Mkuu wa chuo
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 7,620
- 5,335
kwanini hukubaliani? inabidi upinge kwa kutoa sababu...That is neither here, nor there.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwanini hukubaliani? inabidi upinge kwa kutoa sababu...That is neither here, nor there.
That is why unatumia elimu kutafuta findings.
Sio kweli. Kufikiri hakuitaji assumptions.
The case is the same. Two individuals from the same region of the same age. Wote wanaumwa ugonjwa unao fanana, lakini mmoja anakufa.
Kesho isiyo julikana sio assumption. NI FAITH ndio unayo tumia. Unless ukiri kuwa FAITH ndio ASSUMPTION.
Prove kuwa swali halina maantiki na sio dismiss syndrome.Swali lenyewe, kama lilivyoulizwa kwenye summary hapo juu, halina mantiki.
Wapi kwenye swali pamezungimzia nyakati tofauti? Never the less, hata ikitokea ni nyakati tofauti, kwanini dawa ishindwe kutibu ugonjwa unao fanana na waathirika wana background moja?Utashangaa vipi dawa ikiwa na effect tofauti kwa watu tofauti kwa nyakati tofauti?
Usibadirishe swali kwa kuchomeka "nyakati" kitu ambacho sehemu ya swali. Yes,ninweza kuwa na headeach in the winter na Summer na wakati wote nikapona kwa dozi ile ile.Hata kwa mtu mmoja kwa nyakati tofauti haina mantiki kushangaa dawa kuwa na matokeo tofauti.
kwanini hukubaliani? inabidi upinge kwa kutoa sababu...
There are so many of such cases and in fact, wakati mwingine anaye fariki ni mwenye afadhali.
1. Kutoka na jibu lako hapo juu, linakubaliana nami kuwa Dawa sio inayo ponya.
2. Kutokana na jibu lako hapo juu, linakubali kuwa Daktari anacho fanya ni kutibu tu.
3. Kutoka na jibu lako hapo juu, linakubali kuwa uponyaji wa mgonjwa si tegemezi katika Dawa.
Kumbe ndio maana tuna kuwa na vifo ingawa mgonjwa amepewa dawa. Uponyaji sasa unaanza kuonekana sio kutoka kwa madaktari wanao toa treatment na au kunywa dawa but upo kwa mwengine ambaye haonekani.
Tunaweza kuweka two cases za heart transplant na cha kushangaza.
1. Wote wanaweza kupona.
2. Wote wanaweza kuto kupona
3. Mmoja anaweza kupona
Ndio maana science bado inabakia tegemezi kwa asiye onekana.
Kwa swali lako hilo tukichukulia kwa mfano nguvu ya sumaku katika kuvuta chuma, je nguvu ya sumaku haijulikani au haionekani?Naam
Ameandika
Kwa nini kama sayansi inakuwa tegemezi iwe tegemezi kwa "asiye onekana" na si kwa "kisicho julikana"?
we umejuaje je kama ana experience na asiye onekana kwanini atolee mfano na kisichojulikana?Ameanza vizuri kwa kuelezea complexity ya uponyaji, lakini mwisho anaelekea kuunganisha complexity ya uponyaji na "asiye onekana" bila kutueleza kajuaje kwamba ni "asiye onekana" na si "kisichojulikana".
1. Where do you get this "minimal amount of faith"?Here is where some choose to have total faith in an invisible god while others choose to have only a minimal amountn of faith based on.rationality and gradually converge towards knowledge.
Kwa swali lako hilo tukichukulia kwa mfano nguvu ya sumaku katika kuvuta chuma, je nguvu ya sumaku haijulikani au haionekani?
we umejuaje je kama ana experience na asiye onekana kwanini atolee mfano na kisichojulikana?
inaonekana vipi nguvu ya sumaku? unaweza ukaweka picha ya nguvu ya sumaku? au unaweza ukaziona zile wanaita signal?Kwa sababu hakutoa ushahidi wowote kuonyesha hilo.
Nguvu ya sumaku inajulikana na kuonekana.
Tuletee ushaidi wa kisicho julikana na kivipi kisicho julikana kiweze kuongoza sayansi.Kwa nini kama sayansi inakuwa tegemezi iwe tegemezi kwa "asiye onekana" na si kwa "kisicho julikana"?
inaonekana vipi nguvu ya sumaku? unaweza ukaweka picha ya nguvu ya sumaku? au unaweza ukaziona zile wanaita signal?
since scientist only tries to make man's survival they are not sure they can 100%. that is why we have to thank god the owner of the soul.
According to the principles of Soul.How do you know that the soul exists?
Kwa sababu hakutoa ushahidi wowote kuonyesha hilo.
Nguvu ya sumaku inajulikana na kuonekana.
1. Where do you get this "minimal amount of faith"?
Kwa hiyo huyo mungu anauwezo wa kuwapa afya njema madaktari lakini hana uwezo wa kuwapa afya njema wagonjwa?!!!!
Lab #36.2 Magnetism: Seeing Magnetic Fields / Labs, Activities, and Other CoolStuff
What is Magnetism? | Magnetic Fields & Magnetic Force
https://www.khanacademy.org/science/physics/electricity-and-magnetism/v/magnetism-2
Magnetism is nothing but the motion of electric charge, which can be observed directly. This is why it is so often called "electromagnetism".
kutokana na hayo maelezo hapo nilipoweka red hauwezi kuona ila unachoona ni efect tu, sasa mimi ningependa unipe picha ya kinacho onekana katikati ya chuma na sumaku, au katikati ya sumaku na sumaku mpaka kusababisha effect...A magnetic field is a kind of aura that surrounds magnets. Although it can't be seen directly, the overall shape of the field can be seen by the effect it has on iron filings.
Katika hizo link ulizonipa kuna maelezo kama haya
kutokana na hayo maelezo hapo nilipoweka red hauwezi kuona ila unachoona ni efect tu, sasa mimi ningependa unipe picha ya kinacho onekana katikati ya chuma na sumaku, au katikati ya sumaku na sumaku mpaka kusababisha effect...
kwa mfano unaposhika sumaku moja mkono huu na nyingine mkono mwingine ile nguvu inayosababisha kuvutana au kukwepana, yaani pale katikati ningependa unipe picha yake ya nini kinatokea?
yaani ni effect ndio inaonekana na sio kitu kinacho onekana...Kitu gani kinaonekana bila effect?
yaani ni effect ndio inaonekana na sio kitu kinacho onekana...
vipi kuhusiana na assumptions haziruhusiwi?Yeyote anayesema mungu yupo anatakiwa kutoa ushahidi kwamba mungu yupo.
Ushahidi huu uwe unafungamana na kuwepo kwa mungu tu, na usiwezekanike kutokea kwa kingine chochote mbali na kuwepo kwa mungu.
Na uweze kuelezewa nje ya habari za imani tu. Kwa sababu imani tu inaweza kutaka kuelezea chochote bila ushahidi.