Summer na wakati wote nikapona kwa dozi ile ile.

Bado hujajibu swali na au unakimbia swali.
 
kwanini hukubaliani? inabidi upinge kwa kutoa sababu...

Naam

Ameandika

There are so many of such cases and in fact, wakati mwingine anaye fariki ni mwenye afadhali.
1. Kutoka na jibu lako hapo juu, linakubaliana nami kuwa Dawa sio inayo ponya.
2. Kutokana na jibu lako hapo juu, linakubali kuwa Daktari anacho fanya ni kutibu tu.
3. Kutoka na jibu lako hapo juu, linakubali kuwa uponyaji wa mgonjwa si tegemezi katika Dawa.

Kumbe ndio maana tuna kuwa na vifo ingawa mgonjwa amepewa dawa. Uponyaji sasa unaanza kuonekana sio kutoka kwa madaktari wanao toa treatment na au kunywa dawa but upo kwa mwengine ambaye haonekani.

Tunaweza kuweka two cases za heart transplant na cha kushangaza.

1. Wote wanaweza kupona.
2. Wote wanaweza kuto kupona
3. Mmoja anaweza kupona

Ndio maana science bado inabakia tegemezi kwa asiye onekana.

Kwa nini kama sayansi inakuwa tegemezi iwe tegemezi kwa "asiye onekana" na si kwa "kisicho julikana"?

Ameanza vizuri kwa kuelezea complexity ya uponyaji, lakini mwisho anaelekea kuunganisha complexity ya uponyaji na "asiye onekana" bila kutueleza kajuaje kwamba ni "asiye onekana" na si "kisichojulikana".
 
Naam

Ameandika

Kwa nini kama sayansi inakuwa tegemezi iwe tegemezi kwa "asiye onekana" na si kwa "kisicho julikana"?
Kwa swali lako hilo tukichukulia kwa mfano nguvu ya sumaku katika kuvuta chuma, je nguvu ya sumaku haijulikani au haionekani?

Ameanza vizuri kwa kuelezea complexity ya uponyaji, lakini mwisho anaelekea kuunganisha complexity ya uponyaji na "asiye onekana" bila kutueleza kajuaje kwamba ni "asiye onekana" na si "kisichojulikana".
we umejuaje je kama ana experience na asiye onekana kwanini atolee mfano na kisichojulikana?
 
Here is where some choose to have total faith in an invisible god while others choose to have only a minimal amountn of faith based on.rationality and gradually converge towards knowledge.
1. Where do you get this "minimal amount of faith"?
2. Do you mean, scientist use "minimal amount of faith" in their work?
3. Where is the beginning of this "minimal amount of faith"?
 
Kwa swali lako hilo tukichukulia kwa mfano nguvu ya sumaku katika kuvuta chuma, je nguvu ya sumaku haijulikani au haionekani?

we umejuaje je kama ana experience na asiye onekana kwanini atolee mfano na kisichojulikana?

Kwa sababu hakutoa ushahidi wowote kuonyesha hilo.

Nguvu ya sumaku inajulikana na kuonekana.
 
Kwa sababu hakutoa ushahidi wowote kuonyesha hilo.

Nguvu ya sumaku inajulikana na kuonekana.
inaonekana vipi nguvu ya sumaku? unaweza ukaweka picha ya nguvu ya sumaku? au unaweza ukaziona zile wanaita signal?
 
inaonekana vipi nguvu ya sumaku? unaweza ukaweka picha ya nguvu ya sumaku? au unaweza ukaziona zile wanaita signal?

Lab #36.2 Magnetism: Seeing Magnetic Fields / Labs, Activities, and Other CoolStuff

What is Magnetism? | Magnetic Fields & Magnetic Force

https://www.khanacademy.org/science/physics/electricity-and-magnetism/v/magnetism-2

Magnetism is nothing but the motion of electric charge, which can be observed directly. This is why it is so often called "electromagnetism".
 
since scientist only tries to make man's survival they are not sure they can 100%. that is why we have to thank god the owner of the soul.

Since my GPS is not 100% reliable, this is why we have to thank the abominable snowman, the owner of the ether.

How do you know that gid exists?

How do you know that the soul exists?
 
Kwa sababu hakutoa ushahidi wowote kuonyesha hilo.

Nguvu ya sumaku inajulikana na kuonekana.
quote_icon.png
By Kiranga

Here is where some choose to have total faith in an invisible god while others choose to have only a minimal amountn of faith based on.rationality and gradually converge towards knowledge.

1. Where do you get this "minimal amount of faith"?
2. Do you mean, scientist use "minimal amount of faith" in their work?
3. Where is the beginning of this "minimal amount of faith"?
 
Kwa hiyo huyo mungu anauwezo wa kuwapa afya njema madaktari lakini hana uwezo wa kuwapa afya njema wagonjwa?!!!!

Speaking of mungu mwenye uwezo wote, ukiwamo wa kuwapa afya njema viumbe vyake wote, na upendo wote.

Kwa nini awabanie?

Kwa nini asiwape afya njema viumbe wake wote wakati wote?
 
Yeyote anayesema mungu yupo anatakiwa kutoa ushahidi kwamba mungu yupo.

Ushahidi huu uwe unafungamana na kuwepo kwa mungu tu, na usiwezekanike kutokea kwa kingine chochote mbali na kuwepo kwa mungu.

Na uweze kuelezewa nje ya habari za imani tu. Kwa sababu imani tu inaweza kutaka kuelezea chochote bila ushahidi.
 
Katika hizo link ulizonipa kuna maelezo kama haya
A magnetic field is a kind of aura that surrounds magnets. Although it can't be seen directly, the overall shape of the field can be seen by the effect it has on iron filings.
kutokana na hayo maelezo hapo nilipoweka red hauwezi kuona ila unachoona ni efect tu, sasa mimi ningependa unipe picha ya kinacho onekana katikati ya chuma na sumaku, au katikati ya sumaku na sumaku mpaka kusababisha effect...

kwa mfano unaposhika sumaku moja mkono huu na nyingine mkono mwingine ile nguvu inayosababisha kuvutana au kukwepana, yaani pale katikati ningependa unipe picha yake ya nini kinatokea?
 
Katika hizo link ulizonipa kuna maelezo kama haya

kutokana na hayo maelezo hapo nilipoweka red hauwezi kuona ila unachoona ni efect tu, sasa mimi ningependa unipe picha ya kinacho onekana katikati ya chuma na sumaku, au katikati ya sumaku na sumaku mpaka kusababisha effect...

kwa mfano unaposhika sumaku moja mkono huu na nyingine mkono mwingine ile nguvu inayosababisha kuvutana au kukwepana, yaani pale katikati ningependa unipe picha yake ya nini kinatokea?

In your context, kitu gani kinaonekana bila effect?
 
Yeyote anayesema mungu yupo anatakiwa kutoa ushahidi kwamba mungu yupo.

Ushahidi huu uwe unafungamana na kuwepo kwa mungu tu, na usiwezekanike kutokea kwa kingine chochote mbali na kuwepo kwa mungu.

Na uweze kuelezewa nje ya habari za imani tu. Kwa sababu imani tu inaweza kutaka kuelezea chochote bila ushahidi.
vipi kuhusiana na assumptions haziruhusiwi?
 
Back
Top Bottom